Israeli strikes in Syria

Basi utakua unaamini sawa na hivyo vitabu...Huna haja ya kusema unaamini Kitabu fulani. Dini ni jinsi unavyoishi...Na wewe ni mfuata dini mzuri kama unafanya unachosema unafanya.
Basi dini yangu haiendani na hizo dini za Mash ya kati
 
Basi dini yangu haiendani na hizo dini za Mash ya kati
Kama unafanya unachosema unafanya dini yako ni hiyo, Kuipa jina unaweza ukaipa unalotaka au kila siku ukabadilisha jina la dini yako, ila kama unaamini kwenye kufanya Mazuri..bado upo palepale sawa na kuandika Kiluga neno la English
 
Ok sawa mkuu nimekupata vyema!
 
Basi dini yangu haiendani na hizo dini za Mash ya kati
Yani hata uzaliwe kwenye pango lazima uwe na upande mmoja wa kuamini...Vitabu vya mashariki ya kati vinatufundisha kuamnini upande mmoja , ila sio lazima vitabu kuamini upande flani. Hata jamii inaweza kukuanya ukaamini upande flani
 
Unamaanisha kuamini katika wema au ubaya au kwa maana ya uislamu na ukristu?
 
Green house zao nzuri sana ila mambo ya rocket na anga ni wanunuzi kama bongo ya siro na cctv
 
Fact.
 
Sasa kwa nini Israel, haiko kwenye kundi la nchi tajiri, inaishi kwa kutegemea misaada kutoka Marekani?
 
“One thing needs to be clear: If someone shoots at our planes, we will destroy them. It doesn’t matter if it’s an S-300 or an S-700,”
What coincidence?hahah
 
Mkuu tunaeleweshana kwa facts

Hebu toa silaha mojawapo (made in Israel) ambayo ni tishio kwa dunia hii.

Pia hebu tupe list (sio list yako) toa na source the most advanced and dangerous armed forces in the world.

Tatu millitary power sio airpower tu bali combination of equipments, human resources and strategy kwa kutumia walau hivi vigezo vichache Israel inashika nafasi ya ngapi,

NOTE: Israel wa kwenye biblia sio taifa la Israel la sasa. (Biblia ilimaanisha watu wa taifa la Mubgu yaano mimi na wewe)
 
At least 62 civilians have been killed in a US air force attack on two villages near Deir ez-Zor city, Syrian state news agency Sana reported.
The strikes came nearly a month after US national security adviser John Bolton vowed that American forces would remain in Syria so long as any Iranian-related forces operate there. Damascus invited Iran to help fight jihadist rebels and ISIS, while denouncing the US presence as illegal.
DETAILS TO FOLLOW
RT.com
===
ze kokuyo uwanja ni wako. Ngoja tufuatilie kilichotokea.
 
JF limekua jukwaa la wapuuzi sana siku hizi! MTU anaamka na hang over zake anapost upupu umu bila kua na credible info or sources....
 
HII NI FANTASTIC
ILIBIDI IANDIKWE KWA WINO WA DHAHABU
 
Mliambiwa wekeni akiba ya maneno Israel hatabiriki mkabisha.... Ona sasa babu kaingia kama kawa kachapa na kasepa na hiyo mipipa yenu s300 sijui S400 ikiwepo...labda muongeze s1000 shubamiti[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…