mnangagwa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 1,007
- 1,511
Hata yesu alivaa sendozSijaelewa una maanisha nini? Kwani sendozi ni kitambulisho cha dini flani nini?
Hata yesu alivaa sendozSijaelewa una maanisha nini? Kwani sendozi ni kitambulisho cha dini flani nini?
Yesu alivaa sendos au buti?Wavaa sendoz hawasogei hapo
Alivaa gidamu za viatuYesu alivaa sendos au buti?
Wewe wasemaHata yesu alivaa sendoz
Tofauti ya gidamu na sendoz ni ipi?Alivaa gidamu za viatu
Tofauti ya gidamu na sendoz ni ipi?
Google ndio tofauti ya gidamu na sendoz?nyie ndo mungu kuitwa allah hamtaki ila akiitwa yahwee mnashangilia
Acha uvivu, nmekuambia Google hapo.......allah ni mungu wa waislamu mbona.Google ndio tofauti ya gidamu na sendoz?nyie ndo mungu kuitwa allah hamtaki ila akiitwa yahwee mnashangilia
Hata yahwe hawahusu,ni mungu wa wanaotumia lugha hiyo.Acha uvivu, nmekuambia Google hapo.......allah ni mungu wa waislamu mbona.
Hujasoma Biblia nadhani.Hata yahwe hawahusu,ni mungu wa wanaotumia lugha hiyo.
hitler alivowachoma moto malaika wa Mungu walikuwa vacation?Hapo Malaika wa Mungu wametamalaki
Hapo sio wavaa sendoz tu.Wavaa sendoz hawasogei hapo
Kwi kwi kwi.hitler alivowachoma moto malaika wa Mungu walikuwa vacation?
Unajifanya huelewi ulichoandika wakati unaelewa kabisa lengo lako.Sijaelewa una maanisha nini? Kwani sendozi ni kitambulisho cha dini flani nini?
Kafanya nini?Mungu Ni Mwema Sana
Watu wa dini ya mnyazimungu na matusi ni kama uji na mgonjwa.Hawatenganishwi!Wengi hapo kama sio wote wanapigwa paipu.
Katika wanaume 10 izrael, 7 wanapigwa paipu.
Hua nashangaa wapalestina wanawarushia maguruneti, wangewapiga paipu tu wao wenyewe wanakua wanawaletea silaha.