Israel inaendelea kupata kipigo Gaza

Israel inaendelea kupata kipigo Gaza

This was obvious.You can't have a bunch of p.u.s.s.i.e.s[emoji304] in the military and expecting positive results from the ground invasion
IMG_20231028_212113.jpg
 
Basi vita iendelee kwa kuwa Hamas wanaweza kujilinda
Hata mimi nataka iendelee Israel kisha kuwa hoi, hata auwe mamillion lazima tumuondoe tu hapo kama wanavyo sema Hamasi hatuwezi itambua Israel hata warabu wafanye na peace safi sana Hamasi
 
Waarabu wengi huwa waongowaongo. Usiamini sana. Namkumbuka Chemical Ally alivyokuwa anatudanganya kwenye vita vya Iraq na US.

Kwanza tujue wamebakiza chakula cha siku ngapi, Maana inaonekana Israel imepanga kuwaua kwa njaa na kiu.
 
Tel Aviv imechezea kichapo leo:

Missiles 150 zimepiga katikati ya jiji la Tel Aviv lakini hakuna ndugu yake "mungu" hata mmoja aliyekufa wala kujeruhiwa.
 
Unaandika ujinga tu,hali ni mbaya si Gaza tu,huko washapita hao mnaita wazayuni wako njiani kwenda Lebanon kwa Hizzbullah na Iran mfadhili wao ni kwamba wote watafikiwa.
Haya mambo msije badae kusema wanaua watoto
Kwani kuuwa wameanza leo au jana?
 
Waarabu wengi huwa waongowaongo. Usiamini sana. Namkumbuka Chemical Ally alivyokuwa anatudanganya kwenye vita vya Iraq na US.

Kwanza tujue wamebakiza chakula cha siku ngapi, Maana inaonekana Israel imepanga kuwaua kwa njaa na kiu

Vita si kuwafungia watu chakula mbona Hamasi wanachakula cha kutosha tu, huyo anawafungia watu wasio na hatia afu huyo ndio super power hivi Mungu wa kikristo ndio taifa lake hilo au taifa la shetani hilo.
 
Wayahudi sio wakristo. Wala wala hawataki kusikia neno Kristo. Wakristo wanaojipendekeza kwa Wayahudi ni kwa sababu hawayajui maandiko.
 
The battle of the Qassam landing in Erez and the surprise of the Israeli soldiers, and Israelis estimates indicate that the fighters emerged from an attack tunnel that reached Erez, or perhaps the presence of Qassam fighters since October 7!

The Israel is shocked, and the clashes continue.
 
Vita si kuwafungia watu chakula mbona Hamasi wanachakula cha kutosha tu, huyo anawafungia watu wasio na hatia afu huyo ndio super power hivi Mungu wa kikristo ndio taifa lake hilo au taifa la shetani hilo.

Hao mazayuni mungu wao ni Lucifer
IMG_4095.jpg

Feel sorry to real Jews
 
[emoji599] Uturuki imekata upelekaji mafuta Israel

Dear followers, we he helped influence Elon’s decision to provide #StarLinkForGaza.

[emoji1250][emoji1134] Now let’s influence @RTErdogan to CUT OFF Israel’s supply of Turkish oil! #NoOilForIsrael

[emoji599] Make a post, tag @RTErdogan & #NoOilForIsrael — let’s get this TRENDING!
IMG_20231029_201047.jpg
 
View: https://youtu.be/72eHPZg08mc?si=8eAJD73HIJi1v38t

Waisrael wanaandamana huko wanaomba vita isimamishwe, Hamasi piga hao wenye lana yani mpaa tukifika 2024 wataondoka warudi walipotokea.

Vita wacha iendelee tu hatuwezi kukubali ujinga kila wakizidiwa tusimamishe vita, viongozi wa kiarabu wacheni kuleta maneno ya kanga hatutaki vita isimame mpaa tuone mwisho wa America na Israel
 
Wayahudi sio wakristo. Wala wala hawataki kusikia neno Kristo. Wakristo wanaojipendekeza kwa Wayahudi ni kwa sababu hawayajui maandiko.
Lakini ndo hao hao wayahudi wakristo wa kwanza na wakaueneza ukristo Petro, yohana, stephano, magdalena, Mary paulo mathayo. Ni phillip pekee alikuwa myunani hupo hapo.

NO MATTER WHAT NDO MAANA TUNAWAPENDA.

BORA KUCHUKIWA NA KUTEMEWA MATE NA WAYAHUDI (KWANI NI MÌBARAKA) KULIKO KUPENDWA NA MIARABU MIGOVI
 
Wanamgambo wa Israel wamechapika vibaya nashindwa ku upload video hapa ila jamaa wanalia kama watoto kwa kipigo

Unverified footage of IDF soldiers suffering casualties after failed infiltration attempt into Gaza.
 
Attachments

  • Screenshot_20231029-204506.png
    Screenshot_20231029-204506.png
    74.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom