Israel forces 'ready to hit Iran if ordered'

hata sadam alibweka hivoivo, hata gadafi alibweka hivyoivo, lakini mwisho wake wote hawa wawili mmoja alijificha kwenye shimo la panya sijui mtaro wa choo, gadafi alijificha kwenye mtaro wa maji machafu.....waarabu wanajiamini kumbe hawana kitu......punguani kwelikweli.
 
hata sadam alibweka hivoivo, hata gadafi alibweka hivyoivo, lakini mwisho wake wote hawa wawili mmoja alijificha kwenye shimo la panya sijui mtaro wa choo, gadafi alijificha kwenye mtaro wa maji machafu.....waarabu wanajiamini kumbe hawana kitu......punguani kwelikweli.

kanisa lako lilikuambia Muirani ni mwarabu ???

wrong idea!!!!!, wrong thought!!!!
 
The deputy Chief of Staff of Iran's Armed Forces has warned Israel against any possible military move against Iran, saying it will cause the end of the Tel Aviv regime.

“If the Zionist regime [of Israel] tries to take any action against us, it will mark the end of its existence and there is no doubt that they are unable to harm the [Islamic] Revolution and the establishment in any way,” Brigadier General Mostafa Izadi said on Saturday.

Link hii
 
Du! kama jamaa wanauwezo wa kutumia internal oppositiona basi wana akili sana!!!!!!!!!!!!
Na waa rabu kama wanaweza kugawanywa kirahisi hivyo basi ni wajinga sanaaaaaaa!!....wanapelekeshwa tu!


Too bad the Iranian don't identify themselves as Arabs but Persian,they have completely different attitude compared to Arabs.......
 
Israel walishawahi kushambulia vinu vya nuklia vya Iraq kipindi cha Sadam Hussein,wakashambulia pia vinu vya nuklia syria,kwa hiyo hata Iran pia itapigwa muda ukifika.Afterall kulingana na mtandao wa weaklinks,vinu vya nuklia vya Irani,vilishalipuliwa na waisrael,ndio maana wakahamisha site mpya.Soma site hapo chini;
The Global Intelligence Files - Re: [alpha] S3/G3* ISRAEL/IRAN - Barak hails munitions blast in Iran


Hivi ndio vita vya propaganda za Hollywood,sio kila unachokiona kwenye vyombo vya habari kweli baba
 
Personally nauchukia ubabe wa marekani na kutaka kuwafanya watu wote wawe chini yake!Bse I know or sure Israel ana back up ya USA.
Ivi kama USA wanamiliki izo nuclear akimiliki mwingine inakuwa nongwa?Au wairan mnawaona vichaa hawastaili kumiliki Nuclear.Kama anaimiss use izo ni hofu zenu na Iran ataimis use kweli kama mnamtibua no wonder China and Russia are supporting Iran ili kuneutralize nguvu za USA kupitia Israel
Infact ata Tz tuna staili kuanza kumiliki nuclear ili viinchi vinavyotuzunguka viwe na adabu!

kusema kwel nachukia sana kiburi cha israel na ubabe wake wakisaidiana na marekan ila nikiangalia wanachokifanya boko haram kule Nigeria na kikundi cha uamsho pale Zanzibar, nikilinganisha na msimamo wa Iran kwa Israel ambayo ni taifa la ki......., inanipa shida kidogo kuisema vibaya Israel.
 
Back
Top Bottom