Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,480
Israel ndio imeanzisha vita (hii ya Gaza) na mpaka sasa wanaendelea kushambulia mji wa Gaza (ambao umetawaliwa na Israel kwa mabavu, wengi hawajui haya, hii si vita ya baina ya inchi mbili, hii vita baina ya wakoloni na free fighters wanaopigania uhuru wa inchi yao). Kila siku watoto wa Kipalestine wanauliwa na mabomu hayo.
Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)
Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)