Israel test-fire magic wand missile shield

Rumishaeli

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
227
Points
195

Rumishaeli

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
227 195
Israel test-fires ‘Magic Wand’ missile shield after Iron Dome failure
A model of the interceptor missile used by the Magic Wand system
Mon Nov 26, 2012 2:21PM GMT
47
85

39
The Israeli regime has completed the first round of tests on a new missile shield system following a failure of its Iron Dome to intercept hundreds of rockets and missiles fired from the Gaza Strip.

The testing was reportedly conducted in Negev Desert on Monday.

The interceptor missile system, which is called the “Magic Wand” or “David’s Sling,” is being co-developed by Israel’s Rafael Advanced Defense Systems and the American Raytheon Company.

The system is designed to intercept short-range ballistic missiles, large-caliber rockets and cruise missiles, as well as long-range rockets from a distance of at least 70 km. It is scheduled to become operational in 2014.

The Iron Dome missile shield only intercepted about 420 out of some 1,500 retaliatory rockets fired by the Palestinian resistance fighters into the Israeli cities during the recent Israeli onslaught on Gaza.

The landing of Hamas rockets in Israeli cities, which killed at least five Israelis, has raised serious questions on how the Israeli regime would protect itself in case of other retaliatory strikes.​
An Egypt-mediated ceasefire agreement on November 21 ended eight days of Israeli attacks on the besieged Gaza Strip that killed more than 160 Palestinians and injured about 1,200 others.

The Israeli regime developed the Iron Dome with a 200-million-dollar fund from the United States. Washington plans to give Tel Aviv another $600 million for additional batteries and replacement missiles.

Tel Aviv is also working with the giant American aerospace corporation, Boeing, on another missile shield known as Arrow 3, designed to intercept missiles that can travel hundreds, even thousands of miles.
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Hahaha US and Jews must be kidding, Iran " Khailji Al Fars " Ballistic Missile can perform evasive maneuver in the terminal phase of flight, and can release decoys in order to penetrate missile defense systems :poa
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
wangetest wengine ungesikia UN inatoa vikwazo vya kiuchum ,kisiasa etc
Wacha walie tu Iran wako mbali sana, kila siku Israel kelele tu na dunia nzima imieisha jua hana kitu...Angalia Iran anavyo piga hatua.

[video=youtube;b68xF1p77WA]http://www.youtube.com/watch?v=b68xF1p77WA&feature=re lated[/video

Last edited by a moderator:

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,434
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,434 2,000

Hey....!!!!

U must be kidding, joking or u have unknown spiritual interest toward Iran....

Just to hint u who ur blinding & lying urself for what u don't know to make u happy or just to be heard....!!

Look...!!!

1: Mosad... # 1 world killing machine & # 1 world. super intelligence killed 4 Iranian nukes Professors INSIDE TEHRAN using motor cycles, magnetic bombs to attach to cars ya walengwa na Iran wasijue cha kufanya & still Mosad operate inside Tehran wameshindwa kuwadhibiti...

2: when u speak of Israel UNAONGELEA U.S.A....

Kama huwajui vizuri US or u have dought of their being called SUPER POWER.....!!!! shauri yako...

Nikupe hii tu...
U.S. A military power & budget nisawa na nchi 10 duniani zenye nguvu za kijeshi na bado haziifikii US....
meaning Russia, China, UK, Germany, France, India, Italia, Spain, Pakistan, Brazil ukizijumlisha their military power is equivalent to USA.... NOT EQUAL.... be careful yaani INAIKARIBIA....ww lala...

3. Iran HAS NO TECH KNOW HOW & TECH KNOW WHO TO FIGHT SCIENTIFIC WARS....!!!

Ww huijui US .... kula ugali ulale..... some stuffs U WILL THINK MAGIC .... but science & intelligence at its best...!!

Ww shangilia tu.... utakosa a place kuwazika Iranians....

Ciao..... I am out...!!
 
Last edited by a moderator:

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
Ww huijui US .... kula ugali ulale..... some stuffs U WILL THINK MAGIC .... but science & intelligence at its best...!!

