Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Ukisema mimi niko neutral maana yake uko upande wa MWONEVU.eti kila mtu ashinde mechi zake....Ukraine wamekubali kuwa uwanja wa vita kati ya NATO na RU
hii itupe funzo la kutoegemea mrengo wowote...tuwe neutral when it comes to foreign affairs
Hapo waisrael walipo sema wamekataa,vice versa yake ni kuwa amekubali kisirisiri.(hahahah)
Nalog off