maalim leo ni ijumaa,nenda kaswali allah akujalie akili.Hio Israel ina historia ya uislam na uyahudi ...
Nyie wakristo mmetoka wapiiiiiii ?
Naona kila siku mnatupigia kelele tu
Wanahamiaje bara wakati hawataki muungano?Muslim wanazaliana mno. yaani hata Marekani na Ulaya wanaongezeka mno, Mafundisho ya mtume wao wingi wa uzao ndio ukubwa wa Umma wa Kiislam... ila cha kushangaza Pemba haijai na wao ndio wanasifa ya kuzaliana... au siri wanahamia bara