Nurain
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 2,527
- 5,596
Una uwezo mdogo sana wa kufikiriLeo asubuhi Iran imetumia drones zaidi ya 200 wakijaribu kulipa kisasi ndiyo maana jioni hii Israel nao wamelipua kiwanda cha kutengeneza drones ( UAVs) pamoja na centrifuges zingine za nuclear....
Kipigo cha safari hii hakuna kupoa tena ni kupiga Tu silaha zote za iran