Rubajirwa
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 472
- 229
Imani ya wavaa sendo ni ipi hiyo au kuna dini mpyaKUNA WAKATI TUNAPASWA KUWAHESHIMU WALIOTOFAUTI NASI KIIMANI.NDIO UBINADAMU.
Imani ya wavaa sendo ni ipi hiyo au kuna dini mpyaKUNA WAKATI TUNAPASWA KUWAHESHIMU WALIOTOFAUTI NASI KIIMANI.NDIO UBINADAMU.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wavaa sendoz hawasogei hapo
Kama kuwa ccmKwi kwi kwi.
Hapo atakwambia walikua likizo.
Ukiwa mgalatia akili za kufikiria zote unamuachia baba paroko.
Hakuna tusi hata moja huo ni ukweliWatoto wa kambo (wa mama Hajir,Ishmaeli),wanatukana watoto halali wa ndoa(wa Mama Sara,Isaka)na Baba Abraham.Maajabu kweli!
Teeh teeh we dada wa kigalatia sio bure.Wavaa sendoz akili zao sawa hata asome vp