Israel opened masjid Ebrahim as

Wewe KIJANA wacha UONGO...kumbuka kuwa MTUME WA MUNGU SIO MWONGO WALA SIO MTU AMBAYE HANA ADABU.....kumbuka kuwa MTUME hajivalishi mwenyewe JOHO la utume kama wafanyavyo VIONGOZI WENU WA SASA wa MAKANISA....MTUME ni mwanadamu ambaye MUNGU ameshampa utume tangia kizazi na kizazi kabla ya kuzaliwa....hivyo basi MTUME ISMAIL kamwe hakuwa HANA ADABU kwa SARA sababu yule ni mtume.....na ndy maana alipoamriwa na MUNGU achinjwe ili apimwe IMANI YAKE....na ISMAIL alipoambiwa na baba yake MUNGU KANIAMURU NIKUCHINJE,,,ISMAIL akamwambiya BABA YAKE ,,KINOWE hicho kisu chako ili kinikate vizuri NISISIKIE MAUMIVU SANA..pia nifunge kamba ili nisikusumbuwe wakati unanichinja , ,,najuwa wewe ni MTUME WA MUNGU hufanyi JAMBO BILA KUAMRIWA NA MUNGU...kama angekuwa mkorofi si agekimbiya?au angebishana na baba yake?MITUME YOTE MAISHA YAO WAMETABIRIWA kabla ya KUZALIWA kwao,,,pia tangia watoto MUNGU alishawaandikia UTUME,,,hawezi akawa MJEURI NA ASIYE NA ADABU,,,,na unaposema ni upotoshaji mkubwa yote uliyoyasema wewe ndy niliyoandika mm,,,kwamba SARA (MYAHUDI)alikuwa mke mkubwa wa IBRAHIM,,na yule MJAKAZI alikuwa anaitwa BIBI HAJRA(WARABU) kwao ni EGYPT.. sasa nimedanganya nn hapo?na hao MALAIKA walikuwa wametoka KUANGAMIZA SODOMA NA GOMORA wakafika kwa MTUME IBRAHIM,,,jinsi mke mkubwa SARA alivyowafanyia UKARIMU ndy wakamwambiya MTUME IBRAHIMU mkeo atapata UJAUZITO.....sasa nimepotosha nn?UISLAM ulikuwapo kabla ya ADAMU baba yetu....labda nikwambiye kitu,,,sisi tunaitwa BIN ADAMU maana yake mtoto wa ADAMU...kwahyo sisi wote asili yetu ni ADAM....na mama yetu HAWA...ndy asili yetu.....na dini yetu asili yake ni ADAM,,,uliza Huko KANISANI kwann watu WANABATIZWA?na kwann usipobatizwa huwi MKRISTO?mbona UKIZALIWA na BABA KABILA linabaki vile vile unafata la baba?au mama?iweje DINI LAZIMA UTIWE MAJI?NA SIO UKIRISTO TU ,,bali hata dini zingine za hapa duniani,,ili kujiunga inabidi ufanyiewe MATAMBIKO na kubadilishwa,,,sababu wameshajuwa kama mtoto anapozaliwa anakuwa na dini ya baba yetu ADAMU...ISLAM......jaribu kujiuliza kwann hao MITUME WAMEZIKWA MSIKITINI?na kwann IBRAHIM akajenga MSIKITI MAKHA?na kwann waislam wanaswali pale MSIKITI WA MAKHA?
 
mohamed hakuwa mtume
Ndy mnaaminishwa hivyo.....sasa ww kaulize kanisani NANI ALIMBATIZA YESU?na huyo MBATIZAJI kapewa idhini na nani abatize watu?wakati YESU mwenyewe amefika GALILAYA akakutan na YOHANA anabatiza watu..maana yake KUBATIZA KULIKUWAPO KABLA YA YESU KUZALIWA...kuna UHUSIANO GANI kati ya KANISA NA ITALY?
 
mtu wa kwanza kutamka neno uislamu ni mohamed muasisi wa hiyo dini ya kujadili majini
Kaulize kanisani nn sababu ya KUBATIZA WATU?mbona baba mgogo na mama mgogo mtoto anaziwa mgogo?sasa iweje mama mkrtisto baba mkristo mtoto lazima abatizwe awe mkristo...JIONGEZE..na kwann makao makuu ya UKRISTO YAWE ITALY.....
 
dini zote ni za kishenzi. Mungu hana dini na hakuleta dini duniani.
 
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Isome vzr comments mkuu usiende haraka haraka kutokana na mahaba yako kasema 10% mpaka 15% na mjibu kwa hoja zenye mantiki wengi wa wayahudi c wakristo wala waislam
 
Dini ya haki kwa Imani yako ni sawa ila sio lazima wote waamini unachoamini wewe, kwa hiyo Adam alikuwa muislam sio? Na yeye aliswali kuelekea wapi sasa?
 
