Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,840
- 13,201
Zelensky kichwa maji,Rais wa Ukraine alikuwa amepanga kuongozona na Blinken kwenye ziara yake huko Israel kwa lwngo la kuonesha mshikamano lakini Israel wamemkatalia.
Wakati huo cancellor wa Ujerumani, rais wa Ufaransa, Waziri mkuu wa Uingereza na baadhi ya viongozi wengine waliopanga kwenda Israel wameruhusiwa.
WHY?
I bet ni kwa sababu ya mahusiano yaliyopo kati ya Russia na Israel.
Ama ni kwa sababu Israel wanahisi Zele anataka kufanya hiyo ziara kudraw attention ya West kuwa wasimsahau kwenye misaada kwani Ukraine na Tel Aviv wote ni wahanga.
More:
Netanyahu's officials reportedly informed the Ukrainian president that “the time is not right”
Ukrainian President Vladimir Zelensky wished to visit Israel, in an attempt to link his country's cause to that of the Jewish state, but was asked to stay away, Ynet reported on Monday.
Zelensky was allegedly told “the time is not right” for making such a trip, the outlet explained. The Ukrainian president allegedly wanted to travel to the country alongside US Secretary of State Antony Blinken.
His intention to visit Israel to show “solidarity” was first reported by Axios last Wednesday. The trip would have boosted “international support for Israel’s counteroffensive against Hamas in Gaza,” the report suggested.
Jitu linapelekewa silaha kila simu, nguvu kazi ya kuzitumia inateketea kila uchwao,
tuendako itafikia mahali litakuja kujikuta lina silaha lakini hakuna wa kuzitumia na limebaki lenyewe pekeyake