Israel washambulia Kanisa Gaza na kuua waumini 40 papo hapo

Shida nikwamba nabishana na kichanga..usikute ulikua haujazaliwa walivyotulipua na mabomu yao hapa bongo..yani mtu anatoka kwao anakuja uku kutuuwa tuu??

Hapana aisee acha wale kichapo

Umuhimu wa kidini wa Msikiti wa al-Aqsa​

Kwa Waislamu , msikiti wa al-Aqsa uliopo mjini Jerusalem ndio eneo la tatu kwa utakatifu.
Msikiti wa Al Aqsa ndio uliokuwa ukitumiwa kama qibla{Eneo ambalo Waislamu hutazama wanaposali} kwanza kabla ya kibla kwenda Mecca.
Ukarabati wa jengo hilo uliofanyika katika karne ya 7 , unaaminika na Waislamu kuwa eneo ambalo Mtume Muhammad alipaa mbinguni.
 
Hili taifa linazidi kuchanganyikiwa! Huu ni ukichaa na uwendawazimu kushambulia makanisa na misikiti ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu

My take: Maombi ya kuiombea Israel kwa watu walokosa uelewa naona yameanza kufanya kazi sasa

Ni kichaa tu anayeweza kuwachukia Wayahudi. Kuna kikundi cha Wazayuni wanaojivika koti la Uyahudi kupitia dola bandia la Israel wanaotekeleza unyama kama huu huku wakijifanya ni Wayahudi!

====

40 christians dead as Israel bombed one of the oldest church in the world where 500 christians where seeking shelter!

With the attack on the Baptist hospital, Israel is targeting the orthodox church in it's oldest home, Palestine!

Christian world where are you?!

This church is reportedly one of the oldest churches in the area, and was home to around 100 Christians and some Muslims who were displaced from their homes due to the war (other sources, including the guard of the church, claim the number could be in the hundreds, but we have not been able to verify this)

Al Jazeera and Al Arabiya could only confirm 2 casualties so far, however many claim the number could be a lot higher.

We are waiting for further details to verify those claims.

WHAT HAPPENED:

Initial reports show that Israel bombed this church by firing a missiles.

This caused collateral damage to the church, leading to the collapse of one of the three buildings of the church.

This building belongs to the Greek Orthodox Church in downtown Gaza City.

It's important to note, there were false reports this church was destroyed a few days ago. These reports were rebuked by the church which was unscathed at the time.

BREAKING: THE ORTHODOX PATRIARCH CHURCH CONFIRMS ISRAELI AIRSTRIKE

This church has confirmed and denounced on its Facebook page the "Israeli bombing of one of its church buildings in Gaza City."
View attachment 2786842
Ngoja wayahudi wa masanzakona waje
 
Umuhimu wa kidini wa Msikiti wa al-Aqsa​

Kwa Waislamu , msikiti wa al-Aqsa uliopo mjini Jerusalem ndio eneo la tatu kwa utakatifu.
Msikiti wa Al Aqsa ndio uliokuwa ukitumiwa kama qibla{Eneo ambalo Waislamu hutazama wanaposali} kwanza kabla ya kibla kwenda Mecca.
Ukarabati wa jengo hilo uliofanyika katika karne ya 7 , unaaminika na Waislamu kuwa eneo ambalo Mtume Muhammad alipaa mbinguni.
Mkuu acha ulimbukeni,, sisi tunawajua waislam ni watu wa namna gani na waislam wakipalestina ni watu wa namna gani.

Usiingize kabisa udini hii vita maana haisiani kabisa na ukatili hamas waliofanya.

Mimi mwenyewe muislam lakin sijapenda hamas walichofanya. Ni nchi moja tuu dunian ingekaa kimya kwa ule ukatili ukiofanywa
 
Hali hii ni ya kutisha na yenye kuhuzunisha sana, na inaonyesha madhara makubwa ya mashambulizi dhidi ya maeneo ya ibada, bila kujali imani maalum inayohusika.
Problem ni hao Hamas wanaingia humo kujifanya wanahitaji msaada wa makazi.
Lile ni kanisa litawapokea wayahudi wanaona kule kwamba wameingia hapa.
Sasa hapo kuna swali.
Wanapiga wote.
Km kuna magaidi 10 mle wako 500 kwenye kutafuta mmoja mmoja mnapoteza muda.
Solution inakua hiyo
Na ndipo wanakufa wasio na hata.
Kungekuwepo na uwezo wangekataa kuwaruhusu waje humo kanisani.
Mbona nchi za kiarabu zote wamekataa kuwachukua wakimbizi?
Wanajua wakifanya hivyo wayahudi watawafwata humo kwao
 
. Umuhimu wa kidini wa Msikiti wa al-Aqsa​

Kwa Waislamu , msikiti wa al-Aqsa uliopo mjini Jerusalem ndio eneo la tatu kwa utakatifu.
Msikiti wa Al Aqsa ndio uliokuwa ukitumiwa kama qibla{Eneo ambalo Waislamu hutazama wanaposali} kwanza kabla ya kibla kwenda Mecca.
Ukarabati wa jengo hilo uliofanyika katika karne ya 7 , unaaminika na Waislamu kuwa eneo ambalo Mtume Muhammad alipaa mbinguni.
Mbona mnatuchanganyia habar?mudy alipaa Tena?
 
kwanini haulaani shambulio la Hamas la 7 October?
Hamas kuua raia kafanya vibaya!

