Israel ndio ilioanzisha vita

Israel ndio ilioanzisha vita

Status
Not open for further replies.
Israel ndio imeanzisha vita (hii ya Gaza) na mpaka sasa wanaendelea kushambulia mji wa Gaza (ambao umetawaliwa na Israel kwa mabavu, wengi hawajui haya, hii si vita ya baina ya inchi mbili, hii vita baina ya wakoloni na free fighters wanaopigania uhuru wa inchi yao). Kila siku watoto wa Kipalestine wanauliwa na mabomu hayo.

Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)

Mnalalamika nini wakati mmeaza uchokozi wenyewe?? Sasa mtalinywa,next time mjifunze mnapomchokoza mtu hakikisha mmejipanga kukabiliana nae
 
Labda baadhi ya hisia zako hazifanyi kazi ndio maana hauhisi kitu hata watoto na wanawake wakiuliwa bila ya hatia yeyote kwako ni sawa tu, Daah!

Mbona nyie mmeua watoto? Tatizo la muslims ni kulslamika tu kama urojo,mnapenda kupewa attention wakati.mnachokoza mlijua mtahurumiwa?
 
Makombora gani wewe,

Hivyo ni viji rocket vinavyo tengenezwa majumbani (hata Tel aviv hazifiki zinaishia njiani tu (Wapalestine ni maskini hata jeshi hawana, hao ni vijana tu wanaojitolea kujaribu kulinda family zao dhidi ya wakoloni)

Akili yako mbovu sana "Vijikombora" haviuwi? Jeshi la Hamas ni la nani kama si la palestine for your information kuna hawa wafuatao PNA National guard,Palestinian National security forces (NSF) linaloongonzwa na major General Nasser Yousef,hadi May 2007 jeshi hili lilikuwa na askari 76,500. Lakini hadi sasa limekuwa na kugawanywa kama ifuatavyo;

  • Public Security Force - 35,000
  • Civil Police- 21,000
  • Preventive security force-24,000
  • General Intelligence - 19,000
  • Military Intelligence, Navy Police - 30,000
  • Presidential Security Force - 57,000
  • Operations Force - 45,000
Acha kudanganya watu usidhani kwamba watu hawajui, tumekaa kimya kwakuwa hatatuhusu, nchi yetu ina mengi bado tunahitaji kupeleka nguvu huko na sio kwenye yako yasiyo na mashiko.

beirut-2.jpg
 
Unaweza kuzaliwa Myahudi ila huwezi kubadili dini na kuwa Myahudi. Uyahudi unarithiwa kwa Wazazi.

Siyo kila anayeishi Israel ni Myahudi kwani kuna Waislaam na Wakristo pia.

Una points kwenye hili ila umezileta kidini na kishabiki zaidi. Nikweli hii vita ya sasa ni Israel walianza kwa kumuuwa kijana wa Kipalestina na Bibi alikubali kuwa ilikuwa makosa. Ila jamaa wakaanza kurusha roketi zao badala na wao kulipa kisasi kijana mmoja. Hapo sasa unampa Nguvu Pm Benjamin aka Bibi.

Nataka kukufundisha kwamba uyahudi ni dini sio kabila.

Mzungu anaweza kuwa myahudi
Mwafrika anaweza kuwa myahudi
Mwarabu anaweza kuwa myahudi........
 
Tatizo lako tangu uanze kuchangia maelezo yako yanabase kwenye modern Israel, hukumbuki au kwa makusudi unajitoa ufahamu kwamba Israel ilikuepo hapo mamilioni ya miaka iliyopita kabla ya kuangushwa kwa Jerusalem temple na kutawanywa.

eti wanadai israel imeanza kuwepo mwaka 1948,
 
Unaweza kuzaliwa Myahudi ila huwezi kubadili dini na kuwa Myahudi. Uyahudi unarithiwa kwa Wazazi.

Siyo kila anayeishi Israel ni Myahudi kwani kuna Waislaam na Wakristo pia.

Una points kwenye hili ila umezileta kidini na kishabiki zaidi. Nikweli hii vita ya sasa ni Israel walianza kwa kumuuwa kijana wa Kipalestina na Bibi alikubali kuwa ilikuwa makosa. Ila jamaa wakaanza kurusha roketi zao badala na wao kulipa kisasi kijana mmoja. Hapo sasa unampa Nguvu Pm Benjamin aka Bibi.

Uspotoshe, kijana wa palestina kauawa baada ya vijana watatu wa Israel walokua wametekwa kuuawa, huyo kijana mmoja aliuawa kama kulipa kisasi cha vifo vya hao waisrael watatu..
 
Stormyder uko sawa. Mzungu na Mwaarabu ni White Race. Kama ilivyo tofauti ya Iraq na Iran kuwa mmoja ni Mwaarabu na mwingine nk Persian (Iran), kuna wengine hushindwa kuwatofautisha.

