Israel ndio ilioanzisha vita

Israel ndio ilioanzisha vita

Status
Not open for further replies.
Wakija kukuta ni wenyewe kwa wenyewe itakuwaje? Osama alilipua sehemu kadhaa za USA siyo?

Zbigniew-Bin-Laden.jpg
naona unataka kuihama topic umeenda kwa osama. na wewe ndio wale mnaodanganya kwamba 9/11 ilifanywa na wayahud na wamarekani.?
 
A 16-year-old Hamas youth leader in a Gaza refugee camp told USA Today last June: "I know my life is poor compared to Europe or America, but I have something awaiting me that makes all my suffering worthwhile…Most boys can't stop thinking about these virgins."
 
The death toll from Israeli aerial attacks in the Gaza Strip has now hit 172, with a further 1,230 wounded.
Source : DW tv
 
Kubisha na kukataa kila kitu bila kuwa na takwimu ama uhakika, ndiyo kunafanya uonekane wewe ndiye mwongo pamoja na hao unaowatetea. Ebu ona sasa hivi wa Palestina 172 wameuawa, Waisreal ni wangapi waliouawa hadi sasa?

Na kama unasema Israel ana control media zote, wewe hizo habari kwamba wapalestina hawafi na kwamba watoto wa Israel hawakutekwa na kuuliwa umezipata kutoka media ya wapi? Hebu tujuvye mkuu!


Nenda katibiwe bro.
 
Uko sawa, ni mimi nilipiga picha hiyo ya Osama n mshauri wa Rais wa USA. Ninataka tu kukuambia usiwe myu wa kumeza kama Pelican, tafuna kidogo.

naona unataka kuihama topic umeenda kwa osama. na wewe ndio wale mnaodanganya kwamba 9/11 ilifanywa na wayahud na wamarekani.?
 
Kwa hiyo na wewe unataka kutuambia kwamba uyaudi ni dini eti inayoitwa Judea sio?"afu ndo unajifanya unajua!??

judea ilikuaga kindom ya zamani kama ilivyokua Timbuktu.
Judaism ndo dini,jew ni kingereza cha kumaanisha myahudi yaani mtu anaeabudu judaism.
Jews sio hata kabila.
 
A 16-year-old Hamas youth leader in a Gaza refugee camp told USA Today last June: “I know my life is poor compared to Europe or America, but I have something awaiting me that makes all my suffering worthwhile…Most boys can’t stop thinking about these virgins.”

Umenikumbusha mbaali..embu cheki hii clip ya shekhe.
 
Wanaosoma Historia,Waislam nauuliza ni lini katika dunia hii nchi inayopiganiwa(Palestine) na Hamas imekuwepo pia nitajie mji mkuu wake
 
Hamas wanatumia watoto HUMAN SHIELD kitendo ambacho ni kinyume kabisa wototo na wanawake wanaambiwa wakae juu ya majengo yanatarajiwa kupigwa na Israel maana katika majengo hayo huwa HAMAS wanaweka makombora ya kurusha kwenda Israel angalia video hii harafu watu utasikia wanalaum Israel kwa kuua watoto ukweli ndiyo huu.
 
Last edited by a moderator:
Nikusaidie kidogo hapo si kweli kuwa Israel ilianzisha sakata hili,sakata hili lilianza baada ya Hamas kuwateka vijana watatu na kuwauwa baadaye wayahudi wenye msimamo mkali ndo waliomuua kijana wa kipalestina na BIBI alisema kitendo hicho cha kulipiza kisasi si kizuri wakati huo msururu wa maroketi toka Gaza kwenda Israel yalikuwa yakiendelea mwisho Israel nayo iliposhindwa kuvumilia ilianza mashambulizi ya ndege kufikia leo ni DAY 7
Unaweza kuzaliwa Myahudi ila huwezi kubadili dini na kuwa Myahudi. Uyahudi unarithiwa kwa Wazazi.

Siyo kila anayeishi Israel ni Myahudi kwani kuna Waislaam na Wakristo pia.

