kama warabu ni wachokozi wewe utafanyaje? Tena ngoja wapigwe tu! Mbona walivyo hasi mababu zetu walio pelekwa utumwani haikuumi? Hakuna watu makatili kama warabu au watu walio iga mira za warabu. Mfano sudan, somalia yani nikiweka picha za ukatili wa hao wako hautaleta pumba zako humu. Long live JEWS
Straddler anajali waarabu kuliko waafrika wenzetu.Kama Mwarabu koko sawa.
Vipi Darfur?Suicide bombers kila siku wanaua waislamu wenzao Iraq,Pakistan,Afghanistan etc.
kama warabu ni wachokozi wewe utafanyaje? Tena ngoja wapigwe tu! Mbona walivyo hasi mababu zetu walio pelekwa utumwani haikuumi? Hakuna watu makatili kama warabu au watu walio iga mira za warabu. Mfano sudan, somalia yani nikiweka picha za ukatili wa hao wako hautaleta pumba zako humu. Long live JEWS
Unajua kuna msomi mmoja aliwahi kusema ukatili wa mayahudi unazidi kushamiri kwa sababu ya sympathizers kama wewe na wenzako, ambao mpo radhi kuwapigania hata kuwa human shield, kuwatetea kwa hila na ila, kupoteza maisha kwa niaba yao, etc. For what really??
Mimi kama mtanzania ninazo challenges zangu na sioni sababu ya kubeba misalaba ya watu wengine, who don't even acknowledge my presence.

ILA ULICHO SEMA KINAUKWELI NDANI YAKE, KINACHO UDHI NI WATU WANALETA CHUKI DHIDI YA TAIFA JINGINE MAUAJI NI KAWAIDA TU. ME NIMEKASIRIKA KUONA CC MJI WETU UNAUNGUA TUNAENDA KUMJENGEA ASIYE JIRANI. ths is smart to be. ..
Waarabu ni wanafiki sana sana, NI wachokozi mno na hawaelewi kitu kingine zaidi ya kuendeleza uchokozi wao dhidi ya Israeli, Nimefika Middle East na nimejionea mwenyewe.
Kuna huyu mwingine aliekua anatoa silaha na Wanajeshi ili kuua watanzania wakati wa vita na Idd Amin na sasa kwa sababu ya unafiki wake anathibutu kusogeza pua Tanzania. Nani kamwambia tunahitaji hela zake zilizojaa damu? Maisha ya Watanzania waliokufa anaweza kuyarudisha? Roho za watu aliosababisha zipotee, Familia alizosababisha zibakie yatima...
jamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha

Ndugu, usitegemee chochote kutoka kwa hawa jamaa hawana ubinadamu wowote as long as anayekufa au kuuliwa ni Muislam, wanafurahia shida mnayopata na kushangilia huko kanisani ndio mafundisho yao..
Moyoni wameficha ubaya wa kutisha, angalia kauli zao zisizona huruma ...ila one Muumba ni JUST..iko siku
Ha ha ha, unawaogopa eh! nakunywa kahawa kwa raha zangu...ukiacha kuua watu wengine na kudhulumu kama kwenye hiyo picha kutakuwa na amani duniani vinginevyo sahau
Nitatoa mfano.... wewe huna kwenu, umefukuzwa na Hitler, kisha unakuja kwa mabavu, unakosa adabu na heshima kama mgeni, Mimi nitakaa kimya? La hasha!!!
Isipokuwa nitafurahi zaidi kama ukipigana na mimi mtu mzima mwenzio....

Ndugu sio ushabiki hayo ni mafundisho yao kanisani angalia mchungaji wao maxi anavyotetea mauaji wa wanadamu, nimesema hapo juu as long as anayekufa ni muislamu wanafurahia na hivyo ndivyo wanavyofundishwa kanisani ...hatari kwelikweli
When you act like this expect a slow but swift action and you shouldn't whine and seek sympathy on the pretext of children women being killed since you killed women and children and I may add elders too.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.