Israeli imeapa kuishambulia Iran

Israeli imeapa kuishambulia Iran

Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Uhalisia nchi nyingi za karibu zinaongozwa na mamluki HIVYO MAJESHI YAO YAKO INFILTRATED NA USA NA ISARAEL hivyo kila wanachopanga wanapanga na WAISRAEL kwa sababu hii ilikuwa RAHISI KUPIGWA NDANI YA SIKU 6... vinginevyo huwezi!!!

Vita sii ya kuombea LAKINI EXISTENCE OF JEWISH STATE OF ISRAEL IS VERY CRUCIAL AND BUILD UP TO THE END OF TIMES EVENTS....

Kwa lugha nyepesi Kuimarika kwa Israel inatakiwa kutukumbusha mengi....

WAISRAEL HAWAMWAMINI YESU NA KWAO MASIH BADO HAJAJA hivyo MASIH WAO WANAYEMSUBIRIA ndiye MPINGA KRISTO ambaye kwa Waislam wanamuita MASIH DAJJAL [MASIHI WA UONGO]
 
Wa
Wale jamaa walikua utumwani misri, wakaambiwa waende wakaanzishe nchi yao, kufika kule wakakuta kuna watu wanaishi. Watafanyaje zaidi ya kuwafukuza, ndio maana ukigoma unapata kipigo.
Iran ikiwa na nyuklia itamsaidia palestine ndo maana wametoa onyo.
Sheria ya ardhi ipoje....yaan hapo pa wote, na pengne Hawa sio waisrael halisi Bali Ni wazungu tu, walipofika kutoka utumwani walipelekwa nchi ya ahadi. Kuita nchi ya ahadi maana yake walipewa nchi ambayo inakaliwa na watu wengine. Yaani mungu alipora ardhi ya watu na kuwapa wapendwa wake , ...waliambiwa wauwe watu wote wanaomiliki ardhi Ile wao hawakufanya hawakufanya hivo...Leo hii watu wenye asili ya nchi ya ahadi kabla ya mungu kuwapa Israel wapo na ndo Palestine ,ko wasipiganie ardhi yao.... Israel iliwavamia Kama inavovamia Sasa sema ilikosea kutouwa watu wote
 
Drone za Iran ziliogelea kwenye anga la nchi ambayo anadai yake Wala alikuwa Hana habari huyo ndio wakupigana na mu Iran
 
Sa si apigwe tu tuone[emoji23][emoji23]
Waarabu walipigwa ndani ya siku6 itakuwa huyo chizi Hezbollah ambaye kama alivyo Hamasi anajificha kwa raia.

Jiulize kama nchi kamili zaidi ya 5 ukijumlisha misaada ya nchi zoote za kiarabu zilipigwa in just six days wakasalimu amri Hezbollah ana uwezo gani?

Ubakizage hata kauwezo kadooogo kakuvukia road
Uhalisia nchi nyingi za karibu zinaongozwa na mamluki HIVYO MAJESHI YAO YAKO INFILTRATED NA USA NA ISARAEL hivyo kila wanachopanga wanapanga na WAISRAEL kwa sababu hii ilikuwa RAHISI KUPIGWA NDANI YA SIKU 6... vinginevyo huwezi!!!

Vita sii ya kuombea LAKINI EXISTENCE OF JEWISH STATE OF ISRAEL IS VERY CRUCIAL AND BUILD UP TO THE END OF TIMES EVENTS....

Kwa lugha nyepesi Kuimarika kwa Israel inatakiwa kutukumbusha mengi....

WAISRAEL HAWAMWAMINI YESU NA KWAO MASIH BADO HAJAJA hivyo MASIH WAO WANAYEMSUBIRIA ndiye MPINGA KRISTO ambaye kwa Waislam wanamuita MASIH DAJJAL [MASIHI WA UONGO]
 
Naona mnatamani mafuta yapande tena.....

Ya UKRAINE na Russia haijatosha tu!!??
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Hizibulah na Israel wameshapigana 2006 kwa zaidi ya mwezi na kila mtu aliona kilicho tokea kwa hiyo hakuna jipya.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Nimekuambia wanajificha kwenye raia sio walikuwa kwenye uwanja wa vita ni kama askari wa Ukraine wanavyofanya saivi, ukipiga raia jumuia za kimataifa zinakuzonga
 
Hebu fatilia vita ya mwisho kati ya Hizbollah na Israel mwaka 2006 halaf unipe majibu. Kwani hiyo vita 6 days si ni marekani ndo walienda kumpa nguvu. Peke yake anaweza?
Tafuta website inayoonesha America alihusika?
Ngoja nikupe tu hints US alikataa kumuuzia Israel ndegevita akaenda kununua ufaransa, ndege zinaitwa dassault Rafale ndio lizitumia vitani.

