Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Narudia tena mtaishi maisha magumu sana iwapo mtaendelea kujipa umuhimu msio kuwa nao ndani ya nchi hii.
 
Ukweli ni kwamba CCM imeasisiwa na waislamu. nyie wengine mlidandia wakati gari ishakolea mwendo 😃😃😃
Ukweli ni kwamba hujuu hata ccm kwamba ni muungano wa vyama vya Tanu na ASP, hakuna dini iliyounganisha vyama ni Watanganyika na Wazanzibar ndio walioungana na kuunganisha vyama.

Wakoloni hawakuwa wanatawala waislamu, walikuwa wanatawala Watanganyika.
 
Hiyo historia unayoikariri ni mazungumzo ya porojo mgahawani kama anavyosimulia Mohammed Said jinsi ati "wazee wake" ndio walileta uhuru.
Porojo zina madhara yake na usiuone ukweli kama unavyotakiwa.
Mkuu unamsikia au umemsoma Chief Mkwawa wa Iringa au Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga aliyezaliwa 1855?
Unafahamu kisago alichowaandalia wajerumani pale Lugalo, Iringa?
Umemsikia Chief Mirambo wa Tabora na jeshi lake la Riga-Ruga , na alizaliwa 1840 , na jinsi alivyowa control waarabu?
Na je unamfahamu Chief Mangi Meli wa Uchaggani na jinsi wajerumani walivyomyonga kwa kudai uhuru mwaka 1900?
Pengine hujamsikia Kinjeketile Ngwale na vita ya Majimaji kuukataa ukoloni mwaka 1905.

Katika huu muktadha ni kosa kufikiri uhuru umeletwa na dini fulani, mababu zetu walilianza hilo miaka mingi hata kabla Nyerere hajazaliwa.
 
Mkuu waislamu ndio wazalendo wa kwanza nchi hii.. wakati nyie mnakatazwa makanisani msishiriki harakati za uhuru enzi hizo.

Wao (waislamu) walikuwa mstari wa mbele kupambania uhuru.. hadi wengine walifilisika akina Dossa Aziz.. Hebu leo ngoja tutoe somo.. mnalishwa lishwa chuki huko na akina kitim*.. mnakuja kuropoka ropoka humu
 
Mada za Udini zisipendi ila waislamu wamekua wanafanya vibaya kwenye Uongozi wao ni kuuza rasilimali za nchi tu
 
Enheee safi kabisa 👏🏾... ASP na TANU zimeasisiwa na waislamu. Na ndio zilizozaa CCM📌📌📌
 
Enheee safi kabisa 👏🏾... ASP na TANU zimeasisiwa na waislamu. Na ndio zilizozaa CCM📌📌📌
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
 
Mada za Udini zisipendi ila waislamu wamekua wanafanya vibaya kwenye Uongozi wao ni kuuza rasilimali za nchi tu
Rasilimali gani walizouza.. tuanzie hap
Mnachukia waislamu mpaka mnashindwa ku_acknowledge mchango wao kwenye nchi.. na inawauma hata wakipata kidogo... Yani mkeka ukitoka ukiona jina ABDALLAH roho inaku kerekeeeta
 
Onesha na uthibitishe wapi nilipokereka, mimi utambulisho wangu siyo dini.
 
Huyu mtu bila kificho, mara kadhaa, kwa uwazi kabisa ameonesha chuki zake za kidini dhidi ya wamristo na waislam halisi. Ikumbukwe kuwa BAKWATA ilianzishwa na CCM kwa lengo la kuwahadaa waislam, ndiyo maana waislam wote wenye akili, tima.u na imani ya kweli kwa dini yao, hawana muda na BAKWATA. Kwa mtizamo huo huo CCM kuidanya jumuia yake, inawachukua watu wa BAKWATA kama inavyowachukua UVCCM, UWT kuwaweka kwenye nafasi za CCM. BAKWATA, kwa siri ni jumuia ya CCM, sawa na ilivyo UVCCM au UWT. Watangulizi wake walifanya kwa siri, huyu ameamua kuweka wazi.
 
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
Mkuu mwanzoni wakristo walijitenga na harakati za uhuru, waliambiwa makanisani wasishiriki.

Kwa sababu wazungu waliowaambia hayo kanisani.. walikuwa na interest na mfumo wa wakati huo.. Hebu ZIMA HISIA washa AKILI..

Ndio maana wale waasis wa mwanzo walikuwa majority ni waislam na ndio waliunda TAA ambayo ikaja kuwa TANU
 
Wakristo kwenye harakati walikuja baadae... hasa baada ya kuona hatari ambayo ingetokea kama uhuru ungeletwa na waislam totally.. Wakristo wangetengwa..

So ikabidi waingie kwenye harakati.. tena mwishoni huko in late 1950's
 
Wakiristo walidandia treni ya Uhuru ikiwa imeshashika kasi. Harakati nyingi za kudai uhuru zilianzia pwani kwa Waislamu
 
ukifwata logic yako basi nchi nyingine ambazo hazikuwa na muslims kama kenya, ug, malawi, zambia, ghana zisingepata uhuru au zingechelewa sana kwa maana zote kama tanganyika zilkuwa chini ya english monarchy ina maana kila kitu kilifanana hata vyama vilivyokuwepo wakati wa ukoloni vilifanana kenya walikuwa na tanu, tanganyika tanu, zanc-zambia, etc na wote walipata uhuru miaka inayofwatana alianza ghana mwishoni mwa miaka ya 1950 na sisi wengine wote miaka ya 60' mwanzoni hivyo kama muslims ndiyo walioleta uhuru kwa nini haikutokea kabla ya miaka 60' ?

haya mambo tunadanganyana sana, bottomline muslims wamekuwa wakitumiwa na communists siku zote, muslisms fight for communism cause lkn cha ajabu communism ni atheists sasa inashangaza iweje waeleweane na muslims? ...
 
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
Wewe hyo PHD unayojiita kwenye avatar unayo kweli au mbwembwe tu 😆😆
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
Mkuu hyo PHD uliyoweka kwenye Avatar unayo kweli au mbwembwe tu.. Mbona mweupe mno.

Sasa biashara ya utumwa kuna waliyoifanya kwa kiwango kikubwa kama wazungu??? Hujasoma TransAtlantic trade??...

Hata zanzibar wanunuzi wakuu wa watumwa walikuwa ni ufaransa kwa ajili ya mashamba yao ya miwa mauritius na Reunion huko.. hilo la utumwa hakuna aliye salama.. Tena wazungu wameumiza mno watu kwenye utumwa
 
Totally Irrelevant... Huwezi kufananisha harakati za uhuru za Tanganyika na Nchi zingine kama malawi sijui Ghana.. Kwanza malawi hakuna waislamu.. ni percent ndogo mno
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…