Israel yamkatalia Zelensky kwenda kutembelea Tel Aviv

Rais wa Ukraine alikuwa amepanga kuongozona na Blinken kwenye ziara yake huko Israel kwa lwngo la kuonesha mshikamano lakini Israel wamemkatalia.

Wakati huo cancellor wa Ujerumani, rais wa Ufaransa, Waziri mkuu wa Uingereza na baadhi ya viongozi wengine waliopanga kwenda Israel wameruhusiwa.

WHY?
I bet ni kwa sababu ya mahusiano yaliyopo kati ya Russia na Israel.

Ama ni kwa sababu Israel wanahisi Zele anataka kufanya hiyo ziara kudraw attention ya West kuwa wasimsahau kwenye misaada kwani Ukraine na Tel Aviv wote ni wahanga.

More:
Netanyahu's officials reportedly informed the Ukrainian president that “the time is not right”

Ukrainian President Vladimir Zelensky wished to visit Israel, in an attempt to link his country's cause to that of the Jewish state, but was asked to stay away, Ynet reported on Monday.

Zelensky was allegedly told “the time is not right” for making such a trip, the outlet explained. The Ukrainian president allegedly wanted to travel to the country alongside US Secretary of State Antony Blinken.

His intention to visit Israel to show “solidarity” was first reported by Axios last Wednesday. The trip would have boosted “international support for Israel’s counteroffensive against Hamas in Gaza,” the report suggested.
Zelensky kichwa maji,
Jitu linapelekewa silaha kila simu, nguvu kazi ya kuzitumia inateketea kila uchwao,

tuendako itafikia mahali litakuja kujikuta lina silaha lakini hakuna wa kuzitumia na limebaki lenyewe pekeyake
 
Israel haitaki kuongeza maadui,maana hata wewe ukiambiwa uanzishe vita ambayo Haina faida na wewe ni ya nini, maadui WA Israel ni waarabu bhas
 
Israel kumkaribisha Zelensky ni kuifanya Russia kuwa side ya Hamas na kuipa nguvu Hamas, na hili ndilo myahudi anajaribu kulikwepa kijanja.

Mchezo mzima ni kama kuchagua sides hivyo itapelekea mgogoro wa Hamas na Israel kuwa mtamu zaidi, ndio maana Zelensky kajibiwa si wakati sahihi lakini baadae anaweza kutembelea.

Hamas haina uwezo huo kupambana na Israel lakini hamas wanapowezeshwa kwa silaha na mafunzo toka mataifa yenye nguvu kama Russia, Iran na vikundi kama Hezbollah inaweza pelekea Israel kudhalilika sana na pengine kuomba amani.

Cha mwisho medias ziwe zina balance taarifa uharamia Israel inaofanya Palestine sio sawa, si vizuri kuona wananchi wasio na hatia ndio wanaumia tokea upande wowote ule Palestine au Israel.
Usawa gani tena......media zilionyesha kira kitu kutoka alwa akbar mpaka free Palestine tena bila upendeleo
 
Israel hajajihusisha na yanayoendelea UKRAINE, na sasa hawako tayari kumpokea ZELEMAN kipindi cha vita na HAMAS, nadhani kuna uhusiano flan kati ya ISRAEL na URUSI, ambao unalindwa hapa.
 
Israel hajajihusisha na yanayoendelea UKRAINE, na sasa hawako tayari kumpokea ZELEMAN kipindi cha vita na HAMAS, nadhani kuna uhusiano flan kati ya ISRAEL na URUSI, ambao unalindwa hapa.
Hata Russia miaka yote anamlaumu US kwa mgogoro wa Gaza. Kuwa anachonganisha.

Huwa hawakemei Israel.

Dunia kubwa sana aisee
 
ISRAEL hataki kumkwaza URUSI, hii inajulikana wazi kuwa Israeli bado anamuheshimu Urusi... Urusi kamsaidia sana Israel kwenye baadhi ya mambo... Kitendo cha kumkaribisha rais wa Ukrein kingechochea uhasama na Urusi

israel imesaidiwa na urusi nn??
hapo ambacho israel inafanya ni kuepusha russia isije iunga mkono iran hasa kwene huu mgogoro …. ukizingatia israel anambutua iran syria, iraq, lebanon na gaza
 
Rais wa Ukraine alikuwa amepanga kuongozona na Blinken kwenye ziara yake huko Israel kwa lwngo la kuonesha mshikamano lakini Israel wamemkatalia.

Wakati huo cancellor wa Ujerumani, rais wa Ufaransa, Waziri mkuu wa Uingereza na baadhi ya viongozi wengine waliopanga kwenda Israel wameruhusiwa.

WHY?
I bet ni kwa sababu ya mahusiano yaliyopo kati ya Russia na Israel.

Ama ni kwa sababu Israel wanahisi Zele anataka kufanya hiyo ziara kudraw attention ya West kuwa wasimsahau kwenye misaada kwani Ukraine na Tel Aviv wote ni wahanga.

More:
Netanyahu's officials reportedly informed the Ukrainian president that “the time is not right”

Ukrainian President Vladimir Zelensky wished to visit Israel, in an attempt to link his country's cause to that of the Jewish state, but was asked to stay away, Ynet reported on Monday.

Zelensky was allegedly told “the time is not right” for making such a trip, the outlet explained. The Ukrainian president allegedly wanted to travel to the country alongside US Secretary of State Antony Blinken.

His intention to visit Israel to show “solidarity” was first reported by Axios last Wednesday. The trip would have boosted “international support for Israel’s counteroffensive against Hamas in Gaza,” the report suggested.
usichojua ni kwamba, Zelesky ana uraia wa Israel, na ndio maana Putin hamuui. angeshamtoa roho kitambo sana.
 
Mjinga ni Putin kwa kuvamia nchi ya mwenzake, hata wewe utakubali jamaa aje kwako amchukue mkeo kiulaini huku majirani wakikucheka??!!
Mjinga anaweza kuwa ni wewe kwa kutoweza kuchanganua mambo kwa sababu ile ni nchi kubwa haiwezi kukurupuka.
 
Back
Top Bottom