Thanks ...Ila kwenye aya yako ya pili, Iran siyo taifa la Kiarabu...Hawa ni Waajesmi (persians) not Arabs...hivi ndivyo ninavyoelewa mimi..ni suala la mjadala lakini
Ukisoma between lines utagundua nimeonesha tofauti ya Waarabu na wa Iran
Thanks ...Ila kwenye aya yako ya pili, Iran siyo taifa la Kiarabu...Hawa ni Waajesmi (persians) not Arabs...hivi ndivyo ninavyoelewa mimi..ni suala la mjadala lakini
By MICHAEL BACHNER30 July 2019, 9:20 amHizo ngonjera zako hatuzitaki tunataka chanzo cha hiyo habari maana mpaka sasa hakuna chombo chochote cha habari kilicho ripoti hiyo habari.
JIPENI MOYOFake news
Kwani link hata Mimi sinaweza kutengeneza?By MICHAEL BACHNER30 July 2019, 9:20 am
USIJITOE UFAHAMU SI KAWEKA LINK???
haya tengeneza, maana mi nimefungua nikaona taafia na wewe leta yakoKwani link hata Mimi sinaweza kutengeneza?
Israel Imetanua wigo wa mashambulizi yake dhidi ya Iran kwa kushambulia vituo Vya Iran nchini Iraq;
![]()
Israel said to hit Iranian sites in Iraq, expanding strikes on missile shipments
IAF F-35 jets said to be behind 2 strikes on Iran-linked targets near Baghdad in 10 days; no comment from IDFwww.timesofisrael.com
SawaAyotollahs😂😂😂😂