Israel naye kuua raia anafanya vibaya!

Na kibaya zaidi Israel kavunja sheria za kimataifa kitu ambacho huwa kinafanywa na magaidi.

Kama raia wote ni wenye thamani ileile! Raia wa Israel na raia wa palestina wote thamani yao ni moja na wote ni binadamu.

Inakuwa ni ajabu upande mmoja ukifanya unaitwa gaidi na upande mwengine ukifanya hicho hicho hauitwi ugaidi.

Amani ni muhimu!
 
Mkuu acha ulimbukeni,, sisi tunawajua waislam ni watu wa namna gani na waislam wakipalestina ni watu wa namna gani.

Usiingize kabisa udini hii vita maana haisiani kabisa na ukatili hamas waliofanya.

Mimi mwenyewe muislam lakin sijapenda hamas walichofanya. Ni nchi moja tuu dunian ingekaa kimya kwa ule ukatili ukiofanywa
Asee hufwatilii kabisa yanaoendelea hapo West Bank na Gaza kwa hizo hoja zako bora unyamaze.
 
Hawa hamas niwakumaliza kabisa, alafu mm kitu kinachonishangaza kwanini waliwavamia watu kwenye fiesta yao, yani mpka wasafi fiesta naogopa kwenda sikuizi😣
Kuwamaliza sawa tuseme ni muhimu. Lakini kwa nini unapiga miundimbinu ya kiraia na kuua raia?

Blinken kipindi cha Russia anaivamia Ukraine alitaja mambo ambayo Russia inayafanya Ukraine ni kusema kinachofanyika ni uvunjifu wa sheria za kimataifa. Alitaja Russia imekata umeme, imezuia maji na chakula kwa watu wa Ukraine! Huu ni uvunjifu wa sheria za kivita.

Hali ileile israel anaitumia dhidi ya Palestina. Sasa kuna utofauti gani? Civilians are civilians! Hakuna raia yupi ni bora kuliko wa Taifa jengine!

Hamas imelaumiwa kwa mauaji dhidi ya raia wa Israel. Israel nayo ni lazima ilaumiwe dhidi ya mauaji ya raia wapalestina.

Wanachofanya Israel ni mauaji ya raia wapalestina. Na ni makosa.
 
Kwani alieanzisha mashambulizi ni nani. Alafu nani leo analia lia? Nimeona kuna zuzu kasema hii vita ya kidini ila chanzo ni nani kumchokoza mwenzake juzi? Waliochokoza nyuki acha ziwaume bado hawajasema yaani alipo kafiri hata kana kajificha kwa mkristo bas inahesabika mkiristo kawa defect analipuliwa yeye na kafiri mwenzake
 
Hamas kuua raia kafanya vibaya!

Israel naye kuua raia anafanya vibaya!

Na kibaya zaidi Israel kavunja sheria za kimataifa kitu ambacho huwa kinafanywa na magaidi.

Kama raia wote ni wenye thamani ileile! Raia wa Israel na raia wa palestina wote thamani yao ni moja na wote ni binadamu.

Inakuwa ni ajabu upande mmoja ukifanya unaitwa gaidi na upande mwengine ukifanya hicho hicho hauitwi ugaidi.

Amani ni muhimu!
Adhabu kali lazima ielekezwe kwa mchokozi!! Chanzo cha tabu zote hizi ni uchokozi
 
Problem ni hao Hamas wanaingia humo kujifanya wanahitaji msaada wa makazi.
Lile ni kanisa litawapokea wayahudi wanaona kule kwamba wameingia hapa.
Sasa hapo kuna swali.
Wanapiga wote.
Km kuna magaidi 10 mle wako 500 kwenye kutafuta mmoja mmoja mnapoteza muda.
Solution inakua hiyo
Na ndipo wanakufa wasio na hata.
Kungekuwepo na uwezo wangekataa kuwaruhusu waje humo kanisani.
Mbona nchi za kiarabu zote wamekataa kuwachukua wakimbizi?
Wanajua wakifanya hivyo wayahudi watawafwata humo kwao
Kwa hiyo una justify mauaji ya raia 500 kwa hiyo sababu? Really?

Kwa hiyo wakipiga makanisa 10 kwa unachotetea (10x500)=5000. Raia 5000 watakuwa wameuliwa!

Kama ni akili au imani yako ndiyo inamwelekeo huo?! Mungu wako ni muuaji na katili! Na kama ni akili yako basi wewe ni muuaji na katili.
 
Back
Top Bottom