Israel forces 'ready to hit Iran if ordered' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Israel forces 'ready to hit Iran if ordered'

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Apr 23, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  HOW Many Dual Citizens are Israel Spies.?
   
 3. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wanabaki kwenda kwa mdomo tu kwa vitendo wanaogopa huku wanasukumiana na kaka zao nenda wewe...anza wewe!!!
  Kama kweli vidume nendeni basi ili tujue nani mshindi.Maana sisi tumebaki ushabiki tu bila ya kujali roho za binaadamu tena bila ya kumuogopa mwenyezi mungu.
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  though iran is just a paper tiger-naweza sema swala lao bado halijapata ufumbuzi thabiti
   
 5. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Unless they use the same way as Libya, Egypt, Iraq by using internal oppositions then wasingizie wanawatetea wananchi wasio na hatia. Directly they cant, the nuclea rays may spread all over Middle East if they bomb nuclear plants.
   
 6. I

  Ichimuisebu Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Israel trained covert operations if u refar mankind!
   
 7. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkuu nuke site can not be bombed, Israel haina uwezo huo. Hata ikiomba bunker busters toka kwa US, the most they can do is to slow down the progress not stopping it. Obama's way is much more wiser and calculate than vitisho vya hawks wa tel aviv.
   
 8. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Nuclear sites can be bombed. Refer to Osirak nuclear site in Iraq that was bombed by Israel in 1981. Also refer to Al-Kibar nuclear site in Syria that was bombed by Israel in 2007.
  Israel is capable of all that, the only catch in Iran attack is that the attacks will jeopadise US troops safety in Afghanistan and Irak, Otherwise, Iran nuclear sites would have been reduced to rubble long ago.
   
 9. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nafikiri hujajua dunia inapoelekea ila kama u mfatiliaji mzuri kuna nabii mmoja T. B. Joshua ametabiri kuwa kuna vita ya tatu ya dunia itatokea mwaka huu ambayo itaanzishwa na Israel na washirika wake Marekani na Uingereza dhidi ya Iran na washirika wake ambao ni China na Urusi na Japan. Niliangalia unabii huo Emmanuel TV.
   
 10. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Haya Mkuu sijui unaihsi dunia gani, by the way mimi si mlokole kwa hiyo huyo unayemwita nabii T.B. simfuatilii hata kidogo. By the way kwa sasa hakuna Urusi dunia hii, Urusi ilisambaratika karibu miaka 20 iliyopita imebaki nchi moja inayoitwa Russia, na jamhuri nyingine ndogo ndogo. Halafu ukumbuke pia kuwa China, Russia na Japan si washirika wa Iran, ni nchi zinazoangalia economic interests zao.

  Osirak reactor ilikuwa moja na open air, lakini Iran ina sites 17, nyingi ziko deep under ground some of which are already operational. Not even the heaviest bunker busters can bust some of these. Kwa hiyo kuzulinganisha sites hizo na Osirak ni ufinyu wa mawazo.

  Kelele zote za Israel ni vitisho tu, yenyewe haiwezi kuanzisha vita inajua fika kuwa kijeshi haiwezi kudeal na Iran bila msaada wa nchi nyingine kubwa.

  Kama kweli unafikiri kuna nchi sasa ina interest na vita utakuwa wa ajabu sana, Japan, UK uchumi wake una matatizo, vita haiwezi kuwabenefit, China imeanza kuyumba, Russia haina uchumi wenyewe kuweza kuisupport kuanzisha vita, angalia shape ya uchumi wa dunia kwa sasa uone kama ina support vita unayosema ameisema T.B. joshua.
   
 11. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Vinu vya IRAK na SIRIA vilikua katika hatua za mwanzo za ujenzi tofauti na IRAN ambapo ina vinu na nuclear reactor/centrifuges kibao ambazo zina oparate kiasi inakua ni ngumu kwa sasa kuviangamiza kijeshi thats why wanawashauri watumie njia za kidiplomasia katka kusolve hiyo ishi refer to INDIA,PAKSTAN,NORTH KOREA and now IRAN....Another factor ni uwezo wa kijeshi alionao IRAN kwani ana long missiles zinazoweza kufika ISRAEL na ktk ngome zote za kijeshi za US zilizopo middle east thats why US ina sita kwani itapoteza wanajeshi wengi na huo ndo utakua mwisho wa ISRAEL au middle east yote kwani ISRAEL at the end italazimika kutumia silaha zake za nyuklia...Na wanauchumi wanasema IRAN haitakubali kwani italipua vinu vyote vya kuzalisha OIL vya SAUD ARABIA the major exporter of OIL pia italipua BAHRAIN,QATAR,UAE,OMAN nk kwani nchi zote hizo ndo zinahost AMERICAN BASES in middle eastna ndo nchi zinazozalisha MAFUTA so eventually the all world will suffer and compelled to fight who knows km haitakua vita vikuu vya tatu vya DUNIA?
   
 12. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  Du! kama jamaa wanauwezo wa kutumia internal oppositiona basi wana akili sana!!!!!!!!!!!!
  Na waa rabu kama wanaweza kugawanywa kirahisi hivyo basi ni wajinga sanaaaaaaa!!....wanapelekeshwa tu!
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 14. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Eye on Zanzibar, forget Iran nukes at Iranian territory, watch out the 35 Extreme Islamist groups in Zanzibar known as Uamsho wa Waislamu, willing to creat the Islamic Republic of Zanzibar, with direct links and support from Iran and Amani Karume's all goverment officials except Dr Shein and hes Second Deputy Balazi Seif Ali Idd also against, one of their target is to stop any Western link like Tourism, Alcohol and distance Zanzibar from Tanzania-Tanganyika the traditional American friend. The separatist groups are becoming dangerous more and more. Another Somalia is closer...
   
 15. N

  Nonda JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 16. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  I'm told even Iranian forces are ready to hit Israel if ordered.
  I think every army is ready to hit their enemy if ordered
   
 17. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  David vs Goleath.
  Again we are going to see who is who!!
  .
   
 18. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sisi ni viumbe vya mwenyezi mungu kwa maana hiyo wote ni wana wa mwenyezi mungu ambae hana mshirika yaani mmoja tu alie umba mbingu na ardhi na vilivyemo.Lakini cha ajabu wengine hujifanya wao ni wababe na kuitawala dunia wakati dunia ni mali ya mwenyezi mungu na katuumba tuje kuishi ktk ardhi aliyo tutunuku.Na cha ajabu vilevile wengine wako tayari kutoa roho za binaadamu yuleyule alieumbwa na mwenyezimungu huku sisi wenyewe tukishangilia badala ya kushirikiana na kusaidiana.Na kwa karne hii ni ngumu kumtawala mtu ila wachache bado wapo tayari kutawaliwa kwa kuwaona watu weupe ndio wana wa mungu.Maisha lazima yabadilike na kuwepo na usawa wa maisha na sio kuoneana.Kila nchi au mtu apewe uhuru wake na maisha yao wenyewe.Tuache unafiki na uongo wa kutunga habari za uongo na kueleza yasio na uhakika au ukweli ukweli.Siku hizi kila anayetaka kudai uhuru au kujitetea basi ataitwa exrimist maneno yalioanzishwa na ngozi nyeupe ambao wengine wapo tayari kuwapigia magoti lajini hawaangalii upande wa pili kama hiyo ngozi nyeupe ndio ma-extrimist wakubwa duniani ambao wanaiteketeza dunia na kuifanya watu kuishi maisha duni.
   
 19. Jackal

  Jackal JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,304
  Trophy Points: 280
 20. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The real problem is that half the people make up 50% of the population. The world will be a better place when they hit Iran.
   
Loading...