Leo hii, mimi Mtanzania Mwanaume, nikazaa mtoto na dada wa Kiyahudi kama Halle Berry, WHOOPI Goldberg kwa mfano (angalia sir name zao na wote wamepata Oscar kwenye film,iko maneno hapo) basi mtoto huyo hata kama nitampa Ukristo wa Moravian na Unyamwezi, bado ni Myahudi kwa Mama yake.

Kwa maana ya haraka haraka, Watoto wote wa Remmy Ongalla aliyezaa na Mama Toni kama Kalimanguza na ndugu zake, wale wote kama Mama yao anaamini Mkla na dini, basi wale ni Wayahudi.

Ndiyo maanautaona WAZUNGU ila ukweli ni Wayahudi ingawapia wapo feki kutoka Russia, Romania, Ukraine, Poland, Hungury nk ambao walikimbilia huko Israel ili waweze kuingia kwenye System yao. Mwenyewe namfahamujamaa ambaye alipokwenda USA, walidhanini Myahudi, basi jamaa akaula, hadi leo yupo vizuri. Siaa na biashara imetawala kwenye hili na siyo Dini au Race kama sisi Masikini tunavyodhani.

Waarabu, wayahudi na wazungu etc ni race moja ila kuna sub-races mfano waarabu na wayahudi pamoja na watu wengine wanaitwa Semitic Race ambao historia yao inarudi nyuma hadi kwa Shamu for more info unaweza google keyword Human race

wazungu ni race tofauti wao wanatokana na japhet mmoja wa watoto wa nuhu.
Waarabu na hao unaita wayahudi ni race moja yani semite.
Lakini kuna wayahudi wasio wasemite yaani wazungu kama akina netanyau
 
Alitangulia Kuku au yai......? Kazi ipo.

Uspotoshe, kijana wa palestina kauawa baada ya vijana watatu wa Israel walokua wametekwa kuuawa, huyo kijana mmoja aliuawa kama kulipa kisasi cha vifo vya hao waisrael watatu..
 
Uspotoshe, kijana wa palestina kauawa baada ya vijana watatu wa Israel walokua wametekwa kuuawa, huyo kijana mmoja aliuawa kama kulipa kisasi cha vifo vya hao waisrael watatu..

jamaa hawa wanapenda kujitia uchizi...habari ya madogo wa kiyahudi kuuawawa kwanza wanaipotezea maksudikally
 
Kuna news nyingine hamtaki kuzifuatilia kwa ukaribu zaidi. Bibi alisema kuuawa kwa kijana ilikuwa makosa.

Soma hapa: Bodies of three missing Israeli teenagers found in West Bank | World news | The Guardian

Hawa vijana wanaweza kuwa waliuawa na Waisrael wenyewe ila mzigo kabebeshwa Hamas. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa Hamas walihusika,ila tayari Bibi akaanza kutembeza Ubabe.

Mfalme wa Austria alijua mtoto wake Archduke Franz Ferdinand akienda Kosovo atauawa na Waserbia, bado akamuacha aende na ikaishia kuleta vita ya kwanza ya dunia. Siyo mara ya kwanza vita kama hizo.

naona unaleta utani.....basi na uko palestina gaza wanauana wenyewe kwa wenyewe wala sio muisrael anayewauwa..
 
Ungelisoma hiyo hapari nimeweka link, usingelikuja na maelezo ya kitoto. kwanza usifikiri mie ni Muislaam.

Pia nimekaa na Wahahudi wengi na kuongelea kwa ukaribu hili swala. Nafahamu makosa yao na makosa ya Wapalesina.

Sijaipoteza habari ya vijana kutekwa na ndiyo maana nikaweka na link. Tafadhali soma kabla hujajibu.

Acha kupotosha, ulitegemea Hamas wakubari kuwa wao ndo wamewaua hao vijana? na hiyo history ya Franz Ferdinand ya Kossovo ni ya kwenye vitabu vyako nadhan.
 
Israel ndio imeanzisha vita (hii ya Gaza) na mpaka sasa wanaendelea kushambulia mji wa Gaza (ambao umetawaliwa na Israel kwa mabavu, wengi hawajui haya, hii si vita ya baina ya inchi mbili, hii vita baina ya wakoloni na free fighters wanaopigania uhuru wa inchi yao). Kila siku watoto wa Kipalestine wanauliwa na mabomu hayo.

Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)

As long as Hamas deny the right of Israel to exist, mkong'oto ni lazima tena safari hii wamewasamehe sana. Kabla ya kurusha missiles Israel wanawatahadharisha kuwa waondoke sehemu hizo, Hamas wanawakataza wanawake na watoto wasiondoke kwenda kwenye makambi waliyoambiwa ili tu ionekane kuwa wanawake na watoto wanauawa. Mfano ni mkuu wa Polisi wa Hamas ambaye alichukua familia yake yote ya watu 15 akakaa nayo kituo cha polisi (Ambacho ni priority target), matokeo yake familia yote imeteketea na yeye yuko mahututi. If you deny others to exist don't expect also to live.
 
Kuna news nyingine hamtaki kuzifuatilia kwa ukaribu zaidi. Bibi alisema kuuawa kwa kijana ilikuwa makosa.

Soma hapa: Bodies of three missing Israeli teenagers found in West Bank | World news | The Guardian

Hawa vijana wanaweza kuwa waliuawa na Waisrael wenyewe ila mzigo kabebeshwa Hamas. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa Hamas walihusika,ila tayari Bibi akaanza kutembeza Ubabe.

Mfalme wa Austria alijua mtoto wake Archduke Franz Ferdinand akienda Kosovo atauawa na Waserbia, bado akamuacha aende na ikaishia kuleta vita ya kwanza ya dunia. Siyo mara ya kwanza vita kama hizo.

Alijua atauawa na waserbia kwani Bosnia ilikua ni ya waserbia? kama alijua alishindwa vipi kujua kuwa hata hukohuko Austlia wangeweza kumuua?..too low of you na mfano ni irrelevant.
 
Ungelisoma hiyo hapari nimeweka link, usingelikuja na maelezo ya kitoto. kwanza usifikiri mie ni Muislaam.

Pia nimekaa na Wahahudi wengi na kuongelea kwa ukaribu hili swala. Nafahamu makosa yao na makosa ya Wapalesina.

Sijaipoteza habari ya vijana kutekwa na ndiyo maana nikaweka na link. Tafadhali soma kabla hujajibu.

hivi wewe unafikir hamas watakubali waziwazi kwamba wao ndio wamewauwa wale madogo...ni kuunga dots tu...kipindi kifupi baada ya unity government (hamas na fatah) kuundwa madogo wakatekwa westbank...hamas walidhani israel wasingelipiza kwa kuwa dunia imeanza kuwatambua kama chama na sio kikundi cha kigaidi...sasa israel hana hiyo michongo yeye ni 'jino kwa jino'
 
Walau mie nina kitabu, wewe je? (Masahihisho: Soma Sarayevo na si Kosovo), my bad 🙂

Ekovlá?ek Bene?ov - Ferdinand Brewery

pivovar.jpg

Ngoja wiki lijalo niende Praha nikapate Ze beer ya Ferdinand, sijaipata siku nyingi.

Usisahau kupia kitabu changu: http://en.wikipedia.org/wiki/Archduke_Franz_Ferdinand_of_Austria

Acha kupotosha, ulitegemea Hamas wakubari kuwa wao ndo wamewaua hao vijana? na hiyo history ya Franz Ferdinand ya Kossovo ni ya kwenye vitabu vyako nadhan.
 
Wakija kukuta ni wenyewe kwa wenyewe itakuwaje? Osama alilipua sehemu kadhaa za USA siyo?

Zbigniew-Bin-Laden.jpg

hivi wewe unafikir hamas watakubali waziwazi kwamba wao ndio wamewauwa wale madogo...ni kuunga dots tu...kipindi kifupi baada ya unity government (hamas na fatah) kuundwa madogo wakatekwa westbank...hamas walidhani israel wasingelipiza kwa kuwa dunia imeanza kuwatambua kama chama na sio kikundi cha kigaidi...sasa israel hana hiyo michongo yeye ni 'jino kwa jino'
 
Kama hujui historia, soma au uliza jamani. Mbona hii habari imejaa kwenye mtandao?

Jamaa hakuwa na tofauti sana na Princess Diana. Kasoro tu kwamba yeye ndiyo walimuuwa kwa ubishi wake wa kulazimisha kuowa nje ya hizo familia zao, na akaishia kumuowa Sofia wake. Baba akamtosa na akauwa ndege wawili kwa jiwe moja...... Tafadhali soma hapa chini, wakuja wewe..... Ni historia fupi sana, soma bana, acha uvivu.

Archduke Franz Ferdinand of Austria - Wikipedia, the free encyclopedia

Hata mie sikujua hii historia hadi nilipokwenda kwenye Palace lake huko Czech. Mzee aliuwa zaidi ya ndege na wanyama laki tatu. Si ajabu na yeye walimuuwa. Nikiwa hapo ndipo nikapewa full story kuhusu kuwasha kwake moto kwa vita ya kwqnza ya dunia.

Alijua atauawa na waserbia kwani Bosnia ilikua ni ya waserbia? kama alijua alishindwa vipi kujua kuwa hata hukohuko Austlia wangeweza kumuua?..too low of you na mfano ni irrelevant.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom