Hizi koment nyengine ukiziona unabakia kucheka tu na kuwahurumia wanaozitoa kwakweli
Ila MKUU mpaka ukiona mtu anatumia hio NYUK ujue kama maji yalikua yapo shingoni ama kapata madhara makubwa kwenye uwanja wa vita ingawa likua anashinda ama alikua anaelekea kushinda rejea US na JAPAN
RUSSIA hajawahi kabisa kuwaza kutumia NYUK kwa UKRAINE nandio maana marazote akiongelea anaongelea wanaomsaidia UKRAINE
RUSSIA hawezi akatumia NYUK kwa UKRAINE kwasababu mbili nnazoziona mie kwampaka sasa
Moja ambayo ndio kubwa:-UKRAINE hajawa kitisho kikuubwa kwa RF mpaka kufikia levo hio
Mbili ambayo ndio kubwa kiasi:-Madhara ya NYUK yataikumba mpaka RF moja kwamoja
Hitimisho:-kama mnadhania kwamba RF itatumia NYUK dhidi ya UKRAINE mwakosea sanaaa
Sent using
Jamii Forums mobile app