Israel launches new spy satellite to spy Iran

Israel launches new spy satellite to spy Iran

Ndege ya Malasia mpaka leo hakuna aliyeiona na masatelite yao Kibao angani .......
 
Mkuu,
Mie sijawahi kuona mtu mweusi au chotara wa kiafrika MAARUFU au KIONGOZI kutoka nchi za kiarabu!

Wewe umewahi?

@Kajirita,

Maana yawezekana wapo lkn hawarusiwi hata kwenda shule kama ambavyo hawaruhusiwi wanawake!

1) Marehem Waziri mkuu wa Kuwait Sheikh Sabah, mama yake ni Mmakonde wa Nachingwea na mfadhili mkuu wa Barabara ya Kilwa mpaka Mtwara na Daraja Maarufu la Benjamin Mkapa over Mto Rufiji. Na ndie mshirika mkuu wa USA katika vita vya Iraq.

2) Sheikh Bandar bin Sultan wa Saudi Arabia, mama yake ni kutoka Sudan Kusini. Ndie mfadhili mkuu wa kuigawa Sudan na kuipa Uhuru nchi 'hiyo' mpya. Pia ndie alieisaidia Chad kumshinda Gadaffi.
 
I love Israel for real, kuwepo kwa taifa la Marekani ni baada ya Albert Einstein ambae pia ni m muizrael,
 
I love Israel for real, kuwepo kwa taifa la Marekani ni baada ya Albert Einstein ambae pia ni m muizrael,
Nikusahihishe kidogo.

Einstein hakusaidia chochote marekani zaidi tu ya kuwa aliishi kwa amani kamili iliyomwezesha kuwasiadia wakimbizi wenginekuja kuishi Marekani. Wakati anahamia Marekani akili yake ilikuwa imehamia kwenye haki za binadamu kuliko physics na alikuwa anatumia muda mwingi kuwasaidia wahamiaji wa kiyahudi waliokuwa wanatoka ujerumani. Bomu la atomiki ambalo wengi wanalihusiha na akili ya Einstein ilikuwa ni akili ya Leó Szilárd ambaye alikuwa mhamiaji kutoka Hungary siyo akilia ya Einstein.
 
so what? Na ende tu akampige. They are just barking dogs.

Blessed kubaguwa na kufukuza waafrika na kuwadunga sindano wanawake weusi ili wasizae?
Blessed kuuwa vizee wanaake na watoto hali wamealala na kuvunja majumba ya watu wasio na hatia?
it is written watauteka mlango wa adui zake na tena kwa kila atakae mlaani atalaaniwa and this is what happenning now.
 
Wakati wenzetu taifa la Mungu ISRAEL wanashindana kiteknolojia ktk karne hii, Waarabu majirani zao Syria wanachinjana bila huruma. God bless Israel, God bless Tanganyika.
Naomba msaada kidogo.
Waisrael ndio wanosemekana walimuua Yesu.Na moaka leo dini yao si ya kumfuata Yesu Kristo.
Naomba kuhusu kubarikiwa kwao kunatokana na nini?
 
Mashamba yalikuwa maeneo gani?
Njoo Handeni ukutane na Wazigua wasomali,hawa walipelekwa kwenye mashamaba ya Mfalme wa Oman yaliokuwa Somalia.
Ukipata muda jaribu ku google na kusoma historia mbalimbali
 
it is written watauteka mlango wa adui zake na tena kwa kila atakae mlaani atalaaniwa and this is what happenning now.
nzalendo
Kwa hiyo kuwafukuza Waafrika na kuwadunga wanawake wenye asili ya Afrika hasa Falasha wa Ethiopia ndio wameuteka mlango wa adui zao enh?
 
Last edited by a moderator:
Njoo Handeni ukutane na Wazigua wasomali,hawa walipelekwa kwenye mashamaba ya Mfalme wa Oman yaliokuwa Somalia.
Ukipata muda jaribu ku google na kusoma historia mbalimbali

Hebu tupe links tujielimishe, mimi sijawahi kusikia kama Sultan wa Oman ana mashamba Somalia.
 
Mkuu,

Naomba niulize swali!
Hivi pamoja na kwamba waarabu walikuwa ndio wahusika wakubwa wa biashara ya utumwa duniani,mbona hatuoni watu weusi VIONGOZI au MAARUFU kwa nchi za kiarabu kama nchi za ulaya, amerika kusini na kaskazini ambao walikuwa sio wahusika wakubwa wa hiyo biashara hiyo?

Au ni kweli yale madai kwamba walikuwa wakiwakata 'vizalio' na wengine wakiwapa sumu wasizaliane?

Naomba kujuzwa tafadhali!

Waarabu walikuwa ni watu wa kati wa biashara hii,yaani middleman,wakiwauzia wazungu,japo wapo wachache waliokwenda wenyewe nchi za arabuni si kwa utumwa.
Nchi za kiarabu hazikuwa na mashamba yamazao yoyote ya biashara,ni nchi zilozo na majangwa,wachukuwe watumwa wakafanyekazi gani.
Wazungu waliwachukuwa kwa ajili ya kazi za mashamba ya mazao ya kibiashara.
 
Unaelekea wewe ni mvivu wa kusoma au uelewa wako ni mdogo mno.Kasome kwanza ndio uje hapa.

Tuletee ushahidi sio eti nimesikia kwa babu, tupe marejeo na links maana mimi nataka nielimike sijui mambo yote.
 
Back
Top Bottom