Israeli imeapa kuishambulia Iran

Israeli imeapa kuishambulia Iran

Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Israeli ilisaidiwa na nato. Haikuwa peke yake acheni kukalilishwa upotolo
 
Hayo ni maneno tu tulishayazoea. Israel inaitwa niguse ninuke. Hapo ni sawa na kuchezea sharubu au mboni ya USA kisha ukadhani utabaki salama.

Israel sio Ukraine useme utaitisha iogope mazma.
Israel kwa sasa imeimarika mno kuliko ile iliyochakaza mataifa ya kiarabu kwa muda wa wiki moja na kuyashinda yote.


Ngoja nisubiri waarabu na waajemi wa Tandahimba, Buhigwe na Kishimundu waje kunibana mbavu.
hakuna atakayekuja kukubana mbavu kiongozi

mimi nipo kwa ajili ya kukuoigania...ni kweli kabisa israel NIGUSE NINUKE

Iran bado cha mtoto sana kwa THE CHOSEN NATION

Anaweza akaipiga Iran & washirika wake wote
 
Ina
Mm naona mtu hata ukiwa na nyukilia watu wakiamua kukuchapa wanakuchapa tu hata nyuklia isikusaidie chochote mfano upo urusi
Amechimba biti la kusema ooh atakaye ingilia tu vita ya Ukraine namlenga na nyukilia lakini urusi anaendelea kupewa kichapo kama kawaida.
Kwahiyo iran kupitia urusi inabidi ajifikirie upya kuhusu kumiliki nyukilia.
Inasaidia mataifa ya magharibi na ulaya kutoingia kuipiga Russia moja kwa moja, Bali wanapigana kwa namna ambayo haitamfanya aachie nuclear, kwamfano ulaya nayo wanapigana katka ardhi ya Ukraine na sio kwao , wao wanaogopana kwasabab wanajua Vita ya nuclear Haina mshindi, kuogopana kwao kunatosha kututhibitishia usalama japo kwa sekunde kadhaa
 
hakuna atakayekuja kukubana mbavu kiongozi

mimi nipo kwa ajili ya kukuoigania...ni kweli kabisa israel NIGUSE NINUKE

Iran bado cha mtoto sana kwa THE CHOSEN NATION

Anaweza akaipiga Iran & washirika wake wote
Kila mtu atengeneze silaha zake wasiogopane
 
Mm naona mtu hata ukiwa na nyukilia watu wakiamua kukuchapa wanakuchapa tu hata nyuklia isikusaidie chochote mfano upo urusi
Amechimba biti la kusema ooh atakaye ingilia tu vita ya Ukraine namlenga na nyukilia lakini urusi anaendelea kupewa kichapo kama kawaida.
Kwahiyo iran kupitia urusi inabidi ajifikirie upya kuhusu kumiliki nyukilia.
Bora Iran angepambana na Russia ila sio Israel, Israel akiongea amemaanisha.
 
Wao wanajitengenezea nuclear kwa matumiz yao ,ya umeme na silaha Kama ambavo China ,Korea na mataifa mengine yameamua kutengeneza bila kusikiliza kelele za kimataifa,Kwan kunashida gani kutengeneza manati kwa ajili ya kuulinda mpunga wako??


Iran inasema inaandaa silaha zao ambazo zitatumika wakivamiwa ,hii ndo inafanya Kila mtu kumuogopa mwenzie na kuzuia kuvamiana kishamba, ,
Sabab kubwa ya Palestine kupigwa Ni kuzuiwa kuimiliki silaha kubwa na mabom na mandege ya kivita , hii huwafanya wanapigwa siku zote yaan unampora panga af unamuwekea gun kisogoni ,u know
Ko wao hawana shida na mtu , hawawez kuvamia Palestine kutoa msaada Kwan wataonekana wachokoz, ila wanajitengenezea silaha zao ambazo watazitumia wakivamiwa ,shida ipo wapi hapo?

Kama rusia Wana zao, Israel Wana zao, USA Wana zao, China ,Japan na wengineo wanazao kwann Iran wasiwe na zao....ili duniani tuheshimiane lazima Kila mtu awe na silaha konk , Leo hii Kuna Aman kiaina baada ya Putin kutishia kuiachia nuclear , bila hivo wangesha mvamia na kupandisha Vita vya tat vya dunia, kaumbika silaha nzito hizo hzo ndo zilimaliza WWII ,


Mm naona Kila mtu awe na chake ili tuheshimiane bwana...nadhan Kama Palestine wangeruhusiwa na dunia japo kuimiliki silaha nzito kidg tu ,dunia ingesungumza vingine ..mnataka wasitengeneze silaha ili walipigwa tuseme wamepigana na taifa teule au.. mammaer Kila mtu akomae kivyake dunia so sehem salama Tena, Iran hawawez wasikiliza viongoz wa dunia akat mataifa yenye nguvu Yana silaha anazopigwa Pini , na hiki ndicho kimezifanya China ,Japan na Korea zote kutonsikiliza mtu Kwan Ni Kama unafiki tu
Israel ni hatari hata dunia nzima iungane haiwezi kuwapiga wale jamaa, sasa hao wamiliki wa baragashia watafumuliwa hawa amini.
 