Ww shangilia tu.... utakosa a place kuwazika Iranians....

Ciao..... I am out...!!
Namezipenda hizo point za kula ugali ni lale, na tutakosa sehemu ya kuwazika Iran....Hakuna anaye kataa US ni super power, lakini we kalia na hizo views zako kama Hajapitwa na china very soon.
 
Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,434
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,434 2,000
Namezipenda hizo point za kula ugali ni lale, na tutakosa sehemu ya kuwazika Iran....Hakuna anaye kataa US ni super power, lakini we kalia na hizo views zako kama Hajapitwa na china very soon.

Fazaa..... heee...!!!

still--- still--- u didn't know U.S. A ....

China bado saaana na HAIWEZI KUIPITA U. S. A hizii ni day dream tu.....or if is night then it's nightmare...

Angalia hii....

1:::>>> Two months ago China ndii imenunua MELI YA KIVITA.... MOJA..... YA KUTUA NDEGE FROM USA... wajua USA WANAZO NGAPI na Wanatengeneza ngapi now kwa jeshi lao..!!? Go & search i give u this homework kidogo....

2::::: THE GDP OF THREE STATES OF CALIFORNIA, TEXAS & NEW YORK ===== CHINA GDP...

Usishangae ingia KTK MTANDAO UJIONEE NA SEARCH WORLD GDP ..... this is amazing.... Just kwa states 3 tu...

Hapa nakuonyesha tu.... Usiguse SPACE.... huko ndio kuna kitu kinaitwa NASA.... U CAN'T imagine buddy..!!

I got my flying skills in US... Fazaa tulia soma...

Ciao....!!
 
Hapo naona umesahau anadaiwa ngapi, mwenye nguvu hadaiwi na bado we bakia umeshikilia history, Usisahau hata Romney aliambiwa na Obama we have fewer horses and bayonets, hizo old stock hazitasaidia kitu mana kutengeneza new weapon u need money na America kisha anguka vibaya sana.Nasema does Israel have the balls to occupy an inch of land in South Lebanon, hebu mwache ajaribu :biggrin1:
 
kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Messages
966
Points
500

kamili

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2011
966 500
Hey....!!!!

U must be kidding, joking or u have unknown spiritual interest toward Iran....

Just to hint u who ur blinding & lying urself for what u don't know to make u happy or just to be heard....!!

Look...!!!

1: Mosad... # 1 world killing machine & # 1 world. super intelligence killed 4 Iranian nukes Professors INSIDE TEHRAN using motor cycles, magnetic bombs to attach to cars ya walengwa na Iran wasijue cha kufanya & still Mosad operate inside Tehran wameshindwa kuwadhibiti............................

Lakini wengine wangefanya hivyo wangeitwa magaidi na sababu ya kuwawekea vikwazo na kuanza kuua watu ovyo ingepatikana.
 
Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2008
Messages
809
Points
225

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2008
809 225
ni ngumu sana ku-counter crude rocket ambalo halina target, halipo computerized, linarushwa tu likatue popote, yaani akili wanayotumia kuyarusha haya ma-katyusha ni kuyataftia direction,,, ila israel nae angeamua arushe tu missiles zake popote tu anapotaka ndani ya palestine ungeskia madhara yake,,,

Ndio maana zimerushwa katyusha 1500 zimeua watano tu,,, when it comes to real haya maroketi hayawezi kumpa enemy damage kubwa...,

Kuhusu iron dome, my understanding ni kwamba ipo selective, kwanza inadetect speed ya roketi linalokuja, pili computer zinatoa location ambapo litatua, ikionekana inaenda kutua jangwani huko ambapo hamna makazi basi counter missile haiwi launched (economy of effort,one of principles of war) ila kama roketi linaenda kutua kwny populated area counter missile zinafyatuka automatically kwenda kulishusha roketi lile..., ndio maana ingawa roketi nyingi zilipita lakn hazikua na madhara
 
chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
6,275
Points
2,000

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
6,275 2,000
Fazaa..... heee...!!!

still--- still--- u didn't know U.S. A ....

