NetworkEngineer
JF-Expert Member
- Jun 21, 2012
- 1,973
- 1,204
Join Date : 2nd October 2013
Posts : 38
Rep Power : 308
Likes Received
4
Likes Given
5
Kumbe tulikuwa tunahangaishwa na watu wa namna hii ndiyo maana kila ukimwelewesha haelewi sasa sioni taabu maana nimeshajua ni mtu wa namna gani.
Israel wana silaha za nuclear, Iran hawana kwa sasa, kwa hiyo ni dhahiri Iran hamuwezi Israel, kwa sasa.
Hivi we mzima kweli? Unadhani kuwa katika Jamii forum mda mrefu ndo unanizidi akili au unanizidi kitu.
Hivi we mwanajeshi msatafu, katika akli zako unadhani wote walio kuja join kwenye jeshi bada yako uliwazidi cheo, na ujuzi wa kijeshi.
basi kumbe kumeendelea kipindi natoka pande hizo umeme haukuwepo ulikua unaishia somanda.na kwa njia ya kwenda ngulyati ulikua unaishia pale mnadani bariadi.
Kuna mtu alikuwa na ngumi kali sana anaitwa Leon Spinks ambae legend za zamani tukiwa wadogo tuliambiwa Muhammed Ali alikataa kupigana nae mpaka Spinks afungwe kamba mkono wa kushoto. Basi Spinks akawa anapokea kichapo kibaya sana kwa kujifanya kupigana na mkono mmoja, ikabidi kocha wake akaita Spiiiiiinks.... leeeeeft.... basi Spinks akakata kamba ya mkono akarusha jab moja kali kupita maelezo Muhhamed Ali akawa ameisikia ile ngumi ikiitwa, akaepa, Spinks akagonga mlingoti wa ring, akakata mlingoti akawa disqualified!hizo siraha za nyuklia ataruhusiwa kuzitumia?
huu mtindo umeenea xana, ni ushamba tena sana eti kipimo cha hoja ya mtu ni join date yakeg, unaweza ukawe jf miaka 10 then hakuna hoja ya maana unaweza kuijenga na watu wakakuelewa na pia mtu akijoin jf hata leo haimaanish yeye ni wakupost utumbo kama wewe unavyojua nyoooo!
umeona hee eti join date ndio kipimo cha maarifa nyoo! Yaani jf kuna members wako very broud kwamba ni member wa muda mrefu na kufikia hatua ya kuwadharau wale waliojiunga kipind kifupi kilichopita, tuache mambo hayo tunashindana hadi ktk join date utafikiri jami forum mwisho wa siku watatoa viinua mgongo vya wastafu
kwa kuanzia tu iran walishawahi kuiteka jerusalem miaka ya nyuma na kuikalia kwa mamia ya miaka,soma persia empire.Unajua hii mada Iko kiiman Zaidi
Kila mchangiaji avutia kwake kutokana na Imani yake!
Niseme kitu kimoja ili twende Sawa tutafute history ya haya mataifa ata kwenye vitabu vya Dini kua yametoka wapi na waliwahi kupigana vita na nana alishinda?
Kwa kufanya hivo tutaenda sawa
Nawakilisha
israel ndo hataki iran awe na nuclear kwa kuhofia atamzidi nguvu za kijeshi.israel ni kama kagame awe na kisu mkononi (atomic)halafu anataka kupigana na tuseme kabila ila anataka kabila awe mikono mitupu.Kuna mtu alikuwa na ngumi kali sana anaitwa Leon Spinks ambae legend za zamani tukiwa wadogo tuliambiwa Muhammed Ali alikataa kupigana nae mpaka Spinks afungwe kamba mkono wa kushoto. Basi Spinks akawa anapokea kichapo kibaya sana kwa kujifanya kupigana na mkono mmoja, ikabidi kocha wake akaita Spiiiiiinks.... leeeeeft.... basi Spinks akakata kamba ya mkono akarusha jab moja kali kupita maelezo Muhhamed Ali akawa ameisikia ile ngumi ikiitwa, akaepa, Spinks akagonga mlingoti wa ring, akakata mlingoti akawa disqualified!
Mmeuliza Israel na Iran wakipigana nani atapigwa, halafu sasa mnataka kumfunga mkono Israel asitumie silaha zake. Unadhani akianza kupokea kichapo kinachotishia kufutika kwa Israel ataacha kurusha nuclear lake? Asiruhusiwe na nani? Anaeweza kumkataza ni US ambae ni mjombaake, ambae na yeye pia ashatupa Nuclear Japan. Vita vita! Ubaya ubaya! Una jiwe rusha, una nuclear rusha!
Hakika ulivyokuwa unajenga Hoja zako ilionyesha wazi kuwa una Kamba mguuni GT anajua kujenga hoja zenye MSHIKO hakurupuki na hahami kwenye MADA hata kama atahama akiambiwa anarudi kwenye MADA maadamu mmeshaihamisha MADA kuwa ya KIDINI basi endeleeni kujadili mimi na wengine tunasubiri tuone MSHINDI.
kwa kuanzia tu iran walishawahi kuiteka jerusalem miaka ya nyuma na kuikalia kwa mamia ya miaka,soma persia empire.
Waajemi walitolewa Israel au wapi na ulikua wakati gani?Waajemi walikuja kutolewa na majeshi ya kiislamu yakiongozwa na khalifa umar,wao ndo walioikalia jerusalem,wakati huo wakristo walikuwepo hapo wakisari kwenye kanisa lao hapo na waliendelea na iman yao bila bughuza ni wakati huo pia ndo palijengwa ule msikiti wa al agsa pale temple mount.
Lakina miaka mingine mbeleni ndo yalifuata mambo ya crusade kwa mamia ya miaka,ukweli ni kuwa jerusalem uliendelea kuwa mji chini ya nchi ya jordan hadi mwaka 1967 katika ile vita ya siku sita ndo waisrael wakawa wameiteka jerusalem kutoka jordan.
Yani aliposema vile nikajua nimeisha mshinda point ndio akakimbilia kusema vile, ingekuwa anawaza vizuri sidhani ange weza kuongea vile.huu mtindo umeenea xana, ni ushamba tena sana eti kipimo cha hoja ya mtu ni join date yakeg, unaweza ukawe jf miaka 10 then hakuna hoja ya maana unaweza kuijenga na watu wakakuelewa na pia mtu akijoin jf hata leo haimaanish yeye ni wakupost utumbo kama wewe unavyojua nyoooo!
Hizbullah wanasema tokea mwaka 2000 Israel kisha hawezi kupigana tena vita ni kila vita atakayo ingia lazima ashindwe.Lakini pia tuwekee Israel- Hezbollar war! Igoogle uone ilikuaje?
Nadhani hapa nilichoruka ni kwamba baada ya ottoman empire eneo hilo likijulikana kama palestine likawa chini ya British empire ambayo hatimae ilitoa uhuru kwa jordan na mji wa jerusalem na westbank zikawa sehemu ya jordan wakati gaza ikiwa inabaki sehemu ya misri .ndipo baada ya makubaliano fulani na wakoloni wa uingereza wayahudi wakaanza kuja palestine baada ya vitakuu ya pili ya dunia,walianzisha harakati ndipo likaja undwa taifa la israel 1948,ndipo mwaka 1967 wakaiteka jerusalem,westbank na gaza.