Israeli yaua Gaidi aliyejificha kwenye Uandishi wa Habari

Israeli yaua Gaidi aliyejificha kwenye Uandishi wa Habari

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
6,986
Reaction score
9,212
Kijana mdogo amekwenda na maji majuzi, Magaidi yanalia, Yatanyamaza yatasahau kisha yataendelea tena kulipua

Sijaona watu wenye "chicken brain" kama magsidi.

Good Job IDF

Screenshot_20250325-123547.png
 
Hii vita Ina hasara pande zote ogopa kupigana na mtu ambaye Hana cha kupoteza
 
Kijana mdogo amekwenda na maji majuzi, Magaidi yanalia, Yatanyamaza yatasahau kisha yataendelea tena kulipua

Sijaona watu wenye "chicken brain" kama magsidi.

Good Job IDF

View attachment 3283174
Huyu Kwa muonekano anaonekana kabisa ni mgambo wa Hamas aliyeiva vyema kwenye mafunzo aliyejificha kwenye kichaka cha uhandishi wa habari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom