Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,560
- 12,685
"We think that a nuclear Iran is a very bad thing, which the world needs to stop and which Israel needs to stop -- and we are planning accordingly," Gantz said.
"In principle, we are ready to act"
Israel walishawahi kushambulia vinu vya nuklia vya Iraq kipindi cha Sadam Hussein,wakashambulia pia vinu vya nuklia syria,kwa hiyo hata Iran pia itapigwa muda ukifika.Afterall kulingana na mtandao wa weaklinks,vinu vya nuklia vya Irani,vilishalipuliwa na waisrael,ndio maana wakahamisha site mpya.Soma site hapo chini;
The Global Intelligence Files - Re: [alpha] S3/G3* ISRAEL/IRAN - Barak hails munitions blast in Iran
Silaha za Iran zilishatumika dhidi ya Israel na hazikuleta madhara makubwa.Iran kiwa kupitia their proxies,Hezbullar,Hamas and Islamic Jehadi,walishatumia silaha za Iran dhidi ya Israel,Shehab-3 and other missiles.Israel imejenga Iron Dome,kwa ajili ya ku protect there country with these missiles.Vita ndogo ya juzi na Islamic Jehad,waliweza kuzuia kwa asilimia 75%.Wanaendelea kuimarisha defence system.Kwa hiyo wanaona ni bora waiwahi iran kabla ya kutengeneza Bomu la nyuklia.