Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
Usingeitaja US ningeshangaa (utani)Jumuiya ya kimataifa ina condemn strikes za Israel ambazo most of the time hazi discriminate between military targets na civilians.
Lakini little is done kwasababu huwa naona kama Israel huwa wanakuwa 'pampered' sana international community wakiongozwa na US na UN.
Israel plays the victim kila mahali since ile Holocaust kule Germany under Nazi regime na kuongezeka kwa vitendo vya antisemitism around the word.
To be fair ni kuwa mimi naona occupation ya Israel katika West Bank na Gaza sio kitu poa kwa Palestinians na tokea Hamas wamechukua uongozi in mid 2000s wamekuwa in constant conflict vs Israelis.
Hawa US na UK ndio waliitengeneza Israel kama nchi kwa "kuwadhulumu" wapalestina ardhi yao. Sina uhakika kama US alikuwepo ila UK nadhani ndio alikuwa anatawala huko kipindi hicho. Wakawachezea mchezo.
Ukiongelea Jumuiya ya mataifa unategemea ni sawa unaongelea UK, na US hamna tofauti. Unategemea nini hapo?
Na ni lazima US wawa-'pamper' Israel kwani Geopolitically, Israel na America wana-share the same interest, US anamtumia Israel na Israel anamtegemea US ambayo ni very common in geopolitical strategies throughout history.
Hii conflict haitakaa iishe, nawaonea huruma hawa Hamas kwa sababu wana tegemea siku moja wataiangusha Israel.