ISRAEL ni nchi yenye nguvu sana, you can't even imagine kale kanchi kalivyo kadogo kwa umbile, lakini manguvu yake makubwa sana. UNACHOTAKIWA KUELEWA NI KWAMBA, kusambaratishwa kwa syria ni mpango mmoja wapo wa kuisambaratisha iran...kwasababu israel ilikuwa inajua fika kwamba, pindi itakapoanza vita vya muda mrefu na iran, syria ambao wako karibu nao sana wataisaidia iran...kwahiyo kusambaratishwa kwa syria na hiyo vita inayoendelea sasaivi, kutafanya iran ipigane peke yake....waarabu wote kuanzia saudi etc, hata egypt, hawapatani na iran ivyo msaada pekee wa iran ilikuwa syria. kwasasa wanachosubiri ni kitu kimoja tu, asad aishie kabisaaa, hata asipoishia, kuvunjwavunjwa kwa nchi yake, manyumba/majengo, na ushumi umevunjwavunjwa sana, syria haitapenda kujiingiza tena kwenye vita na israek pindi iran itakapoanza kupiga, kwasababu uchumi wao utakuwa mbaya kuliko sasa, devastation ya nchi yao itakuwa mbaya kuliko sasa, iran itabaki peke yake...na israel watarusha makombora toka israel hadi iran yale ya iran ni marahisi kwao kuyadaka hata kabla hayajatua....na hakutakuwa na bas close to israel ambayo iran itaingilia kuishambulia israel kwasababu rafiki yake mkubwa syria tayari amepoteza nguvu sana na rebels....