Israel ni hatari hata dunia nzima iungane haiwezi kuwapiga wale jamaa, sasa hao wamiliki wa baragashia watafumuliwa hawa amini.
Bila Shaka kwasabab wao Ni taifa teule...oi Vita vya nuclear hakuna mshindi...achana na hoja za udini kijana . Vita ya nyukilia iache Yan...Kila mtu awe na silaha nzito ,hawatachokozana nakuapia...a
 
Bila Shaka kwasabab wao Ni taifa teule...oi Vita vya nuclear hakuna mshindi...achana na hoja za udini kijana . Vita ya nyukilia iache Yan...Kila mtu awe na silaha nzito ,hawatachokozana nakuapia...a
Unaongea logic and facts lkn kwa yaliyo tabiliwa kwenye vitabu lazima waje wadundane na mshindi anajulikana.
 
Unaongea logic and facts lkn kwa yaliyo tabiliwa kwenye vitabu lazima waje wadundane.
Once hao Palestine wamepata silaha nzito Vita itakuwa 50 /50 . ...ukumbuke Palestine Sasa hawapigan Wala hawataki Vita ila wanataka mpaka uwekwe na utambuliwe hata kwa kipande kidgo Cha ardh walichobaki nacho...
Hao Israel hata wangeletwa Uganda wangesha itwaa whole east Africa yote Hawa...na hv tulivo duni...tuwaache watu waunde silaha kwa usalama wao shida Nini Kwan...wasi wasi wa Nini Kama tunaamini duniani Ni sehem salama na silaha ndo za kulindia usalama....yaan mtu akuambie tupa gobore ilihali anapisto kiunoni ,haiwezkan...Kila mtu apate silaha zake ili kikinuka Kila mtu atafte pakwenda , hiz habar za sjui wateule wa mungu , sjui watoto wa mtume ttazungumza huko huko mbinguni...
 
Hivi unaweza ukaniambia imekuwaje urusi mpaka saiz imeshindwa kuwalushia makombola ya nyukilia hao anaosema wanaisaidia Ukraine.
Hivi unajua shambulizi moja tu la nyukilia linashababisha maafa kiasi gani?

Shambulizi moja la nyukilia lina uwezo wa kuangamiza jiji kama dar es salaam ndani ya dakika 30 tu, jiji lote kuanzia watu wake mifugo, majengo na kila aina ya takataka yakageuka majivu.

Kwa maana hiyo zaidi ya watu milion 5 walioko ndani ya dar es laamu wana kufa ndani ya nusu saa.
Nyukilia ni hatari sana sio kitu cha kuchezea hata kwa bahati mbaya.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Israel ilikuwa peke yake au nayo nyuma yake ilikuwepo NATO?
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
 
Once hao Palestine wamepata silaha nzito Vita itakuwa 50 /50 . ...ukumbuke Palestine Sasa hawapigan Wala hawataki Vita ila wanataka mpaka uwekwe na utambuliwe hata kwa kipande kidgo Cha ardh walichobaki nacho...
Hao Israel hata wangeletwa Uganda wangesha itwaa whole east Africa yote Hawa...na hv tulivo duni...tuwaache watu waunde silaha kwa usalama wao shida Nini Kwan...wasi wasi wa Nini Kama tunaamini duniani Ni sehem salama na silaha ndo za kulindia usalama....yaan mtu akuambie tupa gobore ilihali anapisto kiunoni ,haiwezkan...Kila mtu apate silaha zake ili kikinuka Kila mtu atafte pakwenda , hiz habar za sjui wateule wa mungu , sjui watoto wa mtume ttazungumza huko huko mbinguni...
Wale jamaa walikua utumwani misri, wakaambiwa waende wakaanzishe nchi yao, kufika kule wakakuta kuna watu wanaishi. Watafanyaje zaidi ya kuwafukuza, ndio maana ukigoma unapata kipigo.
Iran ikiwa na nyuklia itamsaidia palestine ndo maana wametoa onyo.
 
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Hebu fatilia vita ya mwisho kati ya Hizbollah na Israel mwaka 2006 halaf unipe majibu. Kwani hiyo vita 6 days si ni marekani ndo walienda kumpa nguvu. Peke yake anaweza?
 
Hayo ni maneno tu tulishayazoea. Israel inaitwa niguse ninuke. Hapo ni sawa na kuchezea sharubu au mboni ya USA kisha ukadhani utabaki salama.

Israel sio Ukraine useme utaitisha iogope mazma.
Israel kwa sasa imeimarika mno kuliko ile iliyochakaza mataifa ya kiarabu kwa muda wa wiki moja na kuyashinda yote.


Ngoja nisubiri waarabu na waajemi wa Tandahimba, Buhigwe na Kishimundu waje kunibana mbavu.
Hivi umesoma kilichoandikwa au umecoment kwanza ndio ukasome?maana Israel ndio kamtisha Iran kushambulia na ubavu huo kumshambulia kijeshi Iran hana hao Hezbollah tu wanamtoa jasho
 




Sasa siwangeanza wao kupigana na izrael ili waungwe mkono na palestina na syria pia, kwanini kusubiri mbaka ajitokeze mtuaanzishe vita alafu ndio uje nyumanyuma.

That's cowardness!.
kwani Ni Nani aliesema atamshambulia mwenzie, hebu soma kwanza uelewe !?
 
Back
Top Bottom