Israel yashambuliwa

Israel yashambuliwa

wagalatia wa bongo na ushabiki maandazi, wale wanaume wako tayari kufa , na washasema bora wauliwe kuliko kudhalilishwa na mayahudi, lakini mayahudi sasa hayataki kufa yaani myahudi mmoja tu Akifa basi msiba mkubwa
Kwahiyo kujitoa mhanga ufe ni sifa? Mbona baba yenu mudi hakuwahi jitoa muhanga? Au sababu alikuwa anapenda sana papuchi?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hawajapigana siku nyingi wanajeshi wameshajiona ni kama raia.
Wamekuwa waoga wanatembea makundi makubwa makubwa kama ngombe, wamerumia muda mreefu kujipanga.

Kiufupi Hamas imewaaibisha na kuwaonyesha madhaifu yao. Ngoja wajipange tuone kichapo watakachotoa gaza, maana Netanyahu sio mtu mwa masihara.
 
Subirini show show ukiua Muisrael mmoja jiandaeni kufa zaidi ya mia
 
Mpalestina anapigania ardhi yake na utaifa wake mbele ya mtu mwenye maguvu na supporter kubwa kutoka kwa superpowers.

Hivi dunia haioni haki ya wapalestina kupewa Taifa lao na kujitawala kama wengine?.

Ni jambo la kushangaza sana aisee.
 
Waisrael ni watu waoga tu hawewezi kupigana vita vyovyote, ni Marekani tu ndo inawapa kiburi. bila msaada wa Marekani Israel ingelikwisha kupotea kitambo
Nakati Wavaa kobazi toka huku Mpitimbi wanadai USA anapewa kiburi cha ubabe wa kuongoza dunia sababu ya kupata msaada wa ISRAEL tokana na ubora wa;

Ujasusi wa vita.

Intelligence makini ya vita.

Teknolojia ya vita.

Ubobevu wa kupigana vita.

Sasa tumsikilize na kukubaliana na yupi baina yako na hao?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
ww tajiri unajua nn, Israel ni majizi tu , yamepewa ardhi ya Palestina, wakaunda Taifa lao kwa mauaji kwa msaada wa Uengereza na Marekani, na wanaendelea kupora ardhi kila kukicha, wana jeshi kamili wana silaha nzito, wana teknolojia ya kisasa, lakini jana wamevuliwa nguo wametiwa na dole na watu ambao hata nchi hawana jeshi hawana
Kama hao Jamaa watakuwa si malaika basi utakuwa unahemukwa na mahaba niue juu yao, sasa wanaishi angani ikiwa hawana nchi wala jeshi ilihali wamevamia Israel na kusababisha maafa ya kivita?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
TUJIKUMBUSHE

Mnamo Julai 17 2023 Chombo kimoja cha habari cha Middle East monitor kiliripoti ya kuwa Israeli inadai silaha ilizoziacha marekani baada ya kuondoa majeshi na kurudi kwa utawala wa kikundi cha Taliban nchini Afghanistan zimefika Gaza.
Kufuatia shambulizi la Wanamgambo wa Palestina dhidi ya Taifa la Israel lenye Jeshi kamili,je nguvu za Israel zimeanza kupungua?,au Marekani imeacha kuilinda Israel.
Soma hapaIsrael: US arms left in Afghanistan reach Gaza
 
hatuzungumzii dini hapa, tunazungumzia wizi na mauaji . huko Palestina kuna wakristo na kabisa la mwanzo kabisa,

Church of the Holy Sepulchre, liko Palestina, na wakiristo wanaabudu kwa uhuru kabisa. Lakini nyie wakristo wa bongo mnaona Israel ndio mkombozi wenu, wakati wao ni mayahudi na wala hawamtambui Yesu.​

Sasa kipi cha ajabu hapo, mbona wapo Waislamu kibao hawaitambui Kuran wala Mtume Muhammad lakini huoni?

Au yule Muislam toka Iraq aliyechoma Kuran hivi karibuni unajisahaulisha makusudi?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mpalestina anapigania ardhi yake na utaifa wake mbele ya mtu mwenye maguvu na supporter kubwa kutoka kwa superpowers.

Hivi dunia haioni haki ya wapalestina kupewa Taifa lao na kujitawala kama wengine?.

Ni jambo la kushangaza sana aisee.
wagalatia hili hawalioni
 
1696749329677.png


Gaza hapakaliki


Twenty-four hours ago we saw people in Gaza celebrating Hamas firing thousands of rockets into Israel.

This morning, the picture in Gaza is the opposite.

People are staying indoors, the sounds of explosions have been continuous, and a cloud of black smoke engulfes Gaza.

Most areas are without electricity as Israel has stopped supplying Gaza with power. Water supplies have also been down since yesterday.

One of the more significant strikes from Israel this morning targeted the Watan Tower - a building that serves as a "hub" for Internet providers in Gaza.
 
Back
Top Bottom