Israel yaomba nafasi AU.

Israel yaomba nafasi AU.

Israel apewe nafasi haraka sana iwezekanavyo! Sababu zilizokuwepo enzi hizo za kuitenga hazipo tena wala hazina mashiko. Zilikuwa propaganda mfu tu za waarabu ambao wamekuja kudhihirika baadaye "sio watu" zaidi ya urafiki wa kinafiki kwa manufaa yao.
Alaaaa !
 
Na kwanini hao waarabu wakubali kuchonganishwa wakati Ni wafuas was dini ya kweli? Kwanini wakubali kuchonganishwa Na kuuwana hovyo hovyo wao kwa wao. Kwanini hao waarabu wasiwachonganishe waisrael wauwane wenyewe kwa wenyewe???
Ajabu sana hii Mkuu!
 
Ukikubali kuchonganishwa inamaana unakuwa na low thinking capacity
Exactly, that's the meaning! Nakumbuka enzi za utoto tulikuwa tunawachonganisha majogoo na sometimes mbwa na walikuwa wanapigana kweli.
 
Makao makuu ya ushoga inaomba uangalizi kwenye AU. Rwanda inataka kupokea waamiaji haramu toka Isreal usikute wakapelekwa mashoga kuteka soka ndani. Baada ya miaka ijayo watataka Haki ya kutambuliwa na Haki zao, Kagame akikataa misaada inakatwa Maan anataka kuwapokea kisa apate misaada ikiwemo ya kijeshi.
 


Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu


WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema, nchi hiyo inakuza uwepo wake na kuzidisha uhusiano na Afrika kwa kuwa ina imani na hali ya baadaye ya bara hilo na inalipenda.

Alisema angetamani kupata nafasi hata ya kuwa mwangalizi ndani ya Umoja wa Afrika (AU) akisisitiza kuwa Israel inaweza kuboresha maisha ya watu popote, lakini kwanza barani Afrika na kuongeza kwamba katika kufanikisha hilo, Israel inafungua ubalozi jijini Kigali, Rwanda.

Kwa sasa Balozi wa nchi hiyo anaishi Ethiopia akitoa huduma za kidiplomasia kwa nchi za Rwanda, Burundi na Ethiopia. Mwaka 2015 Rwanda ilifungua ofisi ya Balozi jijini Tel Aviv, Israel.

Waziri wa Nchi, Mambo ya Nje, Ushirikiano na Mambo ya Afrika Mashariki wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe alisema, kufunguliwa kwa ubalozi wa Israel jijini Kigali kutaimarisha uhusiano baina ya nchi hizo.

Kwa mujibu wa Waziri huyo, ubalozi huo huenda utafunguliwa Juni- Julai mwakani. Kwa mujibu wa Waziri Nduhungirehe, pamoja na mambo mengine, ubalozi huo utaongeza fursa kwa wafanyabiashara wa Rwanda na Israel.

Waziri Nduhungirehe alisema ubalozi huo pia unatarajiwa kuwezesha kuanzishwa kwa safari za ndege kati ya Kigali na Tel Aviv. “Israel na Rwanda zimekuwa na uhusiano mzuri na zimeshirikiana kwenye mambo mengi.

Uamuzi wa kufungua ofisi umefanywa wakati mwafaka na utakuza ushirikiano,” alisema. Novemba 28 mwaka huu, Netanyahu alikwenda Nairobi, Kenya kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyatta na alizungumza na wakuu mbalimbali wa nchi za Afrika.

Wakati akizungumza kwenye Ikulu ya Kenya alisema, Israel iliomba kupewa hadhi ya kuwa mtazamaji kwenye Umoja wa Afrika (AU) kwa kuwa inataka kufanya kazi na Afrika.
Uchwara hapendi taarifa kama hizi
 
TZ juzi imefungua ubaloz pale tel aviv ila bado ajapelekwa balozi... ila ktk taarifa ya Mh maiga anasema kufanya hivyo sio kwamba wanafuta msimamo wao kuwa palestine ni taifa linaloitaji kueshimiwa na waisrael... ana sema walianza kulipigia kelele kabla ya UN kipindi cha Mwl nyerere... na sasa bado wana msimamo ule ule....
 