Dini ya haki kwa Imani yako ni sawa ila sio lazima wote waamini unachoamini wewe, kwa hiyo Adam alikuwa muislam sio? Na yeye aliswali kuelekea wapi sasa?
Adam alikuwa Muislaam, na alikuwa na ibada yake anafanya. Kila Nabii na kitabu chake na zama zake. Soma Dini.
Nikuulize, Musa alikuwa anaswali vipi ?
 
Adam alikuwa Muislaam, na alikuwa na ibada yake anafanya. Kila Nabii na kitabu chake na zama zake. Soma Dini.
Nikuulize, Musa alikuwa anaswali vipi ?
Wakati Adam anaswali alikuwa anaelekea wapi? Musa alikuwa anaishi kwa farao alisali kwa mafundisho aliyoyakuta mpaka alipoondoka kwa farao na huko alipanga mawe kama altare akaomba kwa desturi ya mababu zake wayahudi
 

Israel ipo Israel. Tuache hizi siasa za Hizbollah
 
Vipi nabii adamu alikuwa myahudi?
 
Habari za imani huwa ni ngumu sana kufika tamati badala yake huanza matusi na kèjeli.Kibaya zaidi unaweza uka argue na mtu ambaye hajuwi chochote kile.Tuanze na hiyo post je inaeleza kweli au uongo?Please kama unakubali au kukataa uwe na reasonable doubts.
 
HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Hao manabii wote walikuwa ni waislamu na wala sio waizrael. Kuwa muislam maana yake ni kujisalimisha mbele ya Muumba wa Mbingu na Ardhi na kutekeleza yale mazuri aliyoyaamrisha na kuyaavha yale mabaya aliyoyakataza. Zaidi ya hapo kuwa muislam maana yake ni kuamini kwamba Mungu ni mmoja na haa mshirika kwenye Uungu wake hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hakufanana na uyte wala chochote. Hivyo manabii wote hiyo ndio iliyokuwa Imani yao. Waisrael walikuja kujuulikana baada ya kuzaliwa Yakubu bin Ishak bin ibrahim ambae nick name yake akiitwa Israel kwa sababu ya kutembea kwake usiku kutafuta watu ili aweze kuwasaidia. Yeye alizaa watoto 12 wa kiume akiwemo Nabii Yusuf sala na salam ziwe juu yao wote hawa. Hayo makabila 12 ndio yaliyotengeza ukoo iliyojikana Bani Israel kwa maana ya watoto wa Israel ambae ni Yakubu. Makabila haya 12 yalikuna yakahamia Misri kwa pharaoh ambapo aliwatesa sana na kwa sababu Firauni alikiwa akijiita kuwa yeye ni Mungu Mkuu ndipo Mungi akamtuma Nabii Mussa akawaokoe hawa Bani Israel ili waondokane na mateso ya firauni naye alifanya hivyo ili kuwapeleka Kanaan nchi walioahidiwa. Jaribuni kujifinza kabla ya kutoa comment.
 
Israel sio waislam acha kupotosha, ndo maana anawagonga waarabu na allah wao kwani sio Mungu, long live Israel the blessed holy country
Labda kwanza nikufahamishe jambo. Dini kubwa duniani ni Uislam, Uyahudi na Ukiristo. Wapo waarabu ambao ni wakiristo na pia ni mayahudi. Wapo waisrael ambao ni waislamu na wengi wao ni Mayahudi. Wapo wazungu ambao ni waislam, mayahudi na wakiristo japo wengi ni Wakiristo. Wapo waafrica wengi ambao ni waislam na wakiristo lakini hawakubaliki kuwa mayahudi ukitoa waethiopia ambao wanakubali kuwa mayahudi kwa Sababu mfalme Suleiman alimuoa Malkia Balqis ambae asili yake ni pale Ethiopia. Kwa taarifa yako tu ni kuw Mayahudi hawauungi mkono Waislam na wakiristo pia. Ikiwa ww ni muumin wa kweli wa ukiristo hupaswi kufurahia binaadam yyte anapouliwa hususan ikiwa bila ya hatia awe muislam au asiyekuwa muislam si katika mafunzo ya ukiristo wala uislamu. Ushauri wa bure ukicomment masuala ya dini usicommet kwa jazba comment kwa hoja
 
NI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...
Uislamu maana yake ni kujisimisha mbele za Mungu kutokana na kumshirika Mungu na chovhote au uyte kwenye ibada unazozifanya au katika sifa zake au katika UUngu wake.
 
Je YESU hakufa?, na kila nafsi itaonja mauti na kama hakufa alikwenda wapi naomba jibu sheikh
 
Adam aliishi nchi gani msaada kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…