Israel Yashambulia Vituo Vya Iran Nchini Iraq!

Israel Yashambulia Vituo Vya Iran Nchini Iraq!

Uingereza + Marekani + Israel


Jana Iran Imeomba America Ije ikague vinu vyake vya Nuclear kuthibitisha madai yake kuwa inatengeneza Silaha za Nuclear lakin America imegoma

Hiki Kitaifa kimekusanya watu wenye Maarifa sana sio kama ile Miarabu kiasi kwamba sasa kwny uwanja wa Propaganda wamefanikiwa

Kwny Uwanja wa Vita mpaka sasa Drone la US limeshushwa, Meli ya Mafuta ya Uingereza imetekwa kulipa kisasi meli yao kutekwa, kumbuka Iran lipo kwny orodha ya Nchi zinazoendelea sambamba na sie tena wao wana Vikwazo vikali vya kiuchumi kwa miaka 40 sasa ( 1979- 2019)

Wamepigana na Iraq ile yenyewe ya Saddam kwa miaka 8 lakin bado wabishi


Sie Vita ya Kagera ya Miezi 18 imekuwa kisingizio mpaka leo
 
ni vizuri sana kama Israeli atakuwa anajilinda maana kama Iran ataweza kuweka base za nguvu pale iraq na syria basi itakuwa hatari sana kwa Israeli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom