Israel isijidanganye

Naona umeshaanza kujifariji😀😀😀
  • Ohh Wanajeshi wa Israel wanauwawa sana Gaza
  • Mara ohh Outhi wanapiga Israel
  • Ohhh Hezbollah ameivamia Israel inashambuliwa 😀😀😀

Tukio la October 7 limehamishiwa Gaza 🔫🔫 mtajuta kwanini mliivamia Israel
 
Bado haujasema 😁😁😁😁
Lile tukio la October 7, limehamishiwa Gaza. Thamani ya muisrael 1 ni sawa na wapelestina 50. UtajumlIsha idadi hapo.
Hao wapelestina 100 waliouwawa ni sawa na waisrael 2 kwahiyo bado wapelestina wanahitajika.
 
Ukisoma kitabu Cha waamuzi na amosi utagundua Wafilist wale akina delila waliishi Gaza. Watapigwa Sana na mwaka huu ndo mwisho wa Vita vyao. Samson aliwadunda hasa kwa mkono wa Mungu mwenyewe. Hakuna Cha mtoto Wala Mwanamke waliteketea na Sasa wanateketea hivo hivo uchokozi tangu enzi zile.
 
UNAOTA ndoto ukiwa wapi
 
Hili suala lina hoja nyingi mno.

Hasa kuhusu Wayahudi wa kale na hawa waliopo hapo Israel, kumbuka hata huku Africa (Kushi/Ethiopia) wapo Wayahudi wanaotajwa wa Kabila la Dan, huko Uajemi (Iran) wapo pia hata vitabu vya Esta, Ezra, Nehemiah vineelezea vizuri visa hivi.

je wale Wayahudi wa kale walikuwa na asili ya Ulaya magharibi maana hata Ibrahim asili yake ni huko mesopotamia.

Mathanzua
 
Unajitekenya na kucheka mwenyewe kwa taarifa yako Israel mpaka kiama watakuwepo....
 
Mkuu taifa kubwa hutokea kwa mataifa yenye strong mentality. Haitokei tu. Unadhani Palestina atakuja kuwa Taifa kubwa? Unadhani Tanzania atakuja kuwa Taifa kubwa? Unless u change mentality. Wewe ukishakuwa na mentality ya kutaka kufa, utatawaliwa tu.

 
Mkuu taifa kubwa hutokea kwa mataifa yenye strong mentality. Haitokei tu. Unadhani Palestina atakuja kuwa Taifa kubwa? Unadhani Tanzania atakuja kuwa Taifa kubwa? Unless u change mentality. Wewe ukishakuwa na mentality ya kutaka kufa, utatawaliwa tu.
Unasoma history wewe. Unajua kama American walikuwa watumwa na wakilimishwa miwa tena jua linawaka?
 
Tulia hivyo hivyo magaidi mshughulikiwe. Si mlianza wenyewe uchokozi October 7.
 
Thamani ya muisrael 1 ni sawa na wapelestina 50. UtajumlIsha idadi hapo.
Mkuu kuweka idadi sawa walisema 1 wetu akiuwawa tunaua 100 kwenu
NA Hiyo ilikua zamani tu.
Sasa mmeenda kuua 1000,jamaa wanatafuta kuua laki 1.
Iwe magaidi,panya,mamazao,watoto wa magaidi hadi mende ni kipigo tu.
Hata Nzi akisogea anatandikwa..
Sikiliza taarifa ya kesho idadi.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…