Israel yaomba nafasi AU.

Israel yaomba nafasi AU.

Ujinga mwingine huu,Yaani miafrica bana hovyo kabisa.Yaani muuzane wenyewe halafu mnasingizia European Union,Ni kwa nini wasiuzwe walibya ambao nchi yao imebaki magofu,mje muuzwe nyie weusi mnaokimbia kwenu.Hebu kila mmoja abaki nchini kwake uone kama huo uonevu hautakoma?.Biashara ya utumwa Libya ni ujinga wa kiafrica tu,hakuna cha mzungu wala nini.Badilikeni,kaeni nchini mwenu piganeni na maisha muone kama mtauzwa hovyo hovyo.
Waafrika akili zetu za kipumbavu Sana, na hii inatokana na ulaji wa ugali ambao Marekani wanatumia kwa kulisha mifugo na kutengeneza Gas ya ethanol. Marekani wanasema ugali unafanya akili inakuwa pumbavu ndio maana tunatawaliwa
 
Ujinga mtupu,watu wanakimbia kwao kuelekea Libya ili waende ulaya,Halafu wakiuzwa wanawasingizia wazungu sijui waarabu.I agree kwamba modern slavery ni upumbavu,Ila ni ujinga zaidi kumlaumu mzungu kwa makosa yetu wenyewe.
 
Mshenzi sana huyo amemaliza waarabu sasa anatakakuja na afrika asipeweeew
 
Waafrika akili zetu za kipumbavu Sana, na hii inatokana na ulaji wa ugali ambao Marekani wanatumia kwa kulisha mifugo na kutengeneza Gas ya ethanol. Marekani wanasema ugali unafanya akili inakuwa pumbavu ndio maana tunatawaliwa
 
Bora waje tu waarabu watu wabaya sana na wanyanyasaji ona wanavotesa watu huko libya na dada zetu wanaoenda huko saudi arabia na oman wanateswa sana kama watumwa na wanaubaguzi bado bora huyo aje tu
 
Makao makuu ya ushoga inaomba uangalizi kwenye AU. Rwanda inataka kupokea waamiaji haramu toka Isreal usikute wakapelekwa mashoga kuteka soka ndani. Baada ya miaka ijayo watataka Haki ya kutambuliwa na Haki zao, Kagame akikataa misaada inakatwa Maan anataka kuwapokea kisa apate misaada ikiwemo ya kijeshi.
Viroba si vilipigwa marufuku??? Wewe umevitoa wapi??
 
mambo mengine bana. hivi ni lini Tanzania inaweza kupewa nafasi ya kuwa mwangalizi wa nchi za ulaya au Israel? waondow umangimeza hao
 
Exactly, that's the meaning! Nakumbuka enzi za utoto tulikuwa tunawachonganisha majogoo na sometimes mbwa na walikuwa wanapigana kweli.
mkuu hawa wanaresource nyingi huku wakiwa na backup ya mataifa ya magharibi akiwemo na marekani so ni rahisi sana hakuna nchi inaweza ruka viunzi vya mataifa haya labda hawajataka tu...
 
Akili kubwa kutamani kukaa pamoja na akili ndogo! Nina mashaka na motive!
 
Back
Top Bottom