Israel yaomba nafasi AU.

Israel yaomba nafasi AU.

Karibuni Waisrael huku Africa wamejaa Wachina na Wahindi hawana faida kwetu zaidi ya kutunyanyasa na kutuletea vitu feki na wabinafsi mnoo
 
No, No, hapana, Africa hatuhitaji mwangalizi kutoka huko.

Si ajabu anaweza kukubaliwa kuingia AU maana Afrika inazidi kupoteza uelekeo wa kujitawala, hasa baada ya kufariki kwa mashujaa wetu kama vile; Kwame Nkrumah, Julius K. Nyerere, Sir seretse khama, Martin Luther King Jr, Samora Machel, Nelson Mandela n.k

Afrika inazidi kupoteana.

Huwa najiuliza sana maswali, je ni lini Afrika itapata wapiganaji na wazalendo kama hao niliowataja hapo juu?
 
Na kwanini hao waarabu wakubali kuchonganishwa wakati Ni wafuas was dini ya kweli? Kwanini wakubali kuchonganishwa Na kuuwana hovyo hovyo wao kwa wao. Kwanini hao waarabu wasiwachonganishe waisrael wauwane wenyewe kwa wenyewe???
Hujui kama wa Israel,walichonganishwa,wakauliwa maelfu kwa maelfu na Hitler.Na waarabu wanaochanganishwa hawako dini moja, wako waislamu na wako wakristo pia.
 
Na kwanini hao waarabu wakubali kuchonganishwa wakati Ni wafuas was dini ya kweli? Kwanini wakubali kuchonganishwa Na kuuwana hovyo hovyo wao kwa wao. Kwanini hao waarabu wasiwachonganishe waisrael wauwane wenyewe kwa wenyewe???
Waisrael pia walichonganishwa,wakauliwa maelfu kwa maelfu na Hitler.Na hao waarabu wanaochanishwa hawako dini moja, wako waislamu na wako wakristo.
 
No, No, hapana, Africa hatuhitaji mwangalizi kutoka huko.

Si ajabu anaweza kukubaliwa kuingia AU maana Afrika inazidi kupoteza uelekeo wa kujitawala, hasa baada ya kufariki kwa mashujaa wetu kama vile; Kwame Nkrumah, Julius K. Nyerere, Sir seretse khama, Martin Luther King Jr, Samora Machel, Nelson Mandela n.k

Afrika inazidi kupoteana.

Huwa najiuliza sana maswali, je ni lini Afrika itapata wapiganaji na wazalendo kama hao niliowataja hapo juu?

Mkuu umemsahau Gadafi
 
Wengi humu,washabiki wa Israel,hawajui kiingereza,hii habari hawatailewa.Watafikiria ni matangazo ya biashara.Wakati waafrika wanatimuliwa Israel hawatakiwi.
 
Nijuacho mimi kupitia maandiko pia,wa Israel halisi hawapo pale Israel..yale ni mazungu fulani tu chonganishi yenye kuleta vita duniani.siku mu Israel atakapotaka kurudi nchini mwake kutatokea mgongano mkubwa sana wa dunia na atafanikiwa kurudi kutoka utumwani mwa hao hao wazungu wajanja na hapo hutasikia tena taifa lenye nguvu zaidi ya Israel,si leo wala kesho ila siku hiyo yaja.hao kina Nentanyahu wala siyo wa Israel hata kidogo.wapo kimkakati tu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Israel has begun to toughen its stance toward refugees, telling unwanted Africans here they must leave now or face an indefinite stay in prison.

Israeli authorities are sending letters to the first of 45,000 Eritrean and Sudanese refugees, informing them they have 30 days to accept Israel’s offer of $3,500 in cash and a one-way ticket home or to an unnamed third country in Africa, or face incarceration at Saharonim prison.

Israeli leaders have proclaimed that their tough approach — building a fence along the country’s border, denying work permits for illegal migrants, forcing them into a detention center in the desert — may ultimately save lives by dissuading migrants from attempting a perilous journey. Critics of the Israeli policy counter that a country built by refugees should be more accepting of those fleeing war, poverty and oppression.

Israeli government to refugees: Go back to Africa or go to prison
Afadhali hii, Libya wanafanywa watumwa na nchi nyingine za kiarabu wanasukumwa kutokea kwenye magorofa
 
Wengi humu,washabiki wa Israel,hawajui kiingereza,hii habari hawatailewa.Watafikiria ni matangazo ya biashara.Wakati waafrika wanatimuliwa Israel hawatakiwi.
Walibya wanawauza hawa blacks kwa mnada kama dagaa, na hapo Libya ipo Africa, jiulize wangefanya nini kama Libya ingekuwa nje ya Africa.
 
Waafrika mafara sana !! Utakuta Mkristo anashabikia Israel na Muislam anashabikia waarabu !! Kweli afrika tumekamatiwa akili zetu huku tukijifanya wajanjaaa.
 
Hawa sinagogi la shetani wanataka kuja kutulipua na sisi. Imagine ule mpango wa UN na USA kuwaweka Uganda ungefanikiwa sijui tungeshalipuliwa mara ngapi kama wapalestina....
 
Wanatafuta soko la ushoga hao mafala....kwa Tanzania wamewapata tena kiulaini mno...maana kuna mijitu imetapakaa mitaani haina issue za kufanya.
 
Wamewachonganisha Waarabu wee wakafanikiwa, daha sasa wanataka kuja kwetu Daah twafwa
Sisi hawana cha kupoteza. Nahisi wanataka wapalestina wawahamishe kabisa kule. Wawalete huku kwetu
 
Back
Top Bottom