Us hakutaka Israel apigane vile vita. Sasa alimsaidiaje?

Ndani ya siku6 alifikaje haraka hivyo? Fuatilia hii historia.

Israel alitaka kumuingiza US vitani kwa kuishambulia meli yake USS LIBERTY iliyokuwa karibu na Misri ili ionekane Misri ameishambulia, lakini waapi.

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Mm naona mtu hata ukiwa na nyukilia watu wakiamua kukuchapa wanakuchapa tu hata nyuklia isikusaidie chochote mfano upo urusi
Amechimba biti la kusema ooh atakaye ingilia tu vita ya Ukraine namlenga na nyukilia lakini urusi anaendelea kupewa kichapo kama kawaida.
Kwahiyo iran kupitia urusi inabidi ajifikirie upya kuhusu kumiliki nyukilia.
Wakati Ukraine imegeuka magofu wamarekani wa buza mnasema Urusi anapigwa.
 
Hayo ni maneno tu tulishayazoea. Israel inaitwa niguse ninuke. Hapo ni sawa na kuchezea sharubu au mboni ya USA kisha ukadhani utabaki salama.

Israel sio Ukraine useme utaitisha iogope mazma.
Israel kwa sasa imeimarika mno kuliko ile iliyochakaza mataifa ya kiarabu kwa muda wa wiki moja na kuyashinda yote.

Ngoja nisubiri waarabu na waajemi wa Tandahimba, Buhigwe na Kishimundu waje kunibana mbavu.
2004 kilichowapata kitawapata mara 12
 
Wa

Sheria ya ardhi ipoje....yaan hapo pa wote, na pengne Hawa sio waisrael halisi Bali Ni wazungu tu, walipofika kutoka utumwani walipelekwa nchi ya ahadi. Kuita nchi ya ahadi maana yake walipewa nchi ambayo inakaliwa na watu wengine. Yaani mungu alipora ardhi ya watu na kuwapa wapendwa wake , ...waliambiwa wauwe watu wote wanaomiliki ardhi Ile wao hawakufanya hawakufanya hivo...Leo hii watu wenye asili ya nchi ya ahadi kabla ya mungu kuwapa Israel wapo na ndo Palestine ,ko wasipiganie ardhi yao.... Israel iliwavamia Kama inavovamia Sasa sema ilikosea kutouwa watu wote
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] soma hii[emoji1313][emoji1313]
Mwa 17:7-9 SUV
7Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako. 8Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.

9 Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Yes aliwapa nchi inayokaliwa na watu.
 
Tafuta website inayoonesha America alihusika?
Ngoja nikupe tu hints US alikataa kumuuzia Israel ndegevita akaenda kununua ufaransa, ndege zinaitwa dassault Rafale ndio lizitumia vitani.

Us hakutaka Israel apigane vile vita. Sasa alimsaidiaje?

Ndani ya siku6 alifikaje haraka hivyo? Fuatilia hii historia.

Israel alitaka kumuingiza US vitani kwa kuishambulia meli yake USS LIBERTY iliyokuwa karibu na Misri ili ionekane Misri ameishambulia, lakini waapi.

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Hiyo historia imeandikwa na nani? Hata Ukraine ikitokea akamshinda mrusi, mtakuja kuwakalilisha watoto wenu kuwa Ukraine peke hake alkmpiga mrusi
 
Hao watu ndio Hawa Sasa. ..acha wapigane....hata ningekuwa Mimi ,yaan uje useme mungu kasema nije nikae hapa aisee?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] soma hii[emoji1313][emoji1313]
Mwa 17:7-9 SUV
7Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako. 8Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayoikaa ugeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.

9 Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Yes aliwapa nchi inayokaliwa na watu.
Ila nao wanamakosa makubwa Sana...walishindwaje kuangamiza Kila kitu Sasa...walishindwaje .. .

Wangoni nao wanaweza kujiita taifa teule ,Kama machifu wao watazingatiwa na story zao na maajabu yao maana wamekipiga Sana hapa katkat
 
Nimekuambia wanajificha kwenye raia sio walikuwa kwenye uwanja wa vita ni kama askari wa Ukraine wanavyofanya saivi, ukipiga raia jumuia za kimataifa zinakuzonga
Israel halijawahi kuwa na huruma na raia maana huwa anawapiga risasi na kuwauwa waandamanaji wa kipalestina wasio kuwa na silaha.

Back
Top Bottom