Israel yafanya mashambulizi ya anga Gaza

Kwani hao Hamas kama hawana uwezo wa kupambana na Israel kwanini wanawachokoza??
Kwanini wengi wanaowatetea mitandaoni wanapenda kuonewa huruma??
 
wapinaji wa hamas wanatumia ule msemo wetu sisi watanzania msemo wa "adui yako muombee njaa" jana wapiganaji wa hamas walifanikiwa kurusha maputo 20 yenye viripuzi vya moto na kusababisha uharibifu mkubwa wa mazao kutokana kuungua moto.mashambulizi ya israel hayajaua wa kuumiza mtu
Leongo haikuwa kuua MTU
 
Israel imeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya maeneo lengwa ya Hamas katika ukanda wa Gaza. Taifa hilo limefanya hivyo baada ya maputo ya moto kurushwa kuelekea upande wake.

Kwa mujibu wa huduma ya zimamoto ya Israel, maputo kadhaa ya moto yalirushwa kutoka upande wa Gaza na kusababisha milipuko kadhaa.

Hii ni milipuko ya kwanza tangu kusitishwa kwa mapigano yaliyodumu kwa siku 11 kati ya pande hizo mbili Mei 21 mwaka huu.

======

Israel says it has launched air strikes against Hamas targets in the Gaza Strip, in retaliation for incendiary balloons fired from the territory.

Explosions were heard in Gaza City in the early hours of Wednesday.

Several balloons were sent from Gaza into Israel earlier on Tuesday causing multiple fires, according to the Israeli fire service.

It is the first major flare-up since 11 days of fighting between the two sides ended in a ceasefire on 21 May.

It followed a march by Jewish nationalists in occupied East Jerusalem on Tuesday, which had drawn threats from Hamas, the militant group that runs Gaza.

What do we know about the attacks?
In a statement, the Israel Defense Forces (IDF) said its fighter jets had hit military compounds operated by Hamas in Khan Yunis and Gaza City.

It said "terrorist activity" took place in the compound, and that the IDF was "prepared for all scenarios, including the resumption of hostilities, in the face of continued terror acts from the Gaza Strip".

It is not immediately clear if the air strikes have caused any injuries.

A Hamas spokesman said in a statement on Twitter that Palestinians would continue to pursue their "brave resistance and defend their rights and sacred sites" in Jerusalem.

Israel's fire service said the incendiary balloons launched earlier from Gaza had caused at least 20 fires in fields by communities in southern Israel.

This is the first violent exchange since Israeli's new coalition government came to power last weekend, headed by Naftali Bennett and drawing an end to Benjamin Netanyahu's 12-year run as prime minister.

Source: BBC
Mungu aliwaambia Waisrael waue uzao wote wa Ishmael ( Palestina) hawakusikia,Mungu aliwaonya kuwa hao watakuwa mwiba juu ya maisha yao,walipokuta wanawake wazuri wenye mata**ko makubwa Tamaa ikawaingia,sasa Israel inavuna miiba,hawa watu hadi waishe wote ndo Middle East itatulia, yaani wamelaaniwa hata Mungu hawataki.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Israel imesema kuwa imegundua kuwa Inaandamwa sana na vyombo vya habari vya Dunia...Kwani Mashambulizi yake huwa ni kutuliza ghasia au na imevitaka viwe vinarusha habari za uchokozi za waarab kwanza so kampeni i hope itaanza kuwakomesha waandishi uchwara wenye nia ya kuichafua Israel kimataifa... yaani Heading za Ajabu tena front page hivi mnataka Israel achokozwe and then atulie tu kimya kama zoba ndio mnafurahia nini?

Naamuru Israel tena awe anapiga haswa kipigo kikali ili muandike vizuri... Yaani Dunia nzima heading ni hii tu. wafia magaidi wana taabu sana
 
Mungu aliwaambia Waisrael waue uzao wote wa Ishmael ( Palestina) hawakusikia,Mungu aliwaonya kuwa hao watakuwa mwiba juu ya maisha yao,walipokuta wanawake wazuri wenye mata**ko makubwa Tamaa ikawaingia,sasa Israel inavuna miiba,hawa watu hadi waishe wote ndo Middle East itatulia, yaani wamelaaniwa hata Mungu hawataki.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Alolaaniwa mpalestina au muisraeli mpinga kristo,muhasisi wa ushoga na undumbangwe???
 
Back
Top Bottom