Israel launches new spy satellite to spy Iran

Israel launches new spy satellite to spy Iran

Ndege ya Malasia mpaka leo hakuna aliyeiona na masatelite yao Kibao angani .......

Ndege ilikatwa katwa kama chuma chakavu... wanasumbua watu tu kutafuta... CNN walitoa hiyo habari... walipomaliza kuikata ndipo wakatangaza imepotea.... Siasa kitu mbaya sana...
 
Tuletee ushahidi sio eti nimesikia kwa babu, tupe marejeo na links maana mimi nataka nielimike sijui mambo yote.
Link.Panda Bus la kwenda Tanga na baada ya kijiji cha Mkata kabla ya Kabuku shuka uingie kulia katika kijiji kiitwacho Chogo.
Hapo utakutana na Wazigua wasomali na watakueleza from horses mouth.Wengine wanakumbuka mpaka vijiji vya asili vya Babu zao.
La pili angalia ramani uone fertlie land katika Somali ambako watu wanaendesha kilimo.
Tatu,sultan wa Oman alikuwa mtawala wa ukanda huu wote wa pwani toka Kilwa mpaka Oman
 
Back
Top Bottom