Mkuu Kumbuka Mungu alipoliacha taifa la Israel kwa uovu na Warumi walilisambaratisha kabsa,,na akaawaahidi kuwa watakaporudi tena katika nchi ya ahadi atawapa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu ambaye watatakiwa kumtii,,Waisarel hata baada ya Yesu kuja na kuachiwa msaidizi ambaye ni roho mtakatifu wameendelea kumkaidi Mungu,,na ndo maana wengi hawajaokoka kwa maana ya kumwamini Yesu Kristo,,bado wanamsubiri Messiah aliyetabiriwa katika agano la Kale katika kitabu cha Isaya.
Mkuu mimi ni Mkristo safi kabsa,,tubadilishane mawazo kwa topic hiyo hapo.
Mleta mada nahisi wewe sio mkristo!
Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,
siyo unahisi ni muisilamu na kisachake ni chakutunga
Na ni ukweli usiopingika kuwa, hadi sasa wayahudi wajawahi kumkiri Kristo, na wanamsubiri atakaporudi Mara ya pili watamshitaki, wamemwandalia mashtaka 12. Pamoja na hayo bado Israel ni Taifa teule la MUNGU.Jadili hoja! usimjadili mtoa hoja, alichokisema ndio ukweli wenyewe, wayahudi hawatambui Uungu wa yesu,wakimaliza kuwatwanga waislam watawageukia wakristo,
Na anaitwa YESU MnazaretiNi kweli Mkuu Yesu alizaliwa Bethelemu, Judea ya Galilaya ambayo ilikuwa Nazareth kipindi hicho ndo maana wameandika Nazareth is the home town of Jesus Christ.
Kwanini wameamua kuanza na Waislam?
Mkuu kwa sasa uislamu bado haujaanza kupigwa,,vita iliyopo sasa hivi middle east ni ya Israel kujiimarisha,huku Freemasons wakichochea na kufitinisha waislamu na wakiristo,,Vita ya tatu ya dunia ndo zitapigwa kati ya waislamu, wakiristo na wayahudi, na wayahudi kwa sababu ni masons watashinda,,na hapo ndipo Lucifer atakapotawala dunia kutoka Jereslamu.
... hakuna alieitafsiri biblia perfect 100%,,lkn haimaanishi kuwa tusiendelee kutafuta maana...what if walikosea?
...
Si tatizo lako! ...hujui unalotaka kueleza!
"copy & paste"
Mleta mada nahisi wewe sio mkristo!
Mkuu sababu ya kuleta huu uzi ni kwa sababu leo kuna uzi uliletwa hapa na wanaJF Wakiristo wakawa wanamsifia Ariel Sharon eti kwa kuwa aliwauwa wapalestina na kuitetea Israel.....mimi namkubali Ariel Sharon kwa jinsi alivyojitoa kuitumikia nchi yake,,lkn sio kwa mauaji aliyoyafanya,,,mimi ni mkiristo na nakataa na kulaani maauaji yaliyofanywa na Sharon.Mimi eti kwa sababu ni Mkristo siwezi kusupport kila kitu kinachofanywa na Israel ingawa wana haki ya kujilinda pale inapobidi, nakubali pia kuwa ni Taifa teule la Mungu,,lakini Yesu ndo baba wa mataifa yote, na ndiye alie nikoa mimi,,uhusiano wa Mungu na Israel sitaki kuwaingilia,Mungu ana sababu zake kuliita Taifa teule lkn usiingie kwenye mtego kusifia kila kitu kinachofanywa na Israel .
Akishawapiga wakristo na Waislam na kutawala Dunia kutoka Jerusalem unavyosema wewe atafanya nini Zaidi? Au akitawala Dunia basi atatulia tu au?
Mkuu mkada Naomba nijibu haya Maswali Yangu!
Uislamu na ukristo utaingia vitani pale dome of the rock ule msikiti ulioko jerusalem ukivunjwa.inasemakana jeshi la askari kama milioni 200 litavuka mto frat kuja kupambana jerusalem na hapo ndo mwanzo wa vita kuu kati ya waislamu na wakristo
Mkuu ntuzu,jaribu kumsoma Albert pike and his worldwar 3 prophecy.
Uislamu na ukristo utaingia vitani pale dome of the rock ule msikiti ulioko jerusalem ukivunjwa.inasemakana jeshi la askari kama milioni 200 litavuka mto frat kuja kupambana jerusalem na hapo ndo mwanzo wa vita kuu kati ya waislamu na wakristo ambayo imedizaniwa ili kuzimaliza nguvu dini hizo mbili.
Watapigana mpaka kila upande utakua hoi kila kitu duniani kitakua kimeharibiwa na mabilioni kufa.baada ya hapo ndo wazee wa new world order ambao waanzilishi ndo hao waisrael wa ukoo wa rothchild watasimika a one world government na kwakua watu watakua wamechoshwa na machafuko wataipokea serikali moja kwa mikono miwili.
Kumbuka hapo idadi ya watu duniani itakua imepungua hadi atleast kufikia watu milioni 500 tu,juu katika vita silaha za maangamizi zitatumika na kuchangia kupunguza idadi ya watu.