Israeli imeapa kuishambulia Iran

Israeli imeapa kuishambulia Iran

We ndio bure kabisa kasome tena hizo historia unazozizungumzia, nani alishinda?
We nakukumbuka niliwahi kubishana na ww kuhusu yomkippur na six days war.
Huna jipya tulibishana mpk kuhusu camp David treaty.Na nikakubishia kuwa ule mkataba ulikua ni wa kuiokoa Syria na Jordan ambapo ilikua inatandikwa na jeshi la anga la Israel na Egypt alishindwa kuingilia kwasababu hakuna middle East wenye jeshi la anga kulizidi Israel ila Sinai Israel ilipigwa kwasababu ilikua ground battle.
Tulibishana pia kuhusu Bint jubeir operation ambapo Israel walipigwa na kuondolewa hayo maeneo na Hizbollah ground battle.
KWAHIYO ww huna jipya nakufahamu.
 
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Unaongelea kitu usichokijua, nenda YouTube tafuta Israel vs Hizbollah 2006. Israeli kapigwa na Hizbollah mpaka kaomba poo. Israeli Ni Taifa linalo lindwa na Dunia tu ndio maana hadi leo liko pale, halina uwezo wowote. Siku UN wakiondoka pale Lebanon ndio mwisho wa Taifa la Israeli.
 
how?
NAKUUNGA MKONO ASILIMIA ZOTE. ISRAEL NI WALAINI SANA KULIKO UKRAINE. NGUVU YOTE YA ISRAEL HADI BAJETI YAO YA JESHI INATOKA USA. LILE NI TAIFA MAMLUKI ILI ULAYA NA MAREKANI WAENDELEE KUNYONYA RASILIMALI ZA UARABUNI.

Naunga mkono hoja, mabadiliko ya mji mkuu walisubili rais wa marekani ndio autangaze. Trump aliutangazia ulimwenvu mji mkuu utakuwa jerusalam sio tel aviv. Hii dunia imejaa ufala sana
 
NAKUUNGA MKONO ASILIMIA ZOTE. ISRAEL NI WALAINI SANA KULIKO UKRAINE. NGUVU YOTE YA ISRAEL HADI BAJETI YAO YA JESHI INATOKA USA. LILE NI TAIFA MAMLUKI ILI ULAYA NA MAREKANI WAENDELEE KUNYONYA RASILIMALI ZA UARABUNI.
Kwo leo tunakubali USA ndo taifa lenye nguvu za kijeshi zaidi duniani au hana uwezo wa kupigana peke yake hadi asaidiwe?Maana kama anayemsaidia anakuwa na nguvu za kupiga waarabu wote vp yeye mwenyewe!
 
Marekani supa pawa wa zamani za kale, china kawapiga biti la nguvu leo marekani imechomoa kibibi kizee polosi hakita kanyaga tena Teiwan kama kilivyo panga
 
Sasa Israel anatoa wapi nguvu za kutamba kwa waarabu?Au tukubali waarabu ni dhaifu sana kwa Israel?

Israeli ni mbwa na mwenye mbwa ni marekani na umoja wa ulaya ndio maana mbwa anajiamini sana kama ujuavyo tabia za mbwakoko
 
Mbwa koko huyu amengata mpaka sehem za siri za makamanda walio jaribu kumtembelea bandani ili kumfukuza na kumuua
na sasa mbwa huyu amevuka mipaka anag’ata na kueneza sumu ya kichaa cha mbwa hadi mashariki ya kati sasa hakukaliki.

mbwa anakichaa na chakula chake Damu

mtaani ( midle east) hakukaliki kila Anaemgusa Mbwa huyu Kwaheri.

Tunaomba wanao mfuga wamfungie Mbwa wao maana atawamaliza waarabu.

wenye Mbwa wanasema mlisheni damu zenu hadi ashibe akishiba hata waacha.

sasa kila mmoja aanahaha.
 
Israeli ni mbwa na mwenye mbwa ni marekani na umoja wa ulaya ndio maana mbwa anajiamini sana kama ujuavyo tabia za mbwakoko
Mbwa Koko aliyewakokolesha Jeshi la waarabu waliojiunga zaidi ya mataifa 6 akawatandika kisawasawa

Mpaka mmoja akafa kwa ugonjwa wa Moyo

Na sasa kaigeuza Tehran Sehemu ya kutatua kanzu za wavaa kobazi na kuwapeleka Ahera

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mbwa ambae hakuulizi swali moja mara mbili pindi anapotaka kukushambulia. utashangaa ghafla huyu apa sebuleni. akisha ua ndio unaanza kujiuliza kaingiaje.

kesho anarudi tena.
 
Na akitandika anapiga au analenga kwenye Mishono tu lazima kesho ake umsikie Ayatollah anatoa milio ya maumivu ......Ajabu Sana [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Achana na history, watu wapo full charge Sasa, we ukiona wapi mtu anayetaka kukupiga anasema kila siku ntakupiga,huyo Ni mwoga
 
Ukiangalia wachangiaji humu Hadi unaona aibu ,Kuna uwezekano wengi Ni mburula darasa na uelewa Ni zero.
Huwezi kuandika ushuzi humu bila ya kufikiri ,wanaume watanionaje
 
Achana na history, watu wapo full charge Sasa, we ukiona wapi mtu anayetaka kukupiga anasema kila siku ntakupiga,huyo Ni mwoga
Kwaio Israel hayupo full charge?🤣🤣🤣🤣 unajua ana F35 ngapi stealthy ambazo majirani zake hawana? Ni maghala mangapi ya silaya yaliyopo Syria yanapigwa kila kukicha?
Iran kama nini hata baada ya mashambulio mbanimbali ya Mossad ndani ya Tehran?
 
Back
Top Bottom