Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
- Thread starter
-
- #81
kwani hapa SC mnajadili nini exactly?? Israel kupewa misaada na Marekani au Marekani kuwa superpower? Israel has always been a "puppet" of USA pamoja na kwamba wanadai wana intelligence service ya hali ya juu but no one can beat USA. and its obvious sehemu aliyoko Mmarekani ujue ana interest zake hapo. case closed ama???
Kuna watu wanabisha na kudai kuwa eti Israel ndo super power na kwamba Israel haipokei misaada.
Sasa najua wewe you get it. Hawa wengine hawa ndiyo vichwa ngumu.
..hakuna vita ninayoitamani kama ya Israel vs Iran.
..hawa lazima watwangane ili tujue mbabe kati yao ni nani.
..yaani kitakachotafutwa hapo ni ushindi tu. hakuna masuala ya "winning the hearts and minds of ..." au ku-invoke geneva conventions etc etc.
..kwa sisi wapenda vita, za mataifa mengine of course, mpambao wa Israel vs Iran, ni sawa na mpambano wa Mayweather vs Paquia kwa wapenzi wa ndondi.
..hakuna vita ninayoitamani kama ya Israel vs Iran.
..hawa lazima watwangane ili tujue mbabe kati yao ni nani.
..yaani kitakachotafutwa hapo ni ushindi tu. hakuna masuala ya "winning the hearts and minds of ..." au ku-invoke geneva conventions etc etc.
..kwa sisi wapenda vita, za mataifa mengine of course, mpambao wa Israel vs Iran, ni sawa na mpambano wa Mayweather vs Paquia kwa wapenzi wa ndondi.
Good point brah!"Jewish" as people, are the most powerful in the world, and maybe thats why watu wanajisahau na kudhani its the same as saying "Israel is the most powerful nation in the world", which aint true.
But definetly Jewish are the most powerful poeple in the world, mainly kwasababu influence yao ni kubwa sana on the most poweful nation in the world.
On the other side, Iran si wa kupuuzwa hata kidogo, na kuna karespect flani hivi wanapewa na haya mataifa, kwanza wanajuwa uwezo wao kupitia Hizbolah pamoja na Syria, Bashar amepewa msaada wa unmaned drones from Iran.Israel peke yake vs Iran itabidi wawe makini sana.
Haya, wale wanazi wa Israel njooni muelezee hii ya wao kuomba silaha toka kwa Marekani. Si mnadaigi Israel ni super power....come and rationalize this one now!
Narudia tena, THE UNITED STATES OF AMERICA IS THE ONLY WORLD's SUPER POWER na kukilinganisha ki-Israel na Marekani ni sawa na kulinganisha kiroboto na tembo.
Ni kweli USA ni super power...what is the influence of jews in the states?
USA kuna makundi mengi tu yenye influence...hata gays wana influence kubwa sana. Na Latinos nao siku hizi wameanza kuwa na bonge la influence. Lakini wenye influence kubwa kuliko wote USA ni Caucasians.
Kwa hiyo influence siyo issue hapa. Hapa issue ni fact kuwa USA is more than that itty bitty Israel. Na yeyote kuja kusema hapa eti Israel ndiyo super power wa dunia hii, kwamba Israel imeendelea kuliko USA, kwamba jeshi la Israel ndilo kali kuliko majeshi yote duniani, kwamba Israel ina uchumi mkubwa kuliko USA.....that is a bunch of claptrap! Sorry.
Kama Israel iko juu kushinda USA sasa kwa nini wanakuja kuomba mabomu toka USA? Si wayatengeneze wenyewe huko huko Israel...
Najua Israel doesn't match USA militarily. Lakini kama leo hii Israel atashambuliwa na Iran, na wakati huo huo hao magay wakashambuliwa na straight, what would be the reaction? Am trying to imagine influence ya Israel kwenye security issues na siyo kwenye mambo tofauti mkuu
Israel bila ya msaada wa Magharibi ni taifa dhaifu kiliko inavyotafsriwa mitaani. Pamoja na dhana bora ilizonazo kama mataifa mengine hawajawapiga tuf watalia. Wakati wa mapambano ya Intifada tuliona wapelestina wanapambana kwa kutumia mawe na manati huku Israel wakitumia vifaru, bunduki za hali ya juu, ndege za kivita nguo maalum za kujikinga lakini cha kushangaza utasikia askari wa Israel auawa!!! Utashangaa walipomuuwa sheikh Yasin mtu ambaye alikuwa mlemavu aliyepooza mwili mzima kasoro kichwa tu walitumia madege ya kivita!!!! Sheikh Yasin hakuwa na uwezo hata wa kusogea mm moja!!!! Na udhaifu walionao ndio unaowasababishia woga na kuanza kuweweseka juu ya Iran, but kama kweli Iran inatengeneza silaha za nuclear si suala la kimataifa hilo. Lakini mbona Israel wana Nuclear? Iran imezungukwa na nchi zenye silaha za nucleari lakini hata siku moja haijawahi kuhamaki kama wanavyofanya Israel. WATAOMBA MSAADA MPAKA WA UCHAWI kwa uwoga wao. Na hata Tanzania siku tukianza mradi wa nuclear kwa ajili ya umeme waisrael waweza tushambulia kwa woga wao. ANGALIZO. MWOGA ALIESHIKA PANGA USIMPITIE KARIBU, UKIJITISA TU KARIBU YAKE UNALO!!!!!!
Vita inaweza kuwa kubwa lakini Israel will eventually prevail.Israel ni taifa la kuombaomba na kulialia kwa majirani hawanipendi ...kumbe lenyewe ndio halina adabu wala haliheshimbu biandamu wenzake..
Israel kama taifa bila misaada ya USA ni taifa maskini lisilo na la maana..
Israel na waisrael mwisho wao uko karibu siku wamerakani wakiona ni rafiki mnafiki na hasara kuendelea kum-entartain
Public opinion ina change kila siku, watapigwa kama kawaida yao tangu zamani ni jamii iliyolaaniwa na Muumba..unless waache sera za ubaguzi na unyanyasanyaji (choice ambayo wanatakiwa kuifanya haraka sana)
Historia inatufundisha kuwa kila superpower imewahi kuwachaoa waisrael except ISLAMIC rulers..
walipigwa na warumi, walipigwa na wajerumani, walipigwa na waingereza, iko siku watapigwa na kila mtu..
Vita inaweza kuwa kubwa lakini Israel will eventually prevail.
Maadui wake ni kweli wamejidhatiti zaidi, however ushindi more likely to Israel.
Mkuu unaongea huku unasahau ulichoongea right away!vita ipi? nafikiri tunaongelea taifa ombaomba la israel wewe unaongelea vita...
Topical said:walipigwa na warumi, walipigwa na wajerumani, walipigwa na waingereza, iko siku watapigwa na kila mtu..
Mkuu unaongea huku unasahau ulichoongea right away!
umesema ukweli m2pu bt mayahudi mashenzi kweli bora hitler angewamaliza..hakuna
vita ninayoitamani kama ya Israel vs Iran.
..hawa lazima watwangane ili tujue mbabe kati yao ni nani.
..yaani kitakachotafutwa hapo ni ushindi tu. hakuna masuala ya "winning
the hearts and minds of ..." au ku-invoke geneva conventions etc etc.
..kwa sisi wapenda vita, za mataifa mengine of course, mpambao wa
Israel vs Iran, ni sawa na mpambano wa Mayweather vs Paquia kwa wapenzi
wa ndondi.