Nyie machoni wa israelites acheni kushabikia ujinga.Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Mzaliwa wa kwanza kavurugwa, anamiliki akili nyingi na karibia majeshi mengi ya nchi kubwa duniani wayahudi wamejaa tena vitengo nyeti, mwarabu atajutaBaada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Hivi unajua Gaza ipo wapi na Lebanoni/Syria zipo wapi? Gaza watavukaje pale wafike huko?Siyo Israel kuishangaxa dunia, sema USA.
Israel huko hamas jana imepiga Haifa.
Kwani bado mnaiongelea gaza tu?
Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.
Vita ishapanuka huko. Umelala?
Leo tunangoja Egypt na Jordan
Sifa ya Mungu ni ukubwa wake na ushindi kila wakati. Yeye ndiye mwenye kuyashinda makundi maovu, mwenye kuyaendesha mawingu naye ndiye atabaki kuwa mshindi. Wakati huu subira ni muhimu.Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Well said Isarael ni taifa teule la MUNGUBaada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Nani kakwambia? Sasa hivi wanaua Watoto na wanawake wa Gaza, Israel nao ni kama Hamas. Both are terrorists. Huwezi kuwanyima, maji, chakula na umeme halafu uanze kuwabom. Gaza ipo 140 square km tu na ina watu million 2. Open sky prison. Palestina kuna wakrstu, catholics na wapagani siyo waislam peke yao. Nyie mnasema uongo kwa sababu ya dini msizozijua. Wale Israel wa kwenye Bible siyo hawa wa sasa, Israel ilianzishwa mwaka 1948 baada ya Waingereza kuwaachia ile ardhi Wayahudi. Wayahudi hao waliopo siyo wale original, wengi wa sasa ni waliorudi baada ya WWII. Wakachukua na radhi zingine zote. Dhambi sana hii, ubabe openly!!Baada ya mashambulizi mabaya kabisa ktk history ya Israel kufanyika kelele zimekuwa ni nyingi sana kushindwa kwa intelligence ya Israel ambayo siku zote imekuwa ikiheshimika. Ila jambo lakushangaza lina taka kutokea na uwenda Hamas na wasaidizi wake wakabaka midomo wazi.
Hivi Nina andika tayari vikosi maalumu na hatari vya jeshi la Israel vime locate maeneo mateka wapo na tayari imeshaweza kutoka mateka mamia kwa sasa wakati ikiwakamata viongozi wa hamasi.
Jambo lingine lina ushituwa ulimwengu ni msg ambayo Israel amemtumia Iran baada ya kushambulia kwa maboom uwanja wa Damascus ili ndege iliokuwa na ujumbe mzito kutoka Iran isitue. Israel walikuwa na uwezo kuishambulia hii ndege nakuwaangamiza makamanda wa Iran na waziri wao ila hawakuchaguws hiyo option kwa sababu maalumu.
Tatu Israel ameonyesha ubabe wakipekee baada ya kuitawala anga ya Arabic Yani hakuna ndege au kitu kipo hewani hajuwi kinaenda wapi na kina kitu gani? Hii imefanya kuwa ngumu kwa Taifa lolote kurusha kombora kwa Israel wakijuwa cha moto watakipata.
Israel wamewafunika adui kwakuwa dhaifu ili watimize adhima yao kui eliminate Hamas na some of key leader of Iran. Kwa sasa Ayatollah anajuwa kinachofuwata kwake na anajuwa uwenda mwisho wake up karibu kuliko mwanzo.
Mungu iponye Dunia. Amen
Hakuna duniani Taifa liloteuliwa na Mungu, upuuzi huoWell said Isarael ni taifa teule la MUNGU
Tulia kwanza dada angu mambo mengi nadhani huyajuiHakuna duniani Taifa liloteuliwa na Mungu, upuuzi huo
You are a religious fanatic!Tulia kwanza dada angu mambo mengi nadhani huyajui
allah naye kakimbia yupo kwenye mahandaki kajifichaWapigwe mpaka waache kumuita Mungu hovyo kwenye mambo yao ya kipuuizi ...yaaan kitu kidogo tu Allah akbar