Bwanamdogo
Member
- Aug 6, 2011
- 66
- 19
maamuzi mengi ya maana na ambayo yangelikuwa yametusaidia kupiga hatua japo kidogo kimaendelea yamekuwa yakikwamishwa na watu dizaini ya hawa.hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha
hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha
Kitendo cha Naibu katibu mkuu wa CuF kulalamikia matokeo ya kidato cha nne eti wanzanzibari wanabaguliwa kwa kuwa katika shule kumi bora ya Zanzibar ni moja tu (Lumumba sekondari) na eti shule nyingi zilizofutiwa matokeo ni za kutoka Zanzibar pia. Mimi natilia shaka uwezo wake wa kufikiri pamoja na kiwango chake cha elimu kwani sidhani kama NECTA huwa wanasahihisha mitihani kwa kuangalia unatoka upande gani wa muungano. Mimi nashauri kama anaona hawakutendewa haki awashauri wanafunzi wakate rufaa NECTA mitihani yao irudiwe kusahihishwa badala ya kuingiza siasa kwenye suala nyeti kama hilo. Nawasilisha
(Source: Nipashe Radio one)
anatafuta umaarufu tu, hana mpya!
Wewe Ni RAIA wa wapi?Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.
Kabla kumuhukumu ni vizuri ujue tamko lake sio haya magazeti yenu ya uchochezi yanavyomnukuu.
Pitia mtandano wa Mzalendo au zanzinet utaliona na kuona maoni yake.
Kumbuka kuwa Jussa ni mwanasharia aliyebobea kitaaluma na ana uzoefu mkubwa sana katika siasa tena zile za mikikimikiki.
Hongera sana Jussa. Tanganyika wanakuhara wakisikia jina lako.

Kabobea kwenye sheria zipi, kama waliobobea ndio wanaoongea upunguani kama huyu basi ZNZ inaombwe kubwa la wafikiriaji
hebu tazama hii picha, kisha huitaji kuelezwa kama huyu ni timamu ama laaah....unajua Kisaikolojia unaweza kumtafsiri mtu hata kwa picha