China bado saaana na HAIWEZI KUIPITA U. S. A hizii ni day dream tu.....or if is night then it's nightmare...

Angalia hii....

1:::>>> Two months ago China ndii imenunua MELI YA KIVITA.... MOJA..... YA KUTUA NDEGE FROM USA... wajua USA WANAZO NGAPI na Wanatengeneza ngapi now kwa jeshi lao..!!? Go & search i give u this homework kidogo....

2::::: THE GDP OF THREE STATES OF CALIFORNIA, TEXAS & NEW YORK ===== CHINA GDP...

Usishangae ingia KTK MTANDAO UJIONEE NA SEARCH WORLD GDP ..... this is amazing.... Just kwa states 3 tu...

Hapa nakuonyesha tu.... Usiguse SPACE.... huko ndio kuna kitu kinaitwa NASA.... U CAN'T imagine buddy..!!

I got my flying skills in US... Fazaa tulia soma...

Ciao....!!
Ahahahaha yani wewe umenifanya nicheke sana the way unavoandika! Yani unaifagilia USA utafikiri kitu gani! Ulisahau kama urefu wa pua sio wingi wa mafua? Wanahangaishwa na Cuba tu pale ka nchi ndogo! Ndugu yangu kuna North Korea ka nchi ndogo tu! Labda nikuulize tu, let say north korea amedrop bombs new york city, nambie kiasi cha damage atakachoipa USA? Narejea tena, urefu wa pua si wingi wa mafua!!!! Ifagilie sanaaaa iyo USA! Lakini it can be defeated. With Putin in power, kashasema ataelekeza budget yake katika kukuza jeshi lake!! Teh teh teh!!!

Oh and btw mfagiliaji wa USA, history teaches us that there has been power shift, seems like this time the power is shifting to the EAST sloooowly sloooowly!!
 
chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
6,275
Points
2,000

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
6,275 2,000
Hapo naona umesahau anadaiwa ngapi, mwenye nguvu hadaiwi na bado we bakia umeshikilia history, Usisahau hata Romney aliambiwa na Obama we have fewer horses and bayonets, hizo old stock hazitasaidia kitu mana kutengeneza new weapon u need money na America kisha anguka vibaya sana.Nasema does Israel have the balls to occupy an inch of land in South Lebanon, hebu mwache ajaribu :biggrin1:
Hawa majamaa mbona waliipata pata walipikua wakijifanya wababe, saiv israel ametuliza kitenesi chake!
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
ni ngumu sana ku-counter crude rocket ambalo halina target, halipo computerized, linarushwa tu likatue popote, yaani akili wanayotumia kuyarusha haya ma-katyusha ni kuyataftia direction,,, ila israel nae angeamua arushe tu missiles zake popote tu anapotaka ndani ya palestine ungeskia madhara yake,,,

Ndio maana zimerushwa katyusha 1500 zimeua watano tu,,, when it comes to real haya maroketi hayawezi kumpa enemy damage kubwa...,

Kuhusu iron dome, my understanding ni kwamba ipo selective, kwanza inadetect speed ya roketi linalokuja, pili computer zinatoa location ambapo litatua, ikionekana inaenda kutua jangwani huko ambapo hamna makazi basi counter missile haiwi launched (economy of effort,one of principles of war) ila kama roketi linaenda kutua kwny populated area counter missile zinafyatuka automatically kwenda kulishusha roketi lile..., ndio maana ingawa roketi nyingi zilipita lakn hazikua na madhara
We acha propoganda zako Israel target gani alizo select zaidi ya kupiga majumba, na ku uwa watoto wachanga na wazee ambao walikuwa kwenye majumba yao, wala hawako vitani.

Afu mimi nashangaa sana nyie wakristo wa kiafrika hivi hamjui Israel is Majorly for Judaism and Islam, If you think I am lying, prove me wrong, ni vigumu sana kuona kanisa Israel kwenye public places, mostly Masjid and Synagogues...Hata lugha inayo tumika kule ni Kiyahudi afu Kiarabu ndo kinakuja kizungu.

And BTW u should also know that, many palestinians are christians sio wa Islam, sa we unacho mshangilia myahudi ku-uwa warabu...Myahudi una uhusiana naye vipi?

Acheni kuwa wajinga Isarel ambao kwa sasa asili yao ni Marekani+Europe siku zote anawadhalilisheni nyie wafrika kama watumwa tu kwake, ndo mana akisha ona vita anaenda wazoa wahabeshi wa Ethopia sababu anajua wale ndo mayahudi orignal ili awamalize.

Si biora hata mwarabu na myahudi wanakaribiana ki damu, kuliko mwafrika na myahudi...kasomeni history sio mnavamia tu mnayo danganywa.
 
Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,434
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,434 2,000
Hapo naona umesahau anadaiwa ngapi, mwenye nguvu hadaiwi na bado we bakia umeshikilia history, Usisahau hata Romney aliambiwa na Obama we have fewer horses and bayonets, hizo old stock hazitasaidia kitu mana kutengeneza new weapon u need money na America kisha anguka vibaya sana.Fazaa .... i am Mr. President not by lucky, chance or by being appointed by smbody....

is by Brainy head i possess & top cream analyst of truth & let u know many ambigious cases u never had of or unknown
to others....& competent flying scientist too....

here we go ABOUT U.S.A National debt.... ili uelewe utulie..... ujifunze as well...

US National debt stands at $ 16 trillion......... $ 16,000,000,000,000.....

Fully two-thirds of US National debt is owed to US government, American Investors & future retirees, through Social Security Trust Fund....and pension plans for civil service workers & military personnel....
China holds less than 8% of US national debt borrowed over the years, hivyo kama ulizania China anadai fedha nyingi ulikuwa hujui ndio maana nakueleza know well stuffs.....

Breaking down for you.....

1. Federal Reserve & Intragovernmental Holdings......$ 6.328 trillion

2. China .... $ 1.132 trillion

3. Other Investors/ savings Bonds.....$ 1.107 trillion....i.e USA investors......

4. Japan..... $ 1.038 trillion

5. Pension Funds... $ 842.2 billion... USA sio NSSF, au PSPF au PPF au LAPF...ur too myopic Fazaa...

6. Mutual Funds....$ 653.5 billion

7. State & Local Government ...$ 484.4 billion......sio TAMISEMI ok Fazaa

8. The UK..... $ 429.4 billion

9. Depository Institutions.....$ 284.5 billion....USA

10. Insurance Companies ..... $ 250.1 billion... USA

What did u learn here Fazaa..?.....??

Hivyo basi madeni yoote say up to 85% ya US National Debt inadaiwa na USA yenyewe inaidai Serikali....
yaani ni Wamarekani na makapuni makubwa na Federal Reserve na Social Funds mbalimabali ilikopesha serikali....

mfano hapa kwetu Tz serikali huikopa NSSF, PPF LAPF kufanya shughuli mbalimbali za maendeleo na wanalipa kwa riba nzuri baadae....BUT STILL NSSF, PPF, LAPF, PSPF ni Institutions za serikali.....sasa US kuna Federal Reserve iliikopesha serikali hela hizo hapo juu so ni SERIKALI KWA SERIKALI WANADAIANA.....yaani left hand to right hand.....

i hope umeelewa kidogo, Fazaa try to know THE TRUTH of stuffs u will be the best outstanding person in this competent world....

USHABIKI ni kitu kingine, UKWELI ni kitu kingine.....

Na leo let me hint YOU THIS coz i am super guy...

UKIONA WANAVYUO AU WANAFUNZI WANAFELI.....HAWAJAJUA UKWELI WA SOMO HUSIKA....

so ww na wengine wengi sana hapa mnajua China ndio anaidai US THE MOST DEBT..... U failed...:shut-mouth::sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:

... Have a GREAT DAY....
 
Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
13,434
Points
2,000

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
13,434 2,000
Ahahahaha yani wewe umenifanya nicheke sana the way unavoandika! Yani unaifagilia USA utafikiri kitu gani! Ulisahau kama urefu wa pua sio wingi wa mafua? Wanahangaishwa na Cuba tu pale ka nchi ndogo! Ndugu yangu kuna North Korea ka nchi ndogo tu! Labda nikuulize tu, let say north korea amedrop bombs new york city, nambie kiasi cha damage atakachoipa USA? Narejea tena, urefu wa pua si wingi wa mafua!!!! Ifagilie sanaaaa iyo USA! Lakini it can be defeated. With Putin in power, kashasema ataelekeza budget yake katika kukuza jeshi lake!! Teh teh teh!!!

Oh and btw mfagiliaji wa USA, history teaches us that there has been power shift, seems like this time the power is shifting to the EAST sloooowly sloooowly!!

ww sikujibu..... u look typical MNDENGEREKO.... in short ...!!

Just ask where is Guantanamo Bay...then why USA is still holding it..??... Cuba is just a piece of cake, a cup of tea
infront of USA..... Putin ni kaputi kwa Marekani.....hutaelewaaa...

let me leave u in darkness..... kwaheriiiii....
 
Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2008
Messages
809
Points
225

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2008
809 225
We acha propoganda zako Israel target gani alizo select zaidi ya kupiga majumba, na ku uwa watoto wachanga na wazee ambao walikuwa kwenye majumba yao, wala hawako vitani.

Afu mimi nashangaa sana nyie wakristo wa kiafrika hivi hamjui Israel is Majorly for Judaism and Islam, If you think I am lying, prove me wrong, ni vigumu sana kuona kanisa Israel kwenye public places, mostly Masjid and Synagogues...Hata lugha inayo tumika kule ni Kiyahudi afu Kiarabu ndo kinakuja kizungu.

And BTW u should also know that, many palestinians are christians sio wa Islam, sa we unacho mshangilia myahudi ku-uwa warabu...Myahudi una uhusiana naye vipi?

Acheni kuwa wajinga Isarel ambao kwa sasa asili yao ni Marekani+Europe siku zote anawadhalilisheni nyie wafrika kama watumwa tu kwake, ndo mana akisha ona vita anaenda wazoa wahabeshi wa Ethopia sababu anajua wale ndo mayahudi orignal ili awamalize.

Si biora hata mwarabu na myahudi wanakaribiana ki damu, kuliko mwafrika na myahudi...kasomeni history sio mnavamia tu mnayo danganywa.
Cant waste my precious time kubishana na brain ya aina yako..., umeingiza dini from fu..cke,n nowhere, sibishani na watoto ambao bado wananuka maziwa ya mama zao,, kitendo chako cha ku-distort hoja yangu nimepata kujua ubongo wako ulivyo
 
fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Messages
2,985
Points
0

fazaa

JF-Expert Member
Joined May 20, 2009
2,985 0
I'm sorry to be rude, but by calling yourself Mr Presdent sound like you may need to go to hospital for brain surgery.

Facts are that China was the very first country to recover from the financial crisis and America still has yet to recover.

China is growing multiple times faster than America even with a tight monetary policy, tight housing policy...America struggles to grow even with ultra loose monetary, and housing policies.

Americans are running deficits close to 10%, debt is over 100% of GDP, unemployment sky high, growth is very slow, quantitative easing unlimited and zero interest rates and still can't grow....What a joke the american economy is:biggrin1:

China has a vibrant manufacturing industry and export sector to developed and develoing markets, strong infrastructure investment, very strong business investment...and private domestic consumption is growing 18% per year.

My friend;China is a very dynamic economy and without a shadow of a doubt, the most resilient economy in the world bar none.

Mhhm kabla sija kuaga keep in mind America would go back into recession :A S 103:

And china has already grown 10% per year since 1978....that's 34 years.

Give it up buddy, there is nothing America can do to stop china overtaking them...absolutely nothing.

I will repeat what I said before, china will overtake the US in every record :poaHave a good day.
 
Forum statistics

Threads 1,390,150
Members 528,096
Posts 34,044,022
Top