Illegal immigration from Africa to Israel
From Wikipedia, the free encyclopedia

Illegal immigration from Africa to Israel (often also referred to as infiltration by the Israeli media[1][2][3][4][5] and by Israeli government organizations;[6][7][8] however, the use of the term has been criticized[9]) refers to the act of African nationals entering Israel in violation of Israeli law. This phenomenon began in the second half of the 2000s, when a large number of persons from Africa entered Israel, mainly through the fenced border between Israel and Egypt. According to the data of the Israeli Interior Ministry, 26,635 people arrived illegally in this way to July 2010,[10] and over 55,000 in January 2012.[11] In an attempt to curb the influx,[12] Israel constructed the Egypt–Israel barrier, which was completed in December 2013.[13]

As of April 2017, according to the Population and Immigration Authority (PIBA) there are 39,274 asylum seekers in Israel, not including children born to asylum seekers in Israel.[14]

African asylum seekers comprise 0.5% of Israel's population. Most African migrants are generally regarded to be legitimate asylum seekers by various human rights organizations.[15][16]

Many of the migrants seek an asylum status under the United Nations Convention relating to the Status of Refugees. However, many of them, mostly citizens of Eritreaand Sudan, cannot be forcibly deported from Israel. Eritrea citizens (who, since 2009, form the majority of the undocumented workers in Israel) cannot be deported due to the opinion of the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) that Eritrea has a difficult internal situation and a forced recruitment and therefore the Eritrean immigrants are defined as a "temporary humanitarian protection group". The refugees from Sudan can not be deported to Sudan because, though it is an enemy state, Israel will not deport them back to Egypt due to a real fear for their fate.[17] The Egyptians refuse to give an undertaking not to deport these people to their countries of origin. Accordingly, the Israeli authorities grant a temporary residence permit to the undocumented workers, which need to be renewed every three months. Various authorities in Israel estimate that 80–90% of the undocumented workers live primarily in two centers: more than 60% in Tel Aviv and more than 20% Eilat, with a few in Ashdod, Jerusalem and Arad.[10]

Illegal immigration from Africa to Israel - Wikipedia


Contents
 
Israel has begun to toughen its stance toward refugees, telling unwanted Africans here they must leave now or face an indefinite stay in prison.

Israeli authorities are sending letters to the first of 45,000 Eritrean and Sudanese refugees, informing them they have 30 days to accept Israel’s offer of $3,500 in cash and a one-way ticket home or to an unnamed third country in Africa, or face incarceration at Saharonim prison.

Israeli leaders have proclaimed that their tough approach — building a fence along the country’s border, denying work permits for illegal migrants, forcing them into a detention center in the desert — may ultimately save lives by dissuading migrants from attempting a perilous journey. Critics of the Israeli policy counter that a country built by refugees should be more accepting of those fleeing war, poverty and oppression.

Israeli government to refugees: Go back to Africa or go to prison
 
ndio maana wanajifanya wana wapenda waafrica ili iweze kuwa rudisha kwa nguvu na kuwa bwaga popote pale hawa wahamiaji bila kujari taifa wanalo toka...

africa wana taka kuifanya kama jalala... la kutupa takataka... na kwa sasa wanakuja kwa kasi kufungua balozi katk nchi nyingi za africa ili kuya fanya wanayo weza kuyafanya kwa kigezo cha ushirikiano...
 
Na kwanini hao waarabu wakubali kuchonganishwa wakati Ni wafuas was dini ya kweli? Kwanini wakubali kuchonganishwa Na kuuwana hovyo hovyo wao kwa wao. Kwanini hao waarabu wasiwachonganishe waisrael wauwane wenyewe kwa wenyewe???
Simple tu,waarabu ni wajinga.Full stop
 
Wanatafuta soko la bidhaa zao, miaka 25 Israel itakua taifa kubwa sana kama litapata ushawishi Afrika.
 
Na kwanini hao waarabu wakubali kuchonganishwa wakati Ni wafuas was dini ya kweli? Kwanini wakubali kuchonganishwa Na kuuwana hovyo hovyo wao kwa wao. Kwanini hao waarabu wasiwachonganishe waisrael wauwane wenyewe kwa wenyewe???
Hapa ndipo akili za waafrika zilipoishia... Akitajwa mwarabu... Unaingiza UDINI shame on you
NACHUKIA SANA WATU WANAOENDEKEZA UDINI
 
Hawa nyang' au ni hivi hivi walianza kununua maeneo na kujipenyeza M.E.Africa tusipokuwa makini tutakuja kuwa wapalestina wa baadae.
 
Back
Top Bottom