Israel ndio imeanzisha vita (hii ya Gaza) na mpaka sasa wanaendelea kushambulia mji wa Gaza (ambao umetawaliwa na Israel kwa mabavu, wengi hawajui haya, hii si vita ya baina ya inchi mbili, hii vita baina ya wakoloni na free fighters wanaopigania uhuru wa inchi yao). Kila siku watoto wa Kipalestine wanauliwa na mabomu hayo.
Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)
Acha uongo,kwahiyo tuseme uarabu pia ni dini?lile ni taifa,tena teule,sema wana dini yao ya kumwabudu Mungu Wa kweli Wa Mbinguni,hiyo dini ikaitwa dini ya kiyahudi.
Sio kweli kama hujui jambo bora uulize. Ndani ya Israeli kuna Myahudi kuna waarabu na watu nchanganyiko na pia kuna dini nyingi sana ila dini yao ya asili ni torati wanaita torah so kule kuna waislam kuna wakristo kuna hao mayahud wenye kufuata din ya zaman ambao ndio wengi.Nataka kukufundisha kwamba uyahudi ni dini sio kabila.
Mzungu anaweza kuwa myahudi
Mwafrika anaweza kuwa myahudi
Mwarabu anaweza kuwa myahudi........
Wee kwani haujui kwamba kuna wayahudi wa Kiafrika kutoka Ethiopia? pia kuna wayahudi wakiarabu? Na kuna wayahudi kutoka Russia na kunawahudi kutoka Iran...?
Ukweli unajulikana kwamba wakoloni kutoka Europe wameitawala Palestine kimabavu tokea 1948
Wee kwani haujui kwamba kuna wayahudi wa Kiafrika kutoka Ethiopia? pia kuna wayahudi wakiarabu kutoka Yeman, Morocco, Iraq? Na kuna wayahudi Wa Russia na kunawahudi Waki Iran...?
Israel ndio imeanzisha vita (hii ya Gaza) na mpaka sasa wanaendelea kushambulia mji wa Gaza (ambao umetawaliwa na Israel kwa mabavu, wengi hawajui haya, hii si vita ya baina ya inchi mbili, hii vita baina ya wakoloni na free fighters wanaopigania uhuru wa inchi yao). Kila siku watoto wa Kipalestine wanauliwa na mabomu hayo.
Hata hiyo habari ya kutekwa kwa Wa Israel sio kweli ni propaganda tu (kutoka Israel, wao ndio wanazi control media karibia zote, kila siku wanazitumia media hizo kutangaza uongo wao)
Ndiyo...Haahaa,
Jibu swali acha kashfa,
Je na wale wayahudi wa Ki Ethiopia na wao kwao Palestine? Teeeh teeh teeeh! Daah!
Teeh! teeh! teeeh! Kwi kwi kwi!
Israel has built 150 Jewish-only cities inside Palestine, using U.S. tax dollars. Does Israel want peace or land? #stolen #freepalestine