Israel Taifa La Mungu

Hii ni saudi arabia gays flag lgbtq
View attachment 3446619
Kiongozi nani kakuambia mimi ni kobazi ndio maana nimeleta huu uzi..?
Ninachosema ni kwamba serikali ya taifa la mungu imekubali wanajeshi wake, viongozi na hata waziri mkuu wao akiwa shoga ni sawa kwao... ndio maana wapo maelfu na bendera za Israel hao LGBTQ....

Leta picha za LGBTQ wakiwa Saudia wanapita barabarani, si hizo picha za wayahudi wamevaa kanzu...

Kuhusu bendera hio picha hata wewe unatengeneza...

Tel Aviv kuna parade kubwa la LGBTQ, endeleeni kushinda njaa mkiwaombea wana wa mungu taifa teule...
 
Plus, kuna tofauti kati ya wayahudi na waisraeli. Wayahudi ni moja ya makabila la waisraeli. Christians are part of Israel, we're the 10 lost tribes that were scattered to the nations. We as people of the nations have been grafted back into Israel.
 
Hapo ni Tel Aviv kiongozi... na hao ni wayahudi...
 
Plus, kuna tofauti kati ya wayahudi na waisraeli. Wayahudi ni moja ya makabila la waisraeli. Christians are part of Israel, we're the 10 lost tribes that were scattered to the nations. We as people of the nations have been grafted back into Israel.
Usije kujidanganya kwenda kuwahubiria wayahudi masuala ya ukristo... kitakachokutokea ni juu yako..
 
Usije kujidanganya kwenda kuwahubiria wayahudi masuala ya ukristo... kitakachokutokea ni juu yako..
Mbona wanahubiriwa kila siku.

Look at this Jews for Jesus project

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…