Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

HAKUNA CEASE FIRE MAANA LAZIMA WAJUE OCTOBER 07 WALIKUA WANASHANGILIA VIFO VYA WAYAHUDI.
SASA WAVUNE WALICHOPANDA

Umeielewa resolution? Azimio linamtambua aliye gaidi dhidi ya asiye gaidi. Watambue wenzio wasiojitambua:

IMG_20231213_004402~2.jpg
 
Kwani vita alianza nani? yeye kateka na kuua kwa sana!
Mbona hili halilaaniwi?! acha haya magaidi ya hamas yachakazwe kwanza yashike adabu
 
Tatizo ni kwamba HAMAS wamekuwa declared na ulimwengu kama MAGAIDI. Sasa sheria ya UGAIDI Duniani ipo wazi na ndiyo maana Marekani ina support sana vita vya UGAIDI kokote Duniani pamoja na hii.

HAMAS wanajificha nyuma na migongo ya waparestina, na kuwa eliminate ni lazima waparestina ambayo ndiyo shelter yao waumie na hiki ndicho kinafanyika kule Gaza.

Kuwaacha HAMAS wadunde litakuwa kosa la mwaka la Israel, itakuwa ni threat kwao kwa miaka ijayo- hapa ni kulifurusha kundi hili kama walivyopanga mwanzo regardless haya matamko.

Netanyahu anasema hivii - alutaaa... !! hadi hapo kundi hili litakapomalizwa kabisa, kwani kuliacha listawi kuna siku litaitetemesha Dunia.
 
Waumini uchwara udini mnaupata wapi kwenye hili la ukombozi?
Hili lipo wazi bro....ACHA UNAFIKI HII NI VITA VYA CHUKI ZA UDINI DHIDI YA WAISLAMU WAARABU NA WAYAHUDI.
WAARABU WAMEFELI KUWAONDOA WAYAHUDI KWENYE ARIDHI YA MABABU ZAO,,,HISTORIA IPO WAZI HATA WAKIIKATAA.
UDINI UMEWAPUMBAZA WAARABU NA WAISLAMU DHIDI YA WAYAHUDI NA WAKRSTO
QUR'AN 9:30
 
NIMEKUULIZA TAREHE 07 OCTOBER SI WALIWAUA WAYAHUDI HUKU WANASHANGILIA??
MBONA SASA WANALILIA CEASE FIRE????
AU RISASI ZIMEWAISHIA MKUU???

Struggle ya HAMAS kupigania uhuru haina tofauti na ya umkhonto we sizwe, Mau Mau, SWAPO, MPLA, Museveni au nduguyo Kagame au hata Kabila Snr.
 
Struggle ya HAMAS kupigania uhuru haina tofauti na ya umkhonto we sizwe, Mau Mau, SWAPO, MPLA, Museveni au nduguyo Kagame au hata Kabila Snr.
Uhuru wa kuwaondoa wayahudi kwenye aridhi ya mababu zao na sehemu walipozaliwa,,,,wayahudi sio wakoloni,,,pale ni kwao na wapo pale forever..
Usichanganye mada

TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI..
TENA UNAFIKI WA HISTORIA YA WAYAHUDI..
 
Hili lipo wazi bro....ACHA UNAFIKI HII NI VITA VYA CHUKI ZA UDINI DHIDI YA WAISLAMU WAARABU NA WAYAHUDI.
WAARABU WAMEFELI KUWAONDOA WAYAHUDI KWENYE ARIDHI YA MABABU ZAO,,,HISTORIA IPO WAZI HATA WAKIIKATAA.
UDINI UMEWAPUMBAZA WAARABU NA WAISLAMU DHIDI YA WAYAHUDI NA WAKRSTO
QUR'AN 9:30

Mnafiki ni wewe unayeka vifungu vya vitabu vya dini. Wapi nimeweka kifungu kimoja cha dini yoyote?

Suala la Palestina na Israel si la kidini.
 
Mnafiki ni wewe unayeka vifungu vya vitabu vya dini. Wapi nimeweka kifungu kimoja cha dini yoyote?

Suala la Palestina na Israel si la kidini.
Ni la dini mkuu tuache unafiki...
Waislamu dhidi ya wayahudi,,,,kwa sababu imani yao inawaambia wawaue na kuwafukuza wayahudi toka kwenye aridhi ya mababu zao.
TATIZO LA WAARABU NA WAISLAMU NI UNAFIKI WA KUTOWEKA WAZI CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI NA MAFANIKIO YA MAISHA YAO NA ALIANZISHA MUHAMMAD MWENYEWE NA HAKUFANIKIWA.
QUR'AN 9:30
 
Back
Top Bottom