My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Umeandika kama mtotoWaparestna ni mabingwa wa kutafuta huruma, hawatambui kanuni ya vita ni vita iwe umeonewa ama unaonea.
Mtoto kapigwa risali badala ya kumpeleka hospital wao watamzungusha kwenye makamera ili ulimwengu uone vile wanateseka meanwhile wameficha magrunet kwenyr kanzu.
Rocket yao 1 ikitua ndani ya ardhi ya Israel wanashangiria, ila wao risasi 1......
Sawa.. Waambie jamaa waache uchokozi...Umeandika kama mtoto
Does #Palestine[emoji1193] not have a right to defend itself despite:Kama kawaida,baada ya kundi la wanamgambo wa HAMAS kuichokoza Israel kwa kufanya mashambulizi ya Rockets na Israel kujibu vikali , tayari kama tulivyotarajia mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo na Mahakama ya uhalifu wa kivita ya ICC Uholanzi wameanza kupiga kelele Eti Palestina inaonewa.
Lakini hawataki kuwakemea wanamgambo wa HAMAS waache kurusha ma rocket ktk miji ya Israel.
Yaani kwao Israel ikipigwa sawa,ikijilinda ni kosa,wanapiga kelele kwamba watoto wa Palestina wanauawa na mashambulizi ya Israel lakini hawataki kusema ukweli kwamba hata watoto wa Israel wanauawa na mashambulizi ya Rockets za HAMAS.
Yaani hawa watu ni mabingwa wa uchokozi,wakijibiwa wanadai eti wanaonewa.
Iwe iwavyo, Israel ina haki ya Kujilinda,mlitaka ishambuliwe kisha ikae kimya?
Jerusalem ni makazi ya Wayahudi,hata ktk Historia inajulikana,Wapalestina wanafanya nini huko?Kujilinda ni kuvamia watu ktk nyumba zao za ibada huko Jerusalem
Wewe andika Kama mtu mzimaUmeandika kama mtoto
Wasijaribu kufanya huo upumbavu,nakuambia Watakwisha wote wapelestina na kubaki Historia Tu[emoji599] Al Qassam brigades announces using locally produced "Shehab" suicide drone against an Israeli offshore gas platform and several military targets
Palestine doesn't have a soil of its own,it occupied the illegal soil of Israel,now, Israel wants its soil back, Palestine grumbles internationally that they're being bullied and oppressed.Does #Palestine[emoji1193] not have a right to defend itself despite:
-Gaza being under a blockade
-Expansion of illegal settlements+annexation of Palestinian land
-historical ethnic cleansing
-systematic apartheid according to human rights organisations
-IDF military occupation?
Isije kugeuka ile vita ya Yemen na Saudi, sasaivi wameanza kutumia drone ambazo ni home made kuna kituo cha gesi kimepigwaHiv nani yupo nyuma ya hamas mbona mashambulizi ya rocket ya mwaka huu yanafakikiwa kuliko miaka iliopita? Bomba la kusafisha mafuta limeharibiwa, bomba la gesi pia limeharibiwa uwanja wa ndege wa ben gurio nao umeharibia kuna watu wapo nyuma ya hamas sio siri
Hamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyuHiv nani yupo nyuma ya hamas mbona mashambulizi ya rocket ya mwaka huu yanafakikiwa kuliko miaka iliopita? Bomba la kusafisha mafuta limeharibiwa, bomba la gesi pia limeharibiwa uwanja wa ndege wa ben gurio nao umeharibia kuna watu wapo nyuma ya hamas sio siri
ha ha ha ha mkuu kuna watu humu kundini ni hovyo kabisaHamas tu inamtoa kamasi alaf anataka akapigane na Iran huyu