Una points kwenye hili ila umezileta kidini na kishabiki zaidi. Nikweli hii vita ya sasa ni Israel walianza kwa kumuuwa kijana wa Kipalestina na Bibi alikubali kuwa ilikuwa makosa. Ila jamaa wakaanza kurusha roketi zao badala na wao kulipa kisasi kijana mmoja. Hapo sasa unampa Nguvu Pm Benjamin aka Bibi.
 
Ninalijua hilo. Ukisoma nilichoandika nyuma, nimeweka Link inayoelezea hayo yote kwa undani sana.

Tatizo ni kuwa Bibi hadi leo hana ushahidi wa moja kwa moja kuonyesha ni Hamas na Hamas wenyewe wamekataa kuwa hawajahusika. Huoni kama kuna fanatics au CIA wanataka walianzishe, wanaweza kuwa walienda na kuwateka hao vijana na baadaye wakawauwa hao vijana na wakijua Bibi atasukuma mzigo kwa Hamas?

Ndiyo maana nikaweka habari ya kuuawa kwa Franz Ferdinand ambaye baba yake alijua kuwa jamaa anaweza kuuawa ila aliacha wamuuwe ili alianzishe na Serbia kwa nia ya kupanua utawala wake. Walivyomuua, wao wakashambulia Serbia na hiyo ikapelekea Russia kuja kumsaidia Mdogo wake kuwapiga Austria.

Baada ya Austria kuchukua kipigo cha nguvu, German akaona Mdogo wake watamuuwa, na yeye akaingilia ili kumsaidia Mdogo wake. Hapo ndipo Jehanamu likafumuka na moto wake ndani ya Europe. Wangelijua nini itakuwa matokeo, nina imani wasingelikubali kulianzisha na Serbia.

Hata Kagame, siku zote huwa ana sababu za kwenda kuishambulia Congo, teteteteeee......
Nikusaidie kidogo hapo si kweli kuwa Israel ilianzisha sakata hili,sakata hili lilianza baada ya Hamas kuwateka vijana watatu na kuwauwa baadaye wayahudi wenye msimamo mkali ndo waliomuua kijana wa kipalestina na BIBI alisema kitendo hicho cha kulipiza kisasi si kizuri wakati huo msururu wa maroketi toka Gaza kwenda Israel yalikuwa yakiendelea mwisho Israel nayo iliposhindwa kuvumilia ilianza mashambulizi ya ndege kufikia leo ni DAY 7
 
Nafikiri tatizo lililolipotiwa sio kudanganya CV, ila kudanganya kwamba anaumwa na kuendelea kulipwa mshahara wakati tayari ameacha kazi. Mbaya zaidi yeye ni kiongozi wa nchi. Sasa mimi nilidahni Kikwete alifanya home yake vizuri katika kuteua timu yake, lakini kwa kashfa hii inaonekana uteuzi wake una walakini. Kumbuka huyu ni kiongozi wa pili kuibuka na udanganyifu ukiacha wale waliodanganya PhD zao!

Kama wapiganaji wamejificha huko Israel isijilinde? Kikubwa hamas iwe na adabu. Hawa ndio chanzo cha fujo
 
Makombora gani wewe,

Hivyo ni viji rocket vinavyo tengenezwa majumbani (hata Tel aviv hazifiki zinaishia njiani tu (Wapalestine ni maskini hata jeshi hawana, hao ni vijana tu wanaojitolea kujaribu kulinda family zao dhidi ya wakoloni)

Hamasi ndio tatizo na wao ndio wakulaumiwa kwan wanarusha maroketi wakiwa wamejificha katikati ya watoto na wanawake. Israel haina muda wa kufanya suluhu na wahalifu
 
Wee kwani haujui kwamba kuna wayahudi wa Kiafrika kutoka Ethiopia? pia kuna wayahudi wakiarabu kutoka Yeman, Morocco, Iraq? Na kuna wayahudi Wa Russia na kunawahudi Waki Iran...?

That was a dispersion of Jews ila uyahudi cyo dini labda uliimanisha Judaism!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom