East Africa CommunityKasumba Bekar, kijana mwenye umri wa miaka 21, mfuasi wa Bobi Wine na mmoja wa vijana wanaomkosoa Rais Yoweri Museveni mitandaoni, alitekwa juzi na watu wasiojulikana. Leo ameokotwa eneo la Kasanda (nje kidogo ya jiji la Kampala) akiwa amepigwa hadi kupoteza fahamu, na mikononi amepigiwa misumari.
Huyu ni mfuasi mwingine wa Bobi Wine kufanyiwa vitendo vya kikatili na watu wasiojulikana katika kipindi cha hivi karibuni. August 5 mwaka huu mwanamuziki Ziggy Wine, ambaye alikua akifanya kazi kwenye label ya Bobi nae alitekwa, kupigwa na kutobolewa macho, siku chache baada ya kuandika mtandaoni kuwa Rais Museveni hana tena uhalali wa kuongoza nchi hiyo. Ziggy aliokotwa akiwa mahututi lakini alifariki siku chache baadae.
Bobi Wine ametuhumu vyombo vya usalama kuhusika na vitendo hivyo vya kikatili, lakini Polisi nchini Uganda wamekanusha madai hayo na kusema wanawatafuta wahalifu wanaofanya vitendo hivyo ili kuwafikisha mahakamani.!
[emoji120][emoji109][emoji123][emoji120][emoji120] BujiMshana Jr, heshima kwako mkuu.
Kuwa mpinzani ni vita vya kiroho, kimwili na kiuchumi pia.
Ukombozi wowote una gharama, tutavumilia kadhia na mateso yote, lakini mwisho utafika.
Hata kama sio leo, utawala dhalimu lazima utoke madarakani.
Kagame atatoka kwa aibu, Museveni atatoka kwa aibu, Bobby Wine is a small axe, and Museveni is a big tree.
Kaka kibaka dhulumati naye lazima atoke.
Wapi Mugabe, Samuel Doe, Al Bashiri na wahuni wengi walio jiona kwamba wamezaliwa ili kutesa wenzao?
Umeona like yangu huko?Mshana Jr, heshima kwako mkuu.
Kuwa mpinzani ni vita vya kiroho, kimwili na kiuchumi pia.
Ukombozi wowote una gharama, tutavumilia kadhia na mateso yote, lakini mwisho utafika.
Hata kama sio leo, utawala dhalimu lazima utoke madarakani.
Kagame atatoka kwa aibu, Museveni atatoka kwa aibu, Bobby Wine is a small axe, and Museveni is a big tree.
Kaka kibaka dhulumati naye lazima atoke.
Wapi Mugabe, Samuel Doe, Al Bashiri na wahuni wengi walio jiona kwamba wamezaliwa ili kutesa wenzao?
They all share a few things in common but one that stands out is so glaringly sinister, dangerous and terrifying that we need either to act immediately or just sit tight and pray. Siku tutakapozinduka it may be too late for we wont have a country left worth fighting for.Mu7 ndiyo Best yake na Jiwe including Mr Slim na Nkurunzinza. Hatari saana! Real we are Shithole!
Real! Huyu Magufuli asipodhibitiwa Mapeema ataenda Kwenye Utawa wa Milele like their friends, very bady!They all share a few things in common but one that stands out is so glaringly sinister, dangerous and terrifying that we need either to act immediately or just sit tight and pray. Siku tutakapozinduka it may be too late for we wont have a country left worth fighting for.
And when you look at a leader like Museveni, who in his early years gave a lot of hope, but now turning into a desperate despot, it is mind boggling!They all share a few things in common but one that stands out is so glaringly sinister, dangerous and terrifying that we need either to act immediately or just sit tight and pray. Siku tutakapozinduka it may be too late for we wont have a country left worth fighting for.