Jibu swali acha maelezomkuu mpaka leo kwani hujui kama israeli ipo katikati ya nchi za kiarabu?
na si kila muisraeli dini yake ni ya kiyahudi kama kumbukumbu zangu zipo sahihi 10 mpaka 15% ya waisraeli ni waumini wa dini ya kiisilamu.
waarabu na waisraeli wote wanatokana kwa Ibrahim, ambaye alizaa watoto wawili, Ismail na Is'haq.
ismail ndio mpaka kizazi chake anakuja kutokea Mtume muhamad, ni kizazi cha waarabu.
Is'haq mpaka kwa yaakub, yusuf, musa hadi yesu ni kizazi cha waisrael.
Hilo eneo Hapo lina historia za Dini zote mbele unaweza ongeza na ukristo ukaeka dini tatu, ndio maana kuna ugomvi kila siku.
Kwa Wayahudi,siyo Muhammad tu,Yesu hawamtambui kabisa. Na ndiyo maana pale Israel,Wakristo ni kama sifuri yaani 2-4%, ni kama hakuna. Angalao Waislam inafika 17%Asilimia 99 ya manabii wa kiislam ni wayahudi, lakini wayahudi walikataa mafundisho ya Mtume Mohammad, walimuona muongo. Banu Qurayza jeshi la Muhammad liliua wayahudi watu wazima zaidi ya 800. Kutoelewana na wayahudi kumepelekea aya za chuki kwenye Quran na Hadith sahih dhidi ya wayahudi. Hiyo imepelekea waislam kuwachukia sana wayahudi. Sawa sawa na Yesu au Mohammad angekuja Wakati wa vita ya pili ya dunia. Mpk leo wajerumani na wajapani wangekuwa wanachukiwa sana. Why chuki iendelee milele na wote wanaamini Mungu mmoja wa Abraham
Hilo Biblia wala halojulikani ni Kitabu cha Nabii nani ! Na humo ndani hamna Injil ya Yesu bali kuna ya Yohana, Mathayo, Luka na Marko na nyaraka (barua) za Paulo. Pima uongo umo wapi ?kitabu cha kuaminika ni biblia ila kurani hii yenye iliandikwa na waarabu ina uongo mwingi
AnhaaaaaaSikilizeni nyinyi : UKIRISTU na UYAHUDI ni Uislamu wa Kale.
Uislam wa Leo ni Uislam wa Sasa!
Msipoyaelewa haya, mtapata shida sana, mtagawanywa sana na mtashindwa kuelewa kuwa kimsingi Msingi wa Dini zetu ni moja tu nayo ni KUJISALIMISHA kwa Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi!!
Ni kama vile Unavyoona Windows Version za Microsoft, Kuna Windows 95, Windows XP and then Windows 10. Lakini zote ni Windows zilezile!, Kernel ni ileile!!
Ndiyo maana Waislamu husema kuwa Uislamu kwa watu ulianza toka adam Ila tu kila nabii anakuja na mafunzo yake!!!
Kwa maana hiyo, wewe unayenisoma hapa kama ni Mkiristu, Basi wewe ni Mfuasi wa Uislamu wa kabla ya Mtume Muhammad!
Fikiri upya kabla haujaaibika,acha kuchanganya waarabu wanaoishi pembeni ya waisraeli na uisraeliWaislamu ni 19%, wakristo ni08% ,waorthodox ni 14% dini zingine no 3% na waliobaki hawana dini rasmi.
Hivyo waislamu ndio wengi kuliko dini zingine.
Lebanoni kwa asili ni nchi ya Ukristo,sensa ya 2014 asilimia 17% ya waiziraeli ni waisilamu,
Religion in Israel - Wikipedia
na binadamu wote mbele ya mungu wapo sawa, mbora kati yao ni yule mcha mungu.
pia si waarabu wote ni waisilamu, kuna waarabu wakristo, wasioamini dini etc.
Nchi kubwa ya kiarabu yaani misri ina wakristo zaidi ya milioni 8,
lebanon 40% ya population yao ni wakristo,
kipindi Israeli anapigana na Hezbollah na anaipiga lebanon walikufa wakristo wengi tu wa kiarabu.
na wewe ni dini gani? sababu waisiraeli hawamuamini yesu wanamuona feki vile vile kama wasivyompenda muhammad.
Hawajui tofauti ya ubaguzi wa rangi na Dini. Hata makaburu walikuwa wakiristo wazuri tuu !mkuu seems wewe pia hujui utofauti wa uyahudi na uzayuni, wanaoleta usumbufu pale ni mazayuni, uisilamu hauna tatizo na myahudi.
GoodNa hao 19% ni waarabu waisrael, sio Wayahudi, ujue hilo, hivyo ni mule mule kiasili hakuna Myahudi au Mu Israel wa asili ambaye ni Muislam.
Vitabu vipo, ni uvivu wako wa kusoma na kuchambua kipi pumba na kipi cha kufuata.Utazani mlikuwepo vile
Hawajielewi hao Sheikh ! Kitabu kinachosema mungu alivuliwa nguo akavikwa taji la miiba !Hiki kitabu chako kimemtukana hadii muumba wake, saa sijui muandishi nani
Safari yake inaitwa 'mirajj'Hv mtume nae alipaa
Inamdhalilisha nani? Hebu fafanua kidogo isijekua umekaririshwa kama jamaa zangu Fulani walikaririshwa wakaenda kukata suruali zao zikawa fupi baada ya kutambua ukweli wakaanza kujutiabiblia inayotukana na kudhalilisha watakatifu!!?..kitabu kile ni story story tu za wana
Mkuu ID YAKO haina maadili[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwa mfano uwongo UPI?!..mi najua biblia kuna mwandishi anakiri aandikayo hakuyashuhudia ika alisimuliwa,pia Paulo anadai alitia chumvi ili nae apate kujisifu nga kidogo
Kwani Jesus ndo Yesu !?....kwanini asiwe Issah ?Koma ,ukristo haujawahi kuwa uislam na nimeona eti mtume isa Huyo sio yesu.Coz Jesus is alpha and omega .Alikuwepo,yupo na ataendelea kuwepo.
Safari yake inaitwa 'mirajj'
Nani amekwambia haya uliyoyaandika?Dini ni moja, hata Yesu AS ni Muislaam. Na ndo maana Wayahudi wanamkwepa Yesu AS kwa jinsi alivyowananga kwa kuharibu dini ya kweli (Uislaam). Haya ya kuzushiwa yeye sijui mwana wa mungu sijui mungu, Yesu hana habari nayo. Yeye Yesu alishasema katika Biblia 'Baba ni Mkuu kuliko mimi' yaani Allahu Akbar !
Hata mm nimegundua hilo..HIVI HAO MANABII WALIKUWA WAISLAMU AU WAISRAELI???KAMA WALIKUWA WAISLAMU MBONA SASA WAYAHUDI NA WAISLAMU HAWAPATANI???MBONA MAISHA YAO YAKO ISRAEL NA SIO UARABUNI???MBONA KAMA KUNA UONGO NAUONA HAPA??
Tusaidia maana naona hapa wengine wanavyoongea kama chenga vileNI KICHEKESHO KUSEMA UISLAMU ULIKUWEPO WAKATI WA ADAMU,WAKATI HISTORIA INASEMA UISLAMU ULIANZA BAADA YA MOHAMAD AKIWA MWANZILISHI.WALE MANABII WOTE WALIKUWA WAEBRANIA AMBAO NDIO WAISRAELI WA SASA...