ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Kwani hawajui kama sasa hivi kutoa takwimu Tanzania ni kosa la jinai,unakula faini na nondo za kutosha@TheOnly,umeondoka kapa kwasababu you dont think critically.connection ni kuwa naweza kuweka data za israel,canada,oman etc,lakini siwezi weka data za nchi yangu,