Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,118
- 15,875
Waarabu na Wazungu wametufanya Waafrika tuwe wapumbavu kuliko hata upumbavu wenyewe kwa kubaguana sisi kwa sisi kwa utumwa wa kidini ilihali hata siyo sisi waasisi.Uislamu unawafanya watu wawe wajinga sana aisee [emoji23][emoji28]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ngoja waendelee kutuona manyani maana hakuna namna [emoji23][emoji1732][